Cheka na maugo imekuwaje?

matokeo hayaji ngoja mi nianze utabiri, Maugo amepigwa kwa KO round ya nane.
Source: Nguruwe mwenye maandishi ya lugha ya lran na lraq
 
Heshima mbele wakuu!! Pambano limekwisha saa tano usiku huu...Francis Cheka kamshinda Mada Maugo kwa point
 
Duh1 Walianza kupigana saa ngapi hadi game iishe saa tano? au walikuwa wanasubiri Tanesco warejeshe stima yao!
 
kulikuwa na mapambano mengine ya utangulizi kuanzia saa kumi na mbili jioni...Juma Nature naye alitumbuiza. Pambano la Cheka na Maugo lilianza around saa nne na robo usiku na lilikuwa la raundi 10. umeme haukukatika kabisa.
 
Safari hii naona majaji hawakumbeba.Km ameshinda kiuhalali fresh, na siyo kubebwa na majaji.
 
Halafu me nadhan cheka atakuwa anamuogopa maugo ingawaje huwa anampiga, mana mapambano yote anayopgana na maugo huwa hakubali kuweka mkanda,bali inakuwa n mechi ya kirafiki na siyo ya ubingwa, mimi namshauri kama anajiamini kiukweli siku moja aweke mkanda uwanjani na liwe pambano la ubingwa na siyo kirafiki.
 
Suala la kuweka mkanda,hapangi cheka, hiyo ni kazi ya mdhamini kuwasiliana na shirikisho husika. Kiukweli!!, cheka hana mpinzani. Nawasilisha
 
Hapana, sikubaliani na @waterdeenullo,kama unakumbuka cheka pambano lilopita alibebwa na majaji kwa kusema ameshinda kwa point moja wkt hali halis tulohudhuria kwny pambano tuliyona, na hata pambano cjui km huo mchezo haujafanyka man sikuhudhuria, ngoja nijaribu kufuatilia vyanzo vyangu vya hbr nijue.
 
Safari hii naona majaji hawakumbeba.Km ameshinda kiuhalali fresh, na siyo kubebwa na majaji.

nilishuhudia hilo pambano...kulikuwa hakuna kubebwa. maugo alionekana kukata pumzi mapema na alikuwa anarusha ngumi kwa hasira as if alikuwa amepania kumshinda cheka mapema.
 
Halafu me nadhan cheka atakuwa anamuogopa maugo ingawaje huwa anampiga, mana mapambano yote anayopgana na maugo huwa hakubali kuweka mkanda,bali inakuwa n mechi ya kirafiki na siyo ya ubingwa, mimi namshauri kama anajiamini kiukweli siku moja aweke mkanda uwanjani na liwe pambano la ubingwa na siyo kirafiki.

tatizo lilikuwa kwa cheka kushindwa kushuka uzito awe na kg 72 ili aweze kutetea mkanda wake. matokeo yake ikabidi maugo apande uzito mpaka kg 75 ili pambano liweze kufanyika kwani uzito wa cheka kwa pambano la jana alikuwa na uzito wa kg 75 pia.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom