Chenge kujivua gamba leo?

Status
Not open for further replies.
Wandugu ilobaki turudi mtaani siku moja watatuachia nchi yetu tu
 
kujivua gamba si suluhisho tosha tungependa wafikishwe mahakamani kujibu shutuma zao ili angalau turudishiwe kile walichokiiba. Siyo kujiondoa kwenye siasa alafu wanaendelea kula bata mtaani.
 
CHENGE--- intelectual man from HARVARD UNIVERSITY.....Hiz head had bond of 400 MILLIONS EURO..... chezea wengine siyo huyu,,, naaapa!!!!!!!
 
Haipendezi na ni kinyume cha kanuni kufanya hili lakini Mods mnisamehe sana kutokana na maneno na lugha wanayotumia katika mabandiko yao FMES na Willie@NYC,USA huwa nahisi they are one and the same. Just thinking aloud!
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom