CHADEMA yashinda Kirumba na Songea na Kiwira

Raha sana aisee sasa tunamsubiri mbunge wetu wa arumeru. Peoplesssssss powerrrrrrr
 
mgao WA umeme utakuwa historia.
harafu mwendelee kushinda!!
Never!

Waongo wakubwa !
 
Ndiyo wakuu, mwanza yaendelea kuwa ngome ya cdm baada ya kushinda kwa kishindo dhidi ya ccm a.k.a Magmba. Takwimu ntawajuza . Source- Mimi mwenyewe wakala.
 
safi sana chadema Mungu azidi kuwa upande wenu ili mchukue nchi kabisa
 
Wakuu kwa furaha sana
nashawishika kutangaza kuwa
makamanda wameshinda
Kirumba Mwanzana Songea as
per Zitto tweet
Zitto Zuberi Kabwe @ zittokabwe
#Kirumba Mwanza #CHADEMA
2938 #CCM 2131. We can
confirm that we have won
back
this Ward
 
Back
Top Bottom