CHADEMA yashinda Kirumba na Songea na Kiwira

habari ndo hii vituo vyote naona cdm vigeregere.subira jamani
 
Najua CCM wanakufa kwa kuumia sana kama mjonjwa wa Kansa lakini kama hii ni kweli kifo chao ni cha gafla mno
 
Mitaa yote ya Kirumba na vitongoji vyake shughuli zimesimama, ulinzi, nderemo na vifijo TAYARI kutangaza mshindi.
CHADEMA imeongoza karibu vituo vyote.
 
Back
Top Bottom