CHADEMA yapoteza mvuto majimboni..Tumewachoka

wakuu hichi chama cha demokrasia na maendeleo CHADEMA kina zidi kupoteza mvuto kwa wananchi majimboni...
Sababu kubwa ya kuchokwa mapema ni Wabunge wake kutumia muda mwingi kuhamasisha maandamano mikoani badala ya kuleta maendeleo.

Umetumwa?

Join Date : 15th April 2012

Posts : 158

Rep Power: 297

Likes Received: 12

Likes Given: 0
 
Pamoja sana Judi Wabunge wa Chadema wamejawa na porojo nyingi na wengi wameyakimbia majimbo yao kwa ajili ya kupata posho za maandamano. Hakuna hata mbunge mmoja wa sasa alifikia kiwango cha Marehemu Chacha Wange ambaye utendaji wake kipindi hicho ulionekana na kuwa mfano kwa Tanzania nzima. Najua wafuasi wao hawataki kukubali ukweli na wanawalinda wabunge ambao hawatendi kazi katika majimbo yao na kuwaona malaika
Ficha ujinga wako na sio lazima uanzishe thread hapa
 
wakuu hichi chama cha demokrasia na maendeleo CHADEMA kina zidi kupoteza mvuto kwa wananchi majimboni...
Sababu kubwa ya kuchokwa mapema ni Wabunge wake kutumia muda mwingi kuhamasisha maandamano mikoani badala ya kuleta maendeleo.
dada ni majimbo yapi cdm wamechokwa? Au unaota!
 
Tunashinikiza Mawaziri wajiuzulu ni sawa, tunawasahau wabunge kama Msigwa, Mdee, Kiwia, Sugu, Machemli, Shibuda,Wenje na wengineo wengi + Viti Maalumu wamefanya nini kwa majimbo yao Poor kabisa wabunge wa CDM kazi kutafuna Posho za vikao vya bunge na Ruzuku ya Chama:bounce:
 
dada ni majimbo yapi cdm wamechokwa? Au unaota!

naona Mr Emmy amejibu hapo chini

"Tunashinikiza Mawaziri wajiuzulu ni sawa, tunawasahau wabunge kama Msigwa, Mdee, Kiwia, Sugu, Machemli, Shibuda,Wenje na wengineo wengi + Viti Maalumu wamefanya nini kwa majimbo yao Poor kabisa wabunge wa CDM kazi kutafuna Posho za vikao vya bunge na Ruzuku ya Chama:bounce: "
 
Hao chadema zaidi ya kelel na majigambo kila kukicha mie huwa sioni la maana wanalolifanya. Ni keleleeeeeeeeeeeeeeee. Mapaka tunachoka.
 
Sijui hata nini kimeandikwa hapa!!

Ukiona mtu anajiita ....wa kishua kuna mambo kadhaa

  • huenda anapenda sana dezo na ni maskini wa kutupwa kiakili na mali..
  • huenda ana inferiority complex
  • huenda amevimbiwa na pesa chafu
  • hana hoja..
  • ...

hakuna la kuchangia hapa!!
 
Sio bure una matatizo Ondoa hiyo tumewachoka na weka umewachoka..Unaona jinsi chama chako cha magamba kinavyoboronga kila kukicha????jaribu kusoma alama za nyakati
 
Umetumia Demokrasia yako vizuri, Lakini uliyemshauri anatakiwa achanganye na akili yake mwenyewe.
 
mtoa mada sema hivi sera za chadema zachokwa Na ccm. za chukua chako mapema NDIO zapendwa , siku y akiama uwepo ujitokeze kutetea ujinga wako.
 
Kama umekosa lakufanya msaidie mkewe kuosha viombo naku fua nepi za mtoto,utakua umefanya jema kuliko kuleta huu ujinga naku ziirisha ukilaza wako.
 
Unayo-ongea hayana mshiko.Kama kuna haja ya kuhamasisha maandamano kwa nini wasifanye hivyo?Halafu kuna chama kipi kimeleta maendeleo.CCM?Huna hoja wewe,,nyamaza.
wakuu hichi chama cha demokrasia na maendeleo CHADEMA kina zidi kupoteza mvuto kwa wananchi majimboni...
Sababu kubwa ya kuchokwa mapema ni Wabunge wake kutumia muda mwingi kuhamasisha maandamano mikoani badala ya kuleta maendeleo.
 
masikini! pole zako
hujawahi kusikia hata mahali hivi wakisema cdm hata wakisimamisha jiwe litashinda...hujawahi... aiseee pole sana au ulimaanisha Zanzibar...

mbona wana wabunge 48 tu,hayo majimbo mengine walishindana na kushindwa na mawe?

acheni kujipa matumaini chama chenu bado kichanga sana,inabidi mfocus ku double kwanza hiyo namba ya wabunge wenu,otherwise mtakufa kifo cha kawaida kama nccr ya mrema na marando
 
Ingekuwa hivyo mbona hata kamati kuu ya CCM wasingekubali kuvunja baraza la mawaziri. Ni bora wabunge wa CDM kuhamasisha maandamano kuliko wa CCM kuteteaa ufisadi. Na mtakiona cha moto jipeni moyo tu days za CCM kutawala kwa raha sasa are numbered
 
Pamoja sana Judi Wabunge wa Chadema wamejawa na porojo nyingi na wengi wameyakimbia majimbo yao kwa ajili ya kupata posho za maandamano. Hakuna hata mbunge mmoja wa sasa alifikia kiwango cha Marehemu Chacha Wange ambaye utendaji wake kipindi hicho ulionekana na kuwa mfano kwa Tanzania nzima. Najua wafuasi wao hawataki kukubali ukweli na wanawalinda wabunge ambao hawatendi kazi katika majimbo yao na kuwaona malaika
Kasome hansad za bunge za hivi karibuni uone ni nani anaongoza kwa kuwa na +ve contribution katika utungaji wa sheria, Hata Zungu alisema ukweli siku cdm waliposusia ule mswada wa ukusanyaji wa maoni kuhusu mabadiliko ya katiba. Kama wewe ni Mtafiti kweli katafute alichosema utuletee hapa,
 
Kweli wazimu umesambaa ndani ya damu na mifupa yako.

endeleeni kuamini mmesisimama wakati mmekaa,hamtosimama milele kwa style hiyo,mnaamini mna nguvu wakati hamna hata nusu ya wabunge wa bunge zima,nyie watu wa ajabu sijapata kuona,kweli mbowe kawafanya misukule
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom