Ahmed Ally kama unanisoma hapa kesho hapa Zanzibar nikabidhi Aubin Kramo nimpeleke mafichoni nikamalize kazi

1979Magufuli

JF-Expert Member
Feb 20, 2023
438
1,752
Aubin Kramo nimemuona mwenyewe leo Zanzibar akiwa jukwaani amekaa anacheki gemu ya Simba vs Singida, Ahmed Ally kama unanisoma hapa, wazee wangu wa Pemba wamenituma wanamtaka Baleke, Phiri, Kramo na Micquisone niende nao mahali ambako napajua mimi, baada ya masaa mawili nitawarudisha wachezaji hawa na hutasikia wameshuka tena viwango wala kuumia, kesho ntakufuata asbh wakati wa mazoezi ya Simba.

Kama mbwai iwe mbwai.
 
Aubin Kramo nimemuona mwenyewe leo Zanzibar akiwa jukwaan amekaa anacheki gemu ya Simba vs Singida, Ahmed Ally kama unanisoma hapa, wazee wangu wa Pemba wamenituma wanamtaka Baleke, Phiri, Kramo na Micquisone niende nao mahali ambako napajua mimi, baada ya masaa mawili nitawarudisha wachezaji hawa na hutasikia wameshuka tena viwango wala kuumia, kesho ntakufuata asbh wakati wa mazoezi ya Simba.Kama mbwai iwe mbwai.
Fanya hivo tuko nyuma yako
 
Wapemba nyie watoto wa kiislam acheni shirki.
 
Aubin Kramo nimemuona mwenyewe leo Zanzibar akiwa jukwaani amekaa anacheki gemu ya Simba vs Singida, Ahmed Ally kama unanisoma hapa, wazee wangu wa Pemba wamenituma wanamtaka Baleke, Phiri, Kramo na Micquisone niende nao mahali ambako napajua mimi, baada ya masaa mawili nitawarudisha wachezaji hawa na hutasikia wameshuka tena viwango wala kuumia, kesho ntakufuata asbh wakati wa mazoezi ya Simba.

Kama mbwai iwe mbwai.
Hapo umenena ase
 
Wamesha check na mganga wa Hussein Tshabalala umewahi sikia lini kaumia?
 
Back
Top Bottom