Wagombea wa Chadema wote Wachaga kweli hiki chama watu hawajakijua
Excellent analysis: Wale FISI bado kidogo tuyazamishe baharini!! yanatapatapa hadi yafe menyewe!! CCM ni FISI lazima yauawe!!!!!!!!!!!!!!Yafuatayo ni matokeo ya kata zote 26 katika chaguzi zilizofanyika 16/06/2013 na 14/07/2013
WILAYA
KATA
CCM
CHDM
CUF
NCCR
DP
APPT
ADC
NRA
TOTAL
WINNER
former
Loser
Nachingwea
Stesheni
806
327
480
- - - - - 1613
CCM
CCM
Sengerema
Nyampulukano
1073
1476
38
45
- - - - 2632
CHDM
CCM
CCM lost
Sengerema
Lugata
2214
1044
- - - - - - 3258
CCM
CCM
Muheza
Genge
347
326
6
- - - - - 679
CCM
CCM
Muheza
Tingeni
362
244
4
- - - - - 610
CCM
CCM
Bahi
Ibungule
863
248
- - - 9
- - 1120
CCM
CCM
Chemba
Dalai
1361
1027
377
- - - - 2765
CCM
CCM
Mbinga
Langiro
-
-NO
-
-C
-O
-N
-T
-E
-ST CCM
CCM
Serengeti
Manchilla
676
625
16
- - - - - 1317
CCM
CCM
Mbeya
Iyela
1163
1918
- 12
20
- - - 3113
CHDM
CCM
CCM lost
Mufindi
Mbalamaziwa
1420
184
- - - - - - 1604
CCM
CCM
Kilolo
Ng'ang'awe
686
217
- - - - - - 903
CCM
CCM
Bukombe
Runzewe west
612
529
- - - - 153
1294
CCM
CCM
Temeke
Mianzini
1283
315
494
- - - 25
9
2126
CCM
CCM
Ulanga
Minepa
1196
1029
- - - - - - 2225
CCM
TLP
TLP lost
Kilombero
Ifakara
3746
4106
- - - - - - 7852
CHDM
CCM
CCM lost
Kilosa
Masanze
948
638
- - - - - - 1586
CCM
CCM
Monduli
Makuyuni
1547
360
- - - - - - 1907
CCM
CCM
Arusha
Themi
326
678
313
- - - - - 1317
CHDM
CHDM
Arusha
Kimandolu
1169
2665
- - - - - - 3834
CHDM
CHDM
Arusha
Kaloleni
389
1019
169
- - - - - 1577
CHDM
CHDM
Arusha
Elerai
1239
1715
213
- - - - - 3167
CHDM
CHDM
Babati
Bashnet
1130
2008
- - - - - - 3138
CHDM
CCM
CCM lost
Mbulu
Dangobesh
968
1558
5
- - - - - 2531
CHDM
CCM
CCM lost
Singida
Iseke
791
831
96
- - - - - 1718
CHDM
CHDM
Mtwara
Mnima
918
206
626
414
- - - - 2164
CCM
CUF
CUF Lost
Kura kata zote 27233
25293
2837
471
20
9
178
9
56050
Asilimia 49%
45%
5%
1%
0%
0%
0%
0%
100%
Positions of the Parties before and After.
CCM CHADEMA CUF TLP TOTAL Wards Before 19 5 1 1 26 Wards After 16 10 0 0 26
Gainers and Losers
Losers (Former Seats lost)
Gainers (New seats gained)
Net Final position
TLP Lost 1 to CCM
CHADEMA Gained 5 from CCM
CHADEMA GAINED 5
CUF Lost 1 to CCM
CCM - Gained 2 (From TLP and CUF)
CCM LOST 3
CCM Lost 5 to CHADEMA
TLP LOST 1
CHADEMA - none
CUF LOST 1
Ni matumaini yangu kuwa namba zinajieleza vizuri.
1. Asilimia ya Kura:
CCM wamepata 49%, Chadema 45%, CUF 5% vyama vingine 1%
2. Ushindi wa Jumla wa Kata:
CCM wameshinda kata 16 (moja wameshinda bila kupiga kura kwa kuwa hakukuwa na wagombea wa upinzani) na Chadema wameshinda kata 10.
3. MLINGANISHO NA HALI ILIVYOKUWA BAADA YA UCHAGUZI 2010
4. MAMBO YA KIMKAKATI YA KUZINGATIA KWA VYAMA HUSIKA.
- Chadema wameongeza viti 5
- CCM wamepoteza viti 3
- TLP na CUF wamepoteza kiti kimoja kimoja.
a. Vyama vya Upinzani.
Ukiangalia majimbo ya Stesheni (Nachingwea) na Mnima (Mtwara) wapanzani wakijumlisha kura zao walipata kura nyingi zaidi kuliko CCM, lakini CCM ameibuka mshindi. Hali hii ilikuwepo Kenye pia katika chaguzi mbili za kwanza za vyama vingi ambapo KANU ilikuwa inashinda, lakini kura za upinzani ni nyingi. Hapa ndipo inabidi kufikiria mkakati wa ushindi.
Niwakumbushe tu, wakati wa vita ya pili ya dunia Uingereza iliunda ushirika na Urusi, kwa kuwa waliona nguvu za Ujerumani wasingeziweza wakiwa wametengana. Japo kwa kweli hakukuwa na urafiki mwingine wowote wa dhati kati ya nchi hizi, lengo la ushindi kwa wote liliwaunganisha. Maadui huungana na kuwa rafiki wanapokuwa na tishio la pamoja. Vyama vya upinzani visipoona hivyo, CCM itaendelea kudumu miaka mingi sana ijayo, japo kwa kura kidogo zaidi na zaidi.
Wapinzani Tanzania kama wanahitaji ushindi, wanahitaji kufikiria hili. Ukiangalia jumla ya kura zilizopigwa, CCM wana 49% lakini wana viti vingi zaidi ya 50% vilivyogombaniwa. Hakika CUF ingeungwa mkono na CHADEMA NA NCCR Mageuzi Mtwara na Nachingwea CCM wangepoteza. Kadhalika CUF ingeunga mkono Chadema Kata ya Dalai Dodoma wangewashinda.
Hata hivyo kila chama kinapaswa binafsi kuendelea na kampeni za kujijenga kule ambako bado hawafahamiki, huku wakijitahidi kuhudumia vema wale waliowapa uwakilishi.
b. Chama cha Mapinduzi.
Kwa kweli chama chetu kikongwe Tanzania kinahitaji kujitafiti. Uchaguzi mdogo wa madiwani wa Oktoba 2012, CCM ilipoteza viti kadhaa. Kwa haraka haraka nakumbuka walipoteza Kata 4 zikiwemo ya Daraja Mbili Arusha, Kata ya Ipole wilayani Sikonge - Tabora, na kata ya Lengali wilayani Ludewa. Katika uchaguzi huu CCM wamepoteza kata 5 zilizokuwa mikononi mwao, na kupata mpya mbili zilizokuwa TLP na CUF.
Kipropaganda ni rahisi kuhesabu viti kuwa kati ya kata 26 mmeshinda kata 16. Kimoyomoyo mnajua kuwa mnawakilisha kata chache zaidi sasa kuliko awali. Ni vizuri kujiuliza kama chama iwapo mambo yako sawa ndani ya Chama. Je ni sera? Je ni watendaji? Je ni kubweteka? Je ni mbinu ambazo badala ya kujenga mvuto kwa watu zinazidi kuwafanya watu wakichoke na kukichukia chama hiki tawala? Je ni timu ya kampeni?
Kwa vyovyote vile ni lazima mfanye tafakari. Mfahamu pia kuwa mbinu za kutisha watu kwa vyombo vya dola na kufungua kesi za kubambikiziana, na kujaribu ku criminalize the opposition zinafanya wananchi wawachukie zaidi kuliko kuwapenda.
Hiyo ni tathmini yangu. Nakaribisha mjadala.
Sikatai kila mtu anamapungufu yake kama ilivyo kwa ccm hivyo na cdm yaweza kuwa nayo na kwakweli napenda kuona wapenda mabadiliko kuichallange cdm ili izidi kujiimarisha zaidi ni vizuri kwa hilo ulilolisema na sina ugomvi nalo. kwa hayo machache nililosema nitarejea kauli yako kuwa cdm haijanya chochote sehemu ilikopita mi nadhani ili kuijenga cdm ungeainisha kabisa ni wapi huko ili tuelewe kuwa umeweka data zenye uhakika zitakazosaidia kujisahihisha kinyume na hapo zitakuwa ni propaganda za kuwaaminisha watu kuwa cdm haijafanya chochote ilhali watu tukiziona tofauiti kubwa ktkhalmashauli zile zinazoongozwa ccm na zile za cdm. Je usafi wa mji wa moshi vip ? mpango wa kusomesha baadhi ya watoto bure sec Arusha na Moshi huoni? ufisadi unaoibuliwa kwenye Halmashauli vp mpaka kazi ya Utto imeanza kuonekana kwani siku zote utto alikuwa wapi. vp hoja ya mnyika bungeni kuhusu maji? vp hoja ya zitto kuhusu mapesa ya uswiss na kumng'oa waziri mkuu pale asipowajbika. vp hoja ya kamanda kipenzi cha vijana ambaye hata mimi nampenda sana lema kuhusu waziri mkuu pale anapolidanganya taifa nayo sio kitu? vp uhodari wa kamanda mrembo sana aliyeandika historia ktk taifa hili kuongoza jimbo muhimu tz, Mdee, vp hoja zake juu ya migogoro ya Ardhi? Ni yeye aliyefanya nikajua kuwa ardhi ya wazee wangu imeuzwa kwa mwekezaji wakati mi niko shule......na mifano mingine mingi.Mkuu Mtu wa Shamba,
Kwanza asante sana kwa tathmini iliyokwenda shule.
Tathmini yako inaonyesha wazi CCM is loosing big time na Chadema id gaining big gain!.
Kwa upande wangu, kushinda au kushindwa ni matokeo, nataka nijikite zaidi katika the reasons behind that loss or gain kwa vyama viwili tuu, CCM na Chadema tuu!.
Nikianza na CCM.
CCM imepoteza ama kutokana na kuchokwa, kukosa mvuto, au kuadhibiwa kwa kupigiwa kura za chuki kufuatia kampeni chafu, siasa za majo taka, na baadhi ya mbinu chafu inazotumia kisiasa, kubakia watu kesi, matumizi mabaya ya vyombo vya dola, mauaji, etc, kwa kifupi CCM imeangushwa kwa chuki, hasira na kuchokwa na sio kwa sababu haijafanya kitu!.
Nikija kwa Chadema
Chadema kimeendelea kupata ushindi mnono kutokana na kupendwa!. Nakijiuliza Chadema kimefanya nini kustahili kupendwa huku, sioni kitu!. Chadema kinaendelea kushinda kwa sababu CCM imechokwa, na inachukiwa, hivyo kuna maeneo hata Chadema wangesimamisha jiwe, jiwe lingeshinda!. Hivi ndivyo hali ilivyokuwa kwa baadhi ya ushindi wa Chadema kwenye uchaguzi wa 2010, kuna wabunge na madiwani wa Chadema wameshinda, ukiangalia any substance ya ushindi wao, huioni, ila wameshinda simply kwa sababu CCM imechokwa!.
Kuelekea Uchaguzi wa 2015.
Kwa Upande wa CCM
Kufuatia CCM kuchokwa baadhi ya maeneo, CCM itaendelea kushindwa hata itafanya nini!. Mfano jimbo la Ubungo, by 2015, serikali ya CCM itakuwa imeishakamilisha kujenga barabara za juu kwa juu (fly over) pale makutano ya Ubungo, na mabasi ya mwendo kasi yakiranda kwenye njia zake jijini Dar es salaam, hivyo itajiamini sasa itapendwa wanananchi watakuwa wameshuhudia maendeleo kwa macho yao wenyewe, hivyo sasa wataichagua tena CCM!, no way!. Salama ya CCM kwa 2015 ni kukubali kubadilika na kujiandaa kwa co-existance na wapinzania kuwakubali kuwa hawa sio maadui bali ni washirika wenza katika utawala wa taifa hili, wawapende, wawakubali, na wajiandae kushirikiana nao vinginevyo ....
Kwa Upande wa Chadema.
Wasiendelee kuvimba kichwa kwa kupendwa na kubetweka kwa ushindi uliopatikana kwa muchukiwa kwa CCM!, ili Chadema kiweze kwenda Ikulu, it has to give out reasons za kuichagua besides ushindi wa kura za walioichoka CCM!. Jee Chadema ikishinda, inataraji kufanya nini Ikulu tofauti na CCM?!. Hicho Chadema inachotaraji kufanya, ndicho kiwe sababu ya kuiingiza Ikulu, na sio huu ushindi wa ubwete kinaupata kwa sasa kwa sababu tuu CCM imechokwa!.
My Take.
Naendelea kuipongeza Chadema kwa kukubalika, bali bado naendelea kulitoa angalizo lile lile kuwa kwa uongozi wa nchi kuelekea 2015, Chadema bado haijajipanga!, rejea hapa.
Ila pia Mkuu Mtu wa Shamba, nimeipenda sana hii statement yako
"Maadui huungana na kuwa rafiki wanapokuwa na tishio la pamoja. Vyama vya upinzani visipoona hivyo, CCM itaendelea kudumu miaka mingi sana ijayo, japo kwa kura kidogo zaidi na zaidi".
Naemdelea kuwasisitiza Chadema, peke yenu hamuwezi!. Japo rasimu ya katiba mpya inapendekeza serikali tatu, Watanzania wanaweza kuamua wanataka serikali mbili, hivyo ili chama kishinde, ni lazima kipate angalau theluth moja ya kura kutoka kila upande!, siioni theluth yoyote ya kura za Chadema kutoka visiwani. Japo CUF ni chama adai kwa Chadema kutoka na usharika wake na CCM, Chadema has to find a common denominator ya kushirikiana na adui for fighting a common enemy!, vinginevyo 2015 wapinzani watagawana kura na kujikuta CCM ikiendelea kuongoza kwa simple majority, wakati kama wange join forces, wanaweza kabisa kuiweka kando CCM!.
All the best.
Pasco.
Mtu wa shamba,
Hongera sana. This is good analysis. Kuungana kwa vyama ili kuindoa ccm madarakani ni vigumu sana. Hii inatokana na rule and divide strategy ya ccm. Inafahamika wazi kuwa vyama vingi vya upinzani ni vibaraka wa ccm, hat hivyo imewashangaza sana ccm kuona chama kimojawapo kama cdm wanakuwa vigahiri na kinyume cha mategemeo yao.
Kwa miaka mingi ccm imejiaminisha kuwa chama tawala milele ndo maana wanashangaa, na hawaamini kama madaraka yao yatapokonywa 2015. Mbinu zao zote hakuna inayofanikiwa zikiwemo hizo za mauaji, vitisho na kuwanyima maendeleo majimbo pinzani.
Kibaya zaidi ni ulevi wa madaraka, kiburi na uongo wa wazi wazi wa watawala wao. Kwa ujumla mimi binafsi nashangaa nikiona bado kuna hata kijana mmoja anaisupport ccm. Wanayoyafanya sasa ni zaidi ya ubaya wa kibinadamu uliopitiliza. Ukiona watu walionakashifa ndio wanajipitisha kutafuta urais....; ukiona mwendelzo wa rushwa....ukiona hoja za wabunge wa chama chao.....; ukiona majigambo ya maendeleo ya waliyafanya 50 yrs kwa kulinganisha na hali halisi ya resources zetu na nchi nyingine.....inatia kinyaaa
Hata hivyo ccm wanweza kuendelea kuwepo kwa sababu kuu mbili 1) ujinga na elimu ndongo ya wapiga kura 2) umaskini (kwa kupewa chakula, khanga....wakati wa kura); 3) Vitisho na maandalizi yao ya kufanya mapinduizi (rejea nchi siwezi kuwapa wapinzani...ili limeishatokea Zanzibar na watataka kulifanya Bara), wapige tu, wapige tu, tumeishawachoka.....
CDM itaweza kuingia madarakani 2015 hata bila support ya kura za 'wapinzani wengine' kama 1) wakiendeleza m4c vijijijini 2) kusimamia uboreshaji wa kitabu cha wapiga kura 3) tume ya uchaguzi kuwa huru (zaidi kwa amani ya tzn), kuhimiza watu kupiga kura kama silaha ya ukombozi wao 5) KULINDA KURA ZAO, KUHIMALISHA red brigade...
hizo bold red za kutafakali san kwa CDM. kubaki madalakn ni jambo dogo sana kwa viongozi, jarb hata kufanikisha 10% ya ahdi zako hakika utarudi uongozin Lov CDM.Mkuu Mtu wa Shamba,
Kwanza asante sana kwa tathmini iliyokwenda shule.
Tathmini yako inaonyesha wazi CCM is loosing big time na Chadema id gaining big gain!.
Kwa upande wangu, kushinda au kushindwa ni matokeo, nataka nijikite zaidi katika the reasons behind that loss or gain kwa vyama viwili tuu, CCM na Chadema tuu!.
Nikianza na CCM.
CCM imepoteza ama kutokana na kuchokwa, kukosa mvuto, au kuadhibiwa kwa kupigiwa kura za chuki kufuatia kampeni chafu, siasa za majo taka, na baadhi ya mbinu chafu inazotumia kisiasa, kubakia watu kesi, matumizi mabaya ya vyombo vya dola, mauaji, etc, kwa kifupi CCM imeangushwa kwa chuki, hasira na kuchokwa na sio kwa sababu haijafanya kitu!.
Nikija kwa Chadema
Chadema kimeendelea kupata ushindi mnono kutokana na kupendwa!. Nakijiuliza Chadema kimefanya nini kustahili kupendwa huku, sioni kitu!. Chadema kinaendelea kushinda kwa sababu CCM imechokwa, na inachukiwa, hivyo kuna maeneo hata Chadema wangesimamisha jiwe, jiwe lingeshinda!. Hivi ndivyo hali ilivyokuwa kwa baadhi ya ushindi wa Chadema kwenye uchaguzi wa 2010, kuna wabunge na madiwani wa Chadema wameshinda, ukiangalia any substance ya ushindi wao, huioni, ila wameshinda simply kwa sababu CCM imechokwa!.
Kuelekea Uchaguzi wa 2015.
Kwa Upande wa CCM
Kufuatia CCM kuchokwa baadhi ya maeneo, CCM itaendelea kushindwa hata itafanya nini!. Mfano jimbo la Ubungo, by 2015, serikali ya CCM itakuwa imeishakamilisha kujenga barabara za juu kwa juu (fly over) pale makutano ya Ubungo, na mabasi ya mwendo kasi yakiranda kwenye njia zake jijini Dar es salaam, hivyo itajiamini sasa itapendwa wanananchi watakuwa wameshuhudia maendeleo kwa macho yao wenyewe, hivyo sasa wataichagua tena CCM!, no way!. Salama ya CCM kwa 2015 ni kukubali kubadilika na kujiandaa kwa co-existance na wapinzania kuwakubali kuwa hawa sio maadui bali ni washirika wenza katika utawala wa taifa hili, wawapende, wawakubali, na wajiandae kushirikiana nao vinginevyo ....
Kwa Upande wa Chadema.
Wasiendelee kuvimba kichwa kwa kupendwa na kubetweka kwa ushindi uliopatikana kwa muchukiwa kwa CCM!, ili Chadema kiweze kwenda Ikulu, it has to give out reasons za kuichagua besides ushindi wa kura za walioichoka CCM!. Jee Chadema ikishinda, inataraji kufanya nini Ikulu tofauti na CCM?!. Hicho Chadema inachotaraji kufanya, ndicho kiwe sababu ya kuiingiza Ikulu, na sio huu ushindi wa ubwete kinaupata kwa sasa kwa sababu tuu CCM imechokwa!.
My Take.
Naendelea kuipongeza Chadema kwa kukubalika, bali bado naendelea kulitoa angalizo lile lile kuwa kwa uongozi wa nchi kuelekea 2015, Chadema bado haijajipanga!, rejea hapa.
Ila pia Mkuu Mtu wa Shamba, nimeipenda sana hii statement yako
"Maadui huungana na kuwa rafiki wanapokuwa na tishio la pamoja. Vyama vya upinzani visipoona hivyo, CCM itaendelea kudumu miaka mingi sana ijayo, japo kwa kura kidogo zaidi na zaidi".
Naemdelea kuwasisitiza Chadema, peke yenu hamuwezi!. Japo rasimu ya katiba mpya inapendekeza serikali tatu, Watanzania wanaweza kuamua wanataka serikali mbili, hivyo ili chama kishinde, ni lazima kipate angalau theluth moja ya kura kutoka kila upande!, siioni theluth yoyote ya kura za Chadema kutoka visiwani. Japo CUF ni chama adai kwa Chadema kutoka na usharika wake na CCM, Chadema has to find a common denominator ya kushirikiana na adui for fighting a common enemy!, vinginevyo 2015 wapinzani watagawana kura na kujikuta CCM ikiendelea kuongoza kwa simple majority, wakati kama wange join forces, wanaweza kabisa kuiweka kando CCM!.
All the best.
Pasco.
ciril ndugu yangu, huwezi kutoa andishi bila kujali hisia. ila hisia haziruhusiwi kufifisha ukweli na uhalisia wa chochote kinachojadiliwa.notradamme Mkuu umejitahidi sana kupotosha baadhi ya mambo mengi katika uchambuzi wako.Kwanza ni makosa sana kuihusisha Chadema na vurugu.Ingekuwa vizuri ukatambua kwanza nini maana ya vurugu na chanzo chake ni kipi.(VURUGU-kuvunja/kuharibu utaratibu flani/kufanya mambo kinyume).
Kwa tafsiri hiyo ndogo nnaomba tujiulize kati ya CHADEMA/police na Serikali kuu ni nani anafanya vurugu.Kwa mujibu wa katiba yetu inaturuhusu kukusanyika/kujadiliana na inatutaka tu kutoa TAARIFA kwa jeshi la police ili watupatie wananchi haki yetu ya kulindwa.Chadema wanatoa matangazo kwa raia kuhusu mkutano na wananchi wanaitikia mwito,tatizo linakuja kwa police na Serikali.Police wanatoa katazo la kutokufanya mkusanyiko wowote(kumbuka police hawana mamlaka ya kuzuia mkusanyiko wao hupewa TAARIFA tu).Wanapokuja na kulipua mabomu ya machozi na risasi za moto kisa kutawanya mkutano halali(kwa mujibu wa katiba yetu)ni nani kati ya hawa(police/Chadema/Serikali)wanafanya fujo-kuvuruga utaratibu?
Mlipuko wa bomu Arusha uliosababisha maisha ya watu kupotea tuliona fujo za police/ccm/Seikali.Lukuvi aliamka Bungeni na kuudanganya uma,Nape nae aliibuka mbele ya waandishi wa habari na kudanganya uma na alifika mbali zaidi kwa kuitaja Chadema ndio wahusika wakuu.Police kupitia kwa Chagonja aliibuka na vitisho vya hali ya juu kwa viongozi wa Chadema kwa kuwataka wajisalimishe kwake utafikiri Mbowe na Lema ndio watuhumiwa wakuu.Police/Serikali/CCM ndio vyanzo vikuu vya vurugu nchini.
Tukio la Mwangosi police walimuua live bila chenga mwandishi wa habari Daudi Mwangosi mbele ya RPC Kamhanda na bila ya woga wakaja na sinenma yao kuwa waliomwua Mwangosi ni wafuasi wa CHADEMA na alikufa kutokana na kitu kizito kilichorushwa na hao wafuasi,TUNASHUKURU MUNGU PICHA ZILIWAUMBUA WAKIMUUA MWANGOSI picha likageuka na kumfungulia masitaka askari alieua na kichekesho zaidi wakampandisha cheo Kamhanda(kwa kusimamia mauaji).
Katika matukio yoote mabaya yanayofanywa juu ya Chadema ili mkiangamize hamtaweza asilani abadani,angaliana uchambue mambo kiuhalisia na sio kihisia zaidi.Kama chama cha CHADEMA ni hatari kwa nini msajili wa vyama vya siasa hajakifuta?Tuna matatizo mengi sana ya kujadili katika nchi hii tajiri inayonyonywa na Watawala(Mafisadi)wachache,Ushauri wa bure CCM pambaneni na matatizo yanayoikabili nchi hii acheni kupambana na chama cha CHADEMA.
Mkuu Awo, cheo cha U-DC ni cheo kikubwa sana kwangu, na mshahara wake na marupurupu yake manene sana, wengi wanautamani, ila amini usiamini, kuna wengine wetu tumezoea shida kiasi kwamba hatuzitamani kabisa hizo posti za kupewa!. Mimi tangu 2002 I'm on my own, more than 10 years now!, situmwi, natuma!, although I don't make much, kuniambia nasotea tena kuja kutumwa kwa take home ya DC, ni kunishusha sana!. Kwa vile CCM ndio mpango mzima wa dili zote za kukomba fungu, nikikwama kabisa, nitakata kadi ya CCM na kupiga hodi Ikulu kuomba kazi ya U DC na kwa CV yangu na uzoefu, nitapata ili nianze tena kutumwa na kuyaka asubuhi kuwahi kazini. Tena nitashauri nipangiwe kuwa DC wa Hai au Karatu, ili niwashughulikie ipasavyo jamaa zangu wawili hawa kabla ya 2015 ibakie hadithi tuu!.
Hivi unajua kuna watu fulani fulani wanatafutwa na maisha mazuri, wao hawapendi kisa wamezoea shida?!, hata raha zikiwaita wanazigomea wao wanatafuta tuu shida?!. Kwa mfano namuonea raha sana mwalimu wangu mmoja wa pale UD alikuwa ni mkuu wa idara na level ya kukaribia kabisa kuwa Prof, ati na yeye sasa ni DC!. Just imagine Pasco wa PPR, anaeroll almost that much wakati wa Saba Saba pekee, leo anakuwa DC kusubiria ...mwisho wa mwezi!.
Please gi'me a break!.
Pasco.