CHADEMA yapoteza mvuto majimboni..Tumewachoka

Umeniudhi sana kuwastua mapema hawa,wenzako hilo tulilijua siku nyingi sana lakini kwa kuwa tunajua kula na vipofu tumekua tukiwachunia tu ili waendelee kupoteza muda kwenye kususa na kuandamana huku wakiendelea kupoteza umaarufu,sasa kwa thread kama hizi wataamka hawa watu,ungewaacha tu.
Mateka wa CCM mnajitekenya wenyewe alafu mnacheka wenyewe.
M4C inawanyima usingizi sana.
Poleni sana najua mko utumwani, tutawakomboa soon.
M4C with no apology.
 
haya basi msiende makazini, muendelee kuandamana mpaka uchaguzi mwingine wa 2015..halafu..muendelee kuandamana..mkijiandaa na uchaguzi wa 2020..mkajiandae na uchaguzi mwingine wa 2025..huku mkifanya mipango ya uchaguzi wa 2030..mkiweka mambo sawa kuchukua kiti cha uraisi kwa uchaguzi wa 2035..ila mambo hayatakuwa mabaya sana 2040, lakini tusubirie 2045 na tuone mambo yatakuwaje..oohh ngojeni nyie muone 2050 tukakavyowafanya..haha..
 
wakuu hichi chama cha demokrasia na maendeleo CHADEMA kina zidi kupoteza mvuto kwa wananchi majimboni...
Sababu kubwa ya kuchokwa mapema ni Wabunge wake kutumia muda mwingi kuhamasisha maandamano mikoani badala ya kuleta maendeleo.

Milembe haina wagonjwa cku hizi au ndo kina nyie mmetoroka
 
Pamoja sana Judi Wabunge wa Chadema wamejawa na porojo nyingi na wengi wameyakimbia majimbo yao kwa ajili ya kupata posho za maandamano. Hakuna hata mbunge mmoja wa sasa alifikia kiwango cha Marehemu Chacha Wange ambaye utendaji wake kipindi hicho ulionekana na kuwa mfano kwa Tanzania nzima. Najua wafuasi wao hawataki kukubali ukweli na wanawalinda wabunge ambao hawatendi kazi katika majimbo yao na kuwaona malaika

Unatumia nguvu nyingi sana ku-justfy kituko,
Taratibu bana, hili chama unalolijadili ni chama kubwa, usipokuwa makini utajikuta unalia mwenyewe kwa utopian thinking unayojijengea.
"sisi hatuwachukii CCM, bali tunawaandaa muwe wapinzani makini kuanzia 2015" By Mh.Sugu.
 
Hovyoo!!Umeambiwa hayo maandamano wanayohamasisha Chadema ni ya kudai nyongeza za posho za wabunge?Hivi hufahamu kuwa maadamano hayohayo unayodai umechoshwa nayo yalisaidia kupunguza bei ya sukari huko kanda ya ziwa?

By the way,waliochoka huwa wanasema?

Naomba tumpe adhabu ya kumpuuza huyu judith wa kimagamba original,yani ana kichwa kigumu kuzidi ata magamba yaliyo goma kujiuzulu.
 
Mateka wa CCM mnajitekenya wenyewe alafu mnacheka wenyewe.
M4C inawanyima usingizi sana.
Poleni sana najua mko utumwani, tutawakomboa soon.
M4C with no apology.

fanyeni kwanza jitihada za kuongeza wabunge angalau wafike 80 hivi,ndio tutaelewana,hii m4c mi naichukulie ndio ile iele operesheni sangara,mvinyo ule ule chupa tu mmebadili
 
masikini! pole zako
hujawahi kusikia hata mahali hivi wakisema cdm hata wakisimamisha jiwe litashinda...hujawahi... aiseee pole sana au ulimaanisha Zanzibar...

hamjajua lolote, cdm hakitapoteza umaarufu kwa wabunge wake kutembelea majimbo mengine kuhamasisha haki na kuifichua ccm na uozo wake kwa kuwa wabunge wa cdm wanajitambua kuwa ni watetezi wa haki za watanzania wote pasipo kujali ni wapi uozo unafanywa na magamba na ndio maana mbunge wa cdm anaweza kwenda kugombea ubunge sehemu yeyote ile na akashinda, sasa jaribuni nyie magamba kwenda kugombea sehemu yeyote muone vumbi lake.
 
Judi wa Kishua, kufikia sasa hivi Madiwani, Wenyeviti na wananchi wengi sana wamehamia chadema kutoka CCM;
Ukweli ni kuwa wananchi wengi wanavutiwa na chadema kuliko CCM na ndio maana wananchi, wenyeviti, madiwani na hata wabunge huwenda karibuni watahamia chadema

By [url="www.facebook.com/wankuru.s.mwita]steve[/url]
 
Last edited by a moderator:
Umeniudhi sana kuwastua mapema hawa,wenzako hilo tulilijua siku nyingi sana lakini kwa kuwa tunajua kula na vipofu tumekua tukiwachunia tu ili waendelee kupoteza muda kwenye kususa na kuandamana huku wakiendelea kupoteza umaarufu,sasa kwa thread kama hizi wataamka hawa watu,ungewaacha tu.

Wacha tuwastue wasijesema hatukuwaambia mapema..
 
Maendeleo endelevu ya kiuchumi hayaji bila maendeleo ya kisiasa na uwazi. Haya mawili ni nyuso mbili za sarafu moja. Usipokuwa na muamko wa kisiasa wachache watafuja mali za nchi na kuharibu uwezekano wa maendeleo zaidi.

Ili nchi kuendelea inabidi kila mtu ajue haki yake na kuitumia vilivyo, vile vile atimize wajibu wake.

Waache wahimize watu kudai haki zao za uraia.

nani kakwambia Watanzania hawajui haki zao za kiraia mpaka wasubiri elimu ya cdm?
Watu tunachagua wabunge watusaidie kupata maendeleo sio muda wote kufanya vurugu na uchochezi...
 
mmeshamaliza kuunda baraza la mawaziri na kuwa shitaki watendaji wa serikali walio tumbua pesa za umma? mtacheza ngoma ya chadema

acha kujidanganya mkuu,inafanyiwa kazi ripoti ya CAG na kamati za kudumu za bunge..
 
Huyu alikua anataka kuonekana hana jipya...aya mama tumeshakuona unaweza kujitoa sasa
 
Umetumwa?

Join Date : 15th April 2012

Posts : 158

Rep Power: 297

Likes Received: 12

Likes Given: 0

jibu hoja mkuu, kama kuna jimbo la Cdm Mbunge kafanya lolote la maana tuambie hapahapa usiwahamishe watu kwenye hoja.
 
nani kakwambia Watanzania hawajui haki zao za kiraia mpaka wasubiri elimu ya cdm?
Watu tunachagua wabunge watusaidie kupata maendeleo sio muda wote kufanya vurugu na uchochezi...

Nashawishika kwamba unaweza ukwa na sura kama ya Wassira the Gombe creature, sleeping baboon! Vipesa unavyohongwa na mabwana zako umenunua mark 2 ndo unadharau wenzio namna hiyo! Watakupa ukimwi na mimba ubakie na frustration! Ila sio kosa lako wewe sleeping monkey!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom