east36
JF-Expert Member
- Aug 4, 2013
- 1,299
- 473
Habari wanajamvi, hili swala limekuwa likinifikirsha kwa muda sasa. Imekuwaje katika kupanga makundi ya ligi ya klabu bingwa Afrika(CAFCL), timu mbili za kutoka Tunisia kupangwa kundi moja? Katika kundi C kuna Etoile du Sahel na Esperance de Tunis.
Je inawezekana kuna msimu Yanga na Simba wakapangwa kundi moja kwenye hatua ya makundi CAFCL?
Je inawezekana kuna msimu Yanga na Simba wakapangwa kundi moja kwenye hatua ya makundi CAFCL?