Naipendatz
JF-Expert Member
- Jul 27, 2011
- 5,079
- 8,219
Wazee matokeo ya gemu ya cheka vs maugo imekuwaje??
Mliopo moro tujuzeni kama maugo keshaondoka na mbavu mbili au cheka kesha chekaWazee matokeo ya gemu ya cheka vs maugo imekuwaje??
Safari hii naona majaji hawakumbeba.Km ameshinda kiuhalali fresh, na siyo kubebwa na majaji.
Halafu me nadhan cheka atakuwa anamuogopa maugo ingawaje huwa anampiga, mana mapambano yote anayopgana na maugo huwa hakubali kuweka mkanda,bali inakuwa n mechi ya kirafiki na siyo ya ubingwa, mimi namshauri kama anajiamini kiukweli siku moja aweke mkanda uwanjani na liwe pambano la ubingwa na siyo kirafiki.