CHADEMA yashinda Kirumba na Songea na Kiwira

Kwa mujibu wa zitto kabwe akitweet akaunti yake ya twitter,ni kuwa chadema imeshinda kwa matokeo hayo.
 
Mbio za skafuni hizo mtajuta matokeo ya mwisho CCm ipo juu bwasheee!
 
Ni wakati wa ukombozi.. Nipo na Serengeti baridiii najipongeza! Aibu ya mkuu wa kaya na magamba yake!
 
Back
Top Bottom