CHADEMA yapigwa Marufuku kufanya maandamano Morogoro......

Huyu Dc ni kama yule wa Dom aliyese wanachuo wakirudishwa chuoni warudishwe wa ccm tu wachadema wafukuzwe.
Nina mashaka na bongo za hawa ma Dc. Hv kigezo kikuu cha uteuz wa ma Dc ni kipi jamani?!hawa hovyo kabisaaaa!
 
"Kama ni kweli wanataka kuandamana kwanini walazimishe kupita katikati ya mji...wakitaka kuandamana waanzie Bwani Mindu-kuelekea Sangaganga au Mikese kwenda Chalinze au waanzie Kihonda kuelekea Dakawa," alisema Mwambungu. QUOTE]Hawajakatazwa wameruhusiwa kuandamana, ila ndio waende huko Mindu maana ukitazama kamji ka morogoro wakilazimisha kuandamana katikati ya mji watasimamisha shughuli za kiuchumi. Hivi kwani hii inatatizo gani? kwani Mindu sio Tanzania? Acheni kuhamaki Mwambungu anawapenda sana ndio maana kawapa route nzuri.
we kweli mwambungu
 
SERIKALI wilayani Morogoro imetoa onyo kwa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kusitisha maandamano yake iliyokusudia kuyafanya hivi karibuni katika baadhi ya mikoa ukiwamo wa Morogoro.
Onyo hilo lilitolewa juzi na Mkuu wa Wilaya ya Morogoro, Said Mwambungu, mbele ya wenyeviti na watendaji wote wakati wa uzinduzi wa sherehe za miaka 50 uliofanyika katika ukumbi wa Mount Urugulu mjini hapa.
Katika uzinduzi huo uliohudhuliwa na viongozi waandamizi wa serikali ngazi ya wilaya wakiwemo wakurugenzi, Mwambungu alisema haoni haja ya kuruhusu maandamano ya chama hicho kutokana na kuonekana kutokuwa na tija. “Kama ni kweli wanataka kuandamana kwanini walazimishe kupita katikati ya mji...wakitaka kuandamana waanzie Bwani Mindu-kuelekea Sangaganga au Mikese kwenda Chalinze au waanzie Kihonda kuelekea Dakawa,” alisema Mwambungu. Hoja hiyo ambayo awali ilitolewa na baadhi ya viongozi akiwamo Chifu Kingalu Mwanabanzi wa 14, Meya wa mji wa Morogoro, Amir Nondo na Mbunge wa zamani, Issa Ramadhani Kiombwe, ilitiwa nguvu na mkuu huyo wa wilaya alipodai kuwa yanalenga kuvuruga amani nchini.

Huyu Mzee anachekesha kweli. Sijui ni kigezo ganani anatumia kusema kwamba maandamano ya peoples! Hayana tija. Au alitaka kila baada ya maandamano zigawanywe kadi kwa wanachama wapya wa chama cha magamba??
 
SERIKALI wilayani Morogoro imetoa onyo kwa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kusitisha maandamano yake iliyokusudia kuyafanya hivi karibuni katika baadhi ya mikoa ukiwamo wa Morogoro.
Onyo hilo lilitolewa juzi na Mkuu wa Wilaya ya Morogoro, Said Mwambungu, mbele ya wenyeviti na watendaji wote wakati wa uzinduzi wa sherehe za miaka 50 uliofanyika katika ukumbi wa Mount Urugulu mjini hapa.
Katika uzinduzi huo uliohudhuliwa na viongozi waandamizi wa serikali ngazi ya wilaya wakiwemo wakurugenzi, Mwambungu alisema haoni haja ya kuruhusu maandamano ya chama hicho kutokana na kuonekana kutokuwa na tija.
"Kama ni kweli wanataka kuandamana kwanini walazimishe kupita katikati ya mji...wakitaka kuandamana waanzie Bwani Mindu-kuelekea Sangaganga au Mikese kwenda Chalinze au waanzie Kihonda kuelekea Dakawa," alisema Mwambungu. Hoja hiyo ambayo awali ilitolewa na baadhi ya viongozi akiwamo Chifu Kingalu Mwanabanzi wa 14, Meya wa mji wa Morogoro, Amir Nondo na Mbunge wa zamani, Issa Ramadhani Kiombwe, ilitiwa nguvu na mkuu huyo wa wilaya alipodai kuwa yanalenga kuvuruga amani nchini.
Ni wapi katika katiba imeonyeshwa kufanya maandamano ni haki inayohodhiwa na kuwadi wa CCM awe Mwambungu, Kingalu, Nondo au mwingine yeyote? Hicho cheo cha Ukuu wa wilaya kimeainishwa wapi na kazi zake zinafafanuliwa wapi katika katiba?
Hawa ni wajinga na wafu kisiasa na wanapaswa kupuuzwa na kurudishwa shule au kupelekwa hospitalini kutibiwa uraibu wa sumu ya kifisadi waliyovimbiwa.
Mwambungu ana haki ya kujikomba kiasi cha kutia aibu kwa maana anafahamu jinsi alivyoteuliwa, na ushoga wake na aliyemteua kwani kwa vipimo vya kawaida hana sifa hata ya kuongoza kitongoji! Ni mpumbavu tu.
Morogoro ni yetu sisi na hakuna wa kutuzuia kufanya chochote ili kuondokana na ugandamizaji wa hili dude linaloitwa CCM. Tumevumilia kiasi cha kutosha na sasa wakati umekwisha tuwaambie kwa vitendo kwamba sasa basi, imetosha. Kama ni kweli Kingalu ameshiriki kutamka hayo basi kuanzia leo hastahili kabisa hadhi ya uchifu kwani machifu wetu wote wa Uluguru, Ukutu, Usagara, Unguu, Uvidunda, Ukaguru walikuwa na msimamo kumtoa Mangunga wa Msowero.
Natoa wito kwa CHADEMA kuendelea na mipango yenu ili tuwatie adabu hawa majambazi wasio aibu wanaotukanyaga kwa viatu nyenye misumari na kutusanifu kwa kutuambia "Msijitikise, tusije anguka tukikosa balance".
 
Hahaha ! Mwambungu anasahau kauli ya Boss wake " Vita ya Haki Ushindi ni Lazima" atake asitake tutaandamana hapa Morogoro na tutapita hapo hapo kati kati ya mji maana ndio kuna wananchi wanaoumizwa na dhulma na mateso ya maisha yanayosababishwa na serikali ya chama chake! Mwambungu kumbuka huwezi kuzuia mvua, na CDM ni mvua itanyesha tu!
 
SERIKALI wilayani Morogoro imetoa onyo kwa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kusitisha maandamano yake iliyokusudia kuyafanya hivi karibuni katika baadhi ya mikoa ukiwamo wa Morogoro.
Onyo hilo lilitolewa juzi na Mkuu wa Wilaya ya Morogoro, Said Mwambungu, mbele ya wenyeviti na watendaji wote wakati wa uzinduzi wa sherehe za miaka 50 uliofanyika katika ukumbi wa Mount Urugulu mjini hapa.
Katika uzinduzi huo uliohudhuliwa na viongozi waandamizi wa serikali ngazi ya wilaya wakiwemo wakurugenzi, Mwambungu alisema haoni haja ya kuruhusu maandamano ya chama hicho kutokana na kuonekana kutokuwa na tija.
“Kama ni kweli wanataka kuandamana kwanini walazimishe kupita katikati ya mji...wakitaka kuandamana waanzie Bwani Mindu-kuelekea Sangaganga au Mikese kwenda Chalinze au waanzie Kihonda kuelekea Dakawa,” alisema Mwambungu. Hoja hiyo ambayo awali ilitolewa na baadhi ya viongozi akiwamo Chifu Kingalu Mwanabanzi wa 14, Meya wa mji wa Morogoro, Amir Nondo na Mbunge wa zamani, Issa Ramadhani Kiombwe, ilitiwa nguvu na mkuu huyo wa wilaya alipodai kuwa yanalenga kuvuruga amani nchini.
  1. Mkuu wa Wilaya: Saidi Mwambungu
  2. Chifu Kingalu Mwanabanzi
  3. Meya wa Morogoro: Amir Nondo
  4. Mbunge wa Zamani: Issa Ramadhani Kiombwe

Habari za Msikitini hizi! Crap!!
 
wote wanaopinga ni vibaraka wa ****** so hakuna kurudi nyuma namimi kama mwana chadema ntakuwa moro cku itavo fika
 
Hawajakatazwa wameruhusiwa kuandamana, ila ndio waende huko Mindu maana ukitazama kamji ka morogoro wakilazimisha kuandamana katikati ya mji watasimamisha shughuli za kiuchumi. Hivi kwani hii inatatizo gani? kwani Mindu sio Tanzania? Acheni kuhamaki Mwambungu anawapenda sana ndio maana kawapa route nzuri.
Watasimamisha uchumi upi wa Morogoro.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom