Chenge kujivua gamba leo?

Status
Not open for further replies.
- According to the datas, Chenge ameachia ngazi rasmi leo ndani ya CC inayoendelea sasa hivi Dodoma!

Willie @ NYC, USA.

habari za hivi punde kutoka kwa mzee wa vijisenti ni kwamba, ameshinikizwa sana kujiuzulu. Ila ametamka wazi kwa watu wake wa karibu mm nikiwa mmoja wao, kwamba, akiondoka, anaondoka moja kwa moja hadi ubunge. Mzee anaogopa JK akammaliza kwa maana anafahamu madhambi mengi sana ya JK ambayo anaweza kulazimika kuyamwaga hadharani. Tulipoongea mwisho, kama kawaida alikuwa na dharau sana na hasira kwa mwenyekiti. Ameapa, mwendo ni ule ule wa RA. Akilazimishwa kung'oka ni mpaka ubunge... habari ndo hiyo. LA haguswi kariba robo tatu ya wana CC ni washirika wake. Akitoka naye JK anaondoka
 
Etlist maelezo yana nyama...
 
  • Thanks
Reactions: EMT
mmmmhh kweli kazi nzito ...tunachohitaji ni uwajibikaji wenye tija siyo kuachia ngazi bila kuadabishwa...
 
Hata hiki kitendo cha kikao kufanyika muda mrefu bila kutoa maamuzi ni woga wa wazi kabisa kwa mwenyekiti!
 
waachie ngazi tuchukue majimbo yetu! makamanda waongezeke bungeni!

Hayo ni mawazo yako. Lakini sisi tunataka watuachiye nchi yetu. Ilikuwa imefika pabaya sana pa kuiweka nchi mfukoni kwa sababu ya hela zao. Hali hii haiwezi kuachwa iendelee.
 
mimi naoana wote hao mapacha 3 wakiondoka bado mambo yatakua hyu ni mwenzetu kama kawaida yao...
 
Kikao kimemalizika sasa hivi ila wametokea mlango wa nyuma na wajumbe wanaelekea Dodoma Hotel kupata chakula. Najitahidi kupata sauti ya January Makamba
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom