CHADEMA yashinda Kirumba na Songea na Kiwira

Hongereni Makamanda; Welldone; together the movement for change is possible.
 
Hizi ni salamu tosha za kuchukua nchi 2015. PEOPLES....................................................................
 
Hongera CDM ila cha kusikitisha CCM bado inaweza kupata kura 1706. Hii inabidi ibadilike kabla ya 2015.
 
Haya sasa, CCM damu ya watu inawatafuna. Si watulie wajipange kwani mbona wakitolewa wangeweza tu kuwa wenzetu hata wakiingia CHADEMA ikulu?
 
Naomba wanaoleta taarifa mlete taarifa sahih,hakuna jambo baya kuleta habari isiyojitosheleza.ongera cdm kwa ushndi.saa ya ukombozi inakaribia
 
Huu ni wakati wa kusoma nyakati kwa wana CCM , na kama UVCCM tutabaki mifukoni mwa kina Fisadi Mtoto basi tena ndio hatuna chetu next election.
 
Diwani wa kirumba ameshinda...

Chadema 2,731

CCM 2,131

Diwani wa Chadema ameshatangazwa tayari kuwa ndiye diwani wa Kata ya Kirumba...
 
Unapotoa taarifa tujulishe kwa evidence, na pia chanzo cha taarifa hizo

vp roho inakuuma chadema kushinda hzo kata 3 eeh.!? Jaribu hata kusikiliza redio ama kuangalia tv kama kwenu ipo.!
wela wela wela chadema.!!
 
Wale tumesoma zamani mnakumbuka huu Wimbo? The wind of change is coming home! The Africa, continent! A customisation to Tanzania version!
 
Back
Top Bottom