CHADEMA yashinda Kirumba na Songea na Kiwira

Izi plain updates bila statistics zinakera!
Ivi mnadhani apa ni kama kwenye magazeti ya udaku
 
mkuu toa taarifa km alivyofanya mwita maranya! Habari za kigamboni!
 
Viwanja vya furahisha kumetanda.Masamaki haonekani ili asaini matokeo.
 
mbona utavipata vingi tu!
Haya ni mapambano kati ya WATU na CCM. Kati ya UADILIFU na MAJOKA (ref kuvua gamba)
 
Matokeo bado hayajatangazwa.kwa yale ambayo yako,mikononi mwangu(baada ya kujumlisha vituo vyote)CDM inaongoza kwa kura 2609,CCM 1786.Ntawajulisha zaidi,
 
Back
Top Bottom