CHADEMA yapoteza mvuto majimboni..Tumewachoka

wakuu hichi chama cha demokrasia na maendeleo CHADEMA kina zidi kupoteza mvuto kwa wananchi majimboni...
Sababu kubwa ya kuchokwa mapema ni Wabunge wake kutumia muda mwingi kuhamasisha maandamano mikoani badala ya kuleta maendeleo.

Umeniudhi sana kuwastua mapema hawa,wenzako hilo tulilijua siku nyingi sana lakini kwa kuwa tunajua kula na vipofu tumekua tukiwachunia tu ili waendelee kupoteza muda kwenye kususa na kuandamana huku wakiendelea kupoteza umaarufu,sasa kwa thread kama hizi wataamka hawa watu,ungewaacha tu.
 
Join Date : 15th April 2012

Posts : 158
Rep Power : 297
Likes Received 11

Likes Given 0

Hangover za Corner Bar hizi.....

Maendeleo endelevu ya kiuchumi hayaji bila maendeleo ya kisiasa na uwazi. Haya mawili ni nyuso mbili za sarafu moja. Usipokuwa na muamko wa kisiasa wachache watafuja mali za nchi na kuharibu uwezekano wa maendeleo zaidi.

Ili nchi kuendelea inabidi kila mtu ajue haki yake na kuitumia vilivyo, vile vile atimize wajibu wake.

Waache wahimize watu kudai haki zao za uraia.
 
Hivi hizi rep power siku hizi invisible anazigawaje? Posts 158 na rep power 297?!
Join Date : 15th April 2012

Posts : 158
Rep Power : 297
Likes Received 11

Likes Given 0

Hangover za Corner Bar hizi.....

wakuu hichi chama cha demokrasia na maendeleo CHADEMA kina zidi kupoteza mvuto kwa wananchi majimboni...
Sababu kubwa ya kuchokwa mapema ni Wabunge wake kutumia muda mwingi kuhamasisha maandamano mikoani badala ya kuleta maendeleo.

dogo unawanga siyo?
Tumia kichwa chako kwa kuwaza kabla ya kuangukia humu jamvini kilaza wee!
 
wakuu hichi chama cha demokrasia na maendeleo CHADEMA kina zidi kupoteza mvuto kwa wananchi majimboni...
Sababu kubwa ya kuchokwa mapema ni Wabunge wake kutumia muda mwingi kuhamasisha maandamano mikoani badala ya kuleta maendeleo.

Na wewe ni mmoja wao wana magamba
 
wakuu hichi chama cha demokrasia na maendeleo CHADEMA kina zidi kupoteza mvuto kwa wananchi majimboni...
Sababu kubwa ya kuchokwa mapema ni Wabunge wake kutumia muda mwingi kuhamasisha maandamano mikoani badala ya kuleta maendeleo.

Hovyoo!!Umeambiwa hayo maandamano wanayohamasisha Chadema ni ya kudai nyongeza za posho za wabunge?Hivi hufahamu kuwa maadamano hayohayo unayodai umechoshwa nayo yalisaidia kupunguza bei ya sukari huko kanda ya ziwa?

By the way,waliochoka huwa wanasema?
 
mmeshamaliza kuunda baraza la mawaziri na kuwa shitaki watendaji wa serikali walio tumbua pesa za umma? mtacheza ngoma ya chadema
 
wakuu hichi chama cha demokrasia na maendeleo CHADEMA kina zidi kupoteza mvuto kwa wananchi majimboni...
Sababu kubwa ya kuchokwa mapema ni Wabunge wake kutumia muda mwingi kuhamasisha maandamano mikoani badala ya kuleta maendeleo.

najua unaongea kinyume mtakoma mwaka huu na bado mtajuta nyie matoto ya majambazi na mibaba yenu mijambaz mtahama nch hii lazma mjue kuw nguvu ya umma inawatafuna co kitu kingine bado hatua chabhe tuko nyuma yenu na hasira za kuwafurumusha twenty 15 mtahama nch majambaz ya nch hii
 
wakuu hichi chama cha demokrasia na maendeleo CHADEMA kina zidi kupoteza mvuto kwa wananchi majimboni...
Sababu kubwa ya kuchokwa mapema ni Wabunge wake kutumia muda mwingi kuhamasisha maandamano mikoani badala ya kuleta maendeleo.

Ila cha CCM kinazidisha mvuto kwa kukwapua fedha za walala hoi na kuyafanya maisha ya mtanzania Jehanam? Naona Bwana uliye lala naye leo ni wa magamba na kakuloga na ngawira ya wizi ndiyomaana unaweweseka mithili ya mwenye kinyamkera.
Nakwambia hivi ni chama chenu cha wezi na mapaka shume cha CCM kilichopoteza na kuendelea kuporomoka kimvuto kiasi hata cha wanachama wake kuficha mabilamu yao (Jezi). Kama unabisha njoo Shinyanga, Magu, Mwanza, Ushirombo au hata Kigoma kama hujaona vitoto vikikushangaa kama umejinyea vile!
Acha kukurupuka kama mwehu andika kama great thinker vinginevyo unaishia kuwa kichekesho kama ulivyofanya.

wakuu hichi chama cha demokrasia na maendeleo CHADEMA kina zidi kupoteza mvuto kwa wananchi majimboni...
Sababu kubwa ya kuchokwa mapema ni Wabunge wake kutumia muda mwingi kuhamasisha maandamano mikoani badala ya kuleta maendeleo.
yani wewe huoni wabunge wenu wanavyotumia mda mwingi kulala mjengoni!
 
Umeniudhi sana kuwastua mapema hawa,wenzako hilo tulilijua siku nyingi sana lakini kwa kuwa tunajua kula na vipofu tumekua tukiwachunia tu ili waendelee kupoteza muda kwenye kususa na kuandamana huku wakiendelea kupoteza umaarufu,sasa kwa thread kama hizi wataamka hawa watu,ungewaacha tu.

masikini! pole zako
hujawahi kusikia hata mahali hivi wakisema cdm hata wakisimamisha jiwe litashinda...hujawahi... aiseee pole sana au ulimaanisha Zanzibar...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom