Join Date : 15th April 2012
Posts : 158
Rep Power : 297
Likes Received 11
Likes Given 0
[FONT=comic ha ha ha ha ha ha you have made ma day nimefurah sana

wakuu hichi chama cha demokrasia na maendeleo CHADEMA kina zidi kupoteza mvuto kwa wananchi majimboni...
Sababu kubwa ya kuchokwa mapema ni Wabunge wake kutumia muda mwingi kuhamasisha maandamano mikoani badala ya kuleta maendeleo.
Join Date : 15th April 2012
Posts : 158
Rep Power : 297
Likes Received 11
Likes Given 0
Hangover za Corner Bar hizi.....

Condo.m ya gamba at work!
Nenda kafanye vipimi huenda una brain damage.
tatizo ugonjwa ulionao(brain coccusion) hauna tiba subiri tu kufaUmeniudhi sana kuwastua mapema hawa,wenzako hilo tulilijua siku nyingi sana lakini kwa kuwa tunajua kula na vipofu tumekua tukiwachunia tu ili waendelee kupoteza muda kwenye kususa na kuandamana huku wakiendelea kupoteza umaarufu,sasa kwa thread kama hizi wataamka hawa watu,ungewaacha tu.
wakuu hichi chama cha demokrasia na maendeleo CHADEMA kina zidi kupoteza mvuto kwa wananchi majimboni...
Sababu kubwa ya kuchokwa mapema ni Wabunge wake kutumia muda mwingi kuhamasisha maandamano mikoani badala ya kuleta maendeleo.
Join Date : 15th April 2012
Posts : 158
Rep Power : 297
Likes Received 11
Likes Given 0
Hangover za Corner Bar hizi.....
Maendeleo endelevu ya kiuchumi hayaji bila maendeleo ya kisiasa na uwazi. Haya mawili ni nyuso mbili za sarafu moja. Usipokuwa na muamko wa kisiasa wachache watafuja mali za nchi na kuharibu uwezekano wa maendeleo zaidi.
Ili nchi kuendelea inabidi kila mtu ajue haki yake na kuitumia vilivyo, vile vile atimize wajibu wake.
Waache wahimize watu kudai haki zao za uraia.