we kweli mwambungu"Kama ni kweli wanataka kuandamana kwanini walazimishe kupita katikati ya mji...wakitaka kuandamana waanzie Bwani Mindu-kuelekea Sangaganga au Mikese kwenda Chalinze au waanzie Kihonda kuelekea Dakawa," alisema Mwambungu. QUOTE]Hawajakatazwa wameruhusiwa kuandamana, ila ndio waende huko Mindu maana ukitazama kamji ka morogoro wakilazimisha kuandamana katikati ya mji watasimamisha shughuli za kiuchumi. Hivi kwani hii inatatizo gani? kwani Mindu sio Tanzania? Acheni kuhamaki Mwambungu anawapenda sana ndio maana kawapa route nzuri.
SERIKALI wilayani Morogoro imetoa onyo kwa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kusitisha maandamano yake iliyokusudia kuyafanya hivi karibuni katika baadhi ya mikoa ukiwamo wa Morogoro.
Onyo hilo lilitolewa juzi na Mkuu wa Wilaya ya Morogoro, Said Mwambungu, mbele ya wenyeviti na watendaji wote wakati wa uzinduzi wa sherehe za miaka 50 uliofanyika katika ukumbi wa Mount Urugulu mjini hapa.
Katika uzinduzi huo uliohudhuliwa na viongozi waandamizi wa serikali ngazi ya wilaya wakiwemo wakurugenzi, Mwambungu alisema haoni haja ya kuruhusu maandamano ya chama hicho kutokana na kuonekana kutokuwa na tija. Kama ni kweli wanataka kuandamana kwanini walazimishe kupita katikati ya mji...wakitaka kuandamana waanzie Bwani Mindu-kuelekea Sangaganga au Mikese kwenda Chalinze au waanzie Kihonda kuelekea Dakawa, alisema Mwambungu. Hoja hiyo ambayo awali ilitolewa na baadhi ya viongozi akiwamo Chifu Kingalu Mwanabanzi wa 14, Meya wa mji wa Morogoro, Amir Nondo na Mbunge wa zamani, Issa Ramadhani Kiombwe, ilitiwa nguvu na mkuu huyo wa wilaya alipodai kuwa yanalenga kuvuruga amani nchini.
Ni wapi katika katiba imeonyeshwa kufanya maandamano ni haki inayohodhiwa na kuwadi wa CCM awe Mwambungu, Kingalu, Nondo au mwingine yeyote? Hicho cheo cha Ukuu wa wilaya kimeainishwa wapi na kazi zake zinafafanuliwa wapi katika katiba?SERIKALI wilayani Morogoro imetoa onyo kwa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kusitisha maandamano yake iliyokusudia kuyafanya hivi karibuni katika baadhi ya mikoa ukiwamo wa Morogoro.
Onyo hilo lilitolewa juzi na Mkuu wa Wilaya ya Morogoro, Said Mwambungu, mbele ya wenyeviti na watendaji wote wakati wa uzinduzi wa sherehe za miaka 50 uliofanyika katika ukumbi wa Mount Urugulu mjini hapa.
Katika uzinduzi huo uliohudhuliwa na viongozi waandamizi wa serikali ngazi ya wilaya wakiwemo wakurugenzi, Mwambungu alisema haoni haja ya kuruhusu maandamano ya chama hicho kutokana na kuonekana kutokuwa na tija.
"Kama ni kweli wanataka kuandamana kwanini walazimishe kupita katikati ya mji...wakitaka kuandamana waanzie Bwani Mindu-kuelekea Sangaganga au Mikese kwenda Chalinze au waanzie Kihonda kuelekea Dakawa," alisema Mwambungu. Hoja hiyo ambayo awali ilitolewa na baadhi ya viongozi akiwamo Chifu Kingalu Mwanabanzi wa 14, Meya wa mji wa Morogoro, Amir Nondo na Mbunge wa zamani, Issa Ramadhani Kiombwe, ilitiwa nguvu na mkuu huyo wa wilaya alipodai kuwa yanalenga kuvuruga amani nchini.
SERIKALI wilayani Morogoro imetoa onyo kwa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kusitisha maandamano yake iliyokusudia kuyafanya hivi karibuni katika baadhi ya mikoa ukiwamo wa Morogoro.
Onyo hilo lilitolewa juzi na Mkuu wa Wilaya ya Morogoro, Said Mwambungu, mbele ya wenyeviti na watendaji wote wakati wa uzinduzi wa sherehe za miaka 50 uliofanyika katika ukumbi wa Mount Urugulu mjini hapa.
Katika uzinduzi huo uliohudhuliwa na viongozi waandamizi wa serikali ngazi ya wilaya wakiwemo wakurugenzi, Mwambungu alisema haoni haja ya kuruhusu maandamano ya chama hicho kutokana na kuonekana kutokuwa na tija.
Kama ni kweli wanataka kuandamana kwanini walazimishe kupita katikati ya mji...wakitaka kuandamana waanzie Bwani Mindu-kuelekea Sangaganga au Mikese kwenda Chalinze au waanzie Kihonda kuelekea Dakawa, alisema Mwambungu. Hoja hiyo ambayo awali ilitolewa na baadhi ya viongozi akiwamo Chifu Kingalu Mwanabanzi wa 14, Meya wa mji wa Morogoro, Amir Nondo na Mbunge wa zamani, Issa Ramadhani Kiombwe, ilitiwa nguvu na mkuu huyo wa wilaya alipodai kuwa yanalenga kuvuruga amani nchini.
Watasimamisha uchumi upi wa Morogoro.Hawajakatazwa wameruhusiwa kuandamana, ila ndio waende huko Mindu maana ukitazama kamji ka morogoro wakilazimisha kuandamana katikati ya mji watasimamisha shughuli za kiuchumi. Hivi kwani hii inatatizo gani? kwani Mindu sio Tanzania? Acheni kuhamaki Mwambungu anawapenda sana ndio maana kawapa route nzuri.