Amyner
JF-Expert Member
- Jul 13, 2011
- 2,397
- 877
IC...jambo Amy?
Mi jambo kabisa.. Nimeipenda hali ya hewa ya leo..
IC...jambo Amy?
Mi jambo kabisa.. Nimeipenda hali ya hewa ya leo..
me love too...
inashawishi kwa kweli Amyner!
Ndo haaoooomatope eeeh?
Mbona ni ya kawaida we kijana?me love too...
inashawishi kwa kweli Amyner!
Mbona ni ya kawaida we kijana?
au kwenu kuna vumbi?
Ndo haaoooo
au kuna mengine?
Ngoja niwatafute MODS chap.....Amyner amenielewa...ricky nipisheeee...
Kwanza we nakugonga na ubapa wa panga tu utashika adabunimeuliza tu!
Amyner amenielewa...ricky nipisheeee...
Hahahah yaani bagah na ricky nyie mabingwa wa kuchakachua thread za watu..
Ngoja niwatafute MODS chap.....
hahahhaaaaa
ukipigwa ban uje na ID ya MISHIKAKI eehh...sawa? naipenda sana na Bagah nishazichoka sasa.