Polisi kuyapiga marufuku maandamano ya chadema!!

Freyzem

JF-Expert Member
Jun 29, 2013
10,052
24,442
Kufuatia Chadema kutangaza kufanya maandamano ya amani Jan 24, 2023 jijini Dar es salaam , hadi kufikia hivi Sasa Polisi ambao ndio wanaopaswa kuhakikisha maandamano hayo yanafanyika Kwa amani hawajatoa tamko lolote la kuruhusu ama kupinga maandamano hayo, japo tayari Chadema ilishawapa taarifa Kwa maandishi Kama inavyotakiwa!
Ikumbukwe mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam alitoa agizo Kwa jeshi la wananchi kuitumia siku hiyo ya maandamano kufanya usafi jijini Dar es salaam, jambo ambalo inajulikana wazi ni namna ya kujaribu kuyazuia maandamano hayo!

Za ndani ni kuwa kutokana na ukimya wa muda mrefu wa jeshi la polisi tokea wapokee taarifa ya kuandamana, ni kuwa siku mbili kabla ya tarehe ya maandamano jeshi la polisi litajitokeza na kuyapiga marufuku Kwa kutoka sababu ambazo mara nyingi zimekuwa zikizoeleka!

Wito Kwa jeshi la polisi!
Ni vyema hiyo azma ya kuyazuia hayo maandamano mkaifuta mara Moja, kwani hayo si maandamano ya vurugu wala kuvunja amani!
Hayo maandamano ni haki ya kikatiba Kwa wananchi wote, maana hakuna Sheria ambayo Chadema itakuwa imevunja Kwa kuyafanya!

Waacheni waandamane wakimaliza watarudi nyumbani Kwa amani, kile ambacho mamlaka inataka kukifanya hasa kwenye miswada ya Sheria inayopigiwa kelele kuipitisha ni rahisi tu!

Dawa ya mbwa anayebweka ni kumrushia pande la nyama!
 
Nchi ina ugonjwa wa macho, kipindupindu, yote magonjwa ya mlipuko, halafu utokee mkusanyiko wa watu? Serikali ikatae
 
Sisi polisi wenyewe tunaombea maandamano yawepo na yafanikiwe
 
Hao ndiyo maana wanaitwa policcm. Wako kwa ajili ya kuyalinda na kuyasimamia kwa uaminifu mkubwa maslahi ya chama tawala.

Mwisho wa siku wananchi hata hatushangai kuona Kamanda mstaafu wa polisi, amekuwa Mwenyekiti wa ccm Mkoa fulani!!
 
Maandamano ya kumpongeza mama yenyewe sijui kwa nini huwa hawayazuii?
 
Hao ndiyo maana wanaitwa policcm. Wako kwa ajili ya kuyalinda na kuyasimamia kwa uaminifu mkubwa maslahi ya chama tawala.

Mwisho wa siku wananchi hata hatushangai kuona Kamanda mstaafu wa polisi, amekuwa Mwenyekiti wa ccm Mkoa fulani!!
RPC mwakioma siku hizi ni Mwenyekiti wa Kata wa CCM!
 
Kufuatia Chadema kutangaza kufanya maandamano ya amani Jan 24, 2023 jijini Dar es salaam , hadi kufikia hivi Sasa Polisi ambao ndio wanaopaswa kuhakikisha maandamano hayo yanafanyika Kwa amani hawajatoa tamko lolote la kuruhusu ama kupinga maandamano hayo, japo tayari Chadema ilishawapa taarifa Kwa maandishi Kama inavyotakiwa!
Ikumbukwe mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam alitoa agizo Kwa jeshi la wananchi kuitumia siku hiyo ya maandamano kufanya usafi jijini Dar es salaam, jambo ambalo inajulikana wazi ni namna ya kujaribu kuyazuia maandamano hayo!

Za ndani ni kuwa kutokana na ukimya wa muda mrefu wa jeshi la polisi tokea wapokee taarifa ya kuandamana, ni kuwa siku mbili kabla ya tarehe ya maandamano jeshi la polisi litajitokeza na kuyapiga marufuku Kwa kutoka sababu ambazo mara nyingi zimekuwa zikizoeleka!

Wito Kwa jeshi la polisi!
Ni vyema hiyo azma ya kuyazuia hayo maandamano mkaifuta mara Moja, kwani hayo si maandamano ya vurugu wala kuvunja amani!
Hayo maandamano ni haki ya kikatiba Kwa wananchi wote, maana hakuna Sheria ambayo Chadema itakuwa imevunja Kwa kuyafanya!

Waacheni waandamane wakimaliza watarudi nyumbani Kwa amani, kile ambacho mamlaka inataka kukifanya hasa kwenye miswada ya Sheria inayopigiwa kelele kuipitisha ni rahisi tu!

Dawa ya mbwa anayebweka ni kumrushia pande la nyama!
Ndio siku zote wanavyofanya, na inategemewa watafanya hivyo, na kama kawaida, wanaodai kuandamana watapiga kelele na itakuwa imeisha hivyo. Hakuna jipya!

Sent from my moto g 5G (2022) using JamiiForums mobile app
 
Nchi ina ugonjwa wa macho, kipindupindu, yote magonjwa ya mlipuko, halafu utokee mkusanyiko wa watu? Serikali ikatae
Wale CCM waliofanya mkutano Mnazimmoja jana Jumamosi walikuwa nchi gani? Unamruhusu mmoja bila kuomba kibali huku unamkataza mwingine aliyeomba kibali!
 
Kufuatia Chadema kutangaza kufanya maandamano ya amani Jan 24, 2023 jijini Dar es salaam , hadi kufikia hivi Sasa Polisi ambao ndio wanaopaswa kuhakikisha maandamano hayo yanafanyika Kwa amani hawajatoa tamko lolote la kuruhusu ama kupinga maandamano hayo, japo tayari Chadema ilishawapa taarifa Kwa maandishi Kama inavyotakiwa!
Ikumbukwe mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam alitoa agizo Kwa jeshi la wananchi kuitumia siku hiyo ya maandamano kufanya usafi jijini Dar es salaam, jambo ambalo inajulikana wazi ni namna ya kujaribu kuyazuia maandamano hayo!

Za ndani ni kuwa kutokana na ukimya wa muda mrefu wa jeshi la polisi tokea wapokee taarifa ya kuandamana, ni kuwa siku mbili kabla ya tarehe ya maandamano jeshi la polisi litajitokeza na kuyapiga marufuku Kwa kutoka sababu ambazo mara nyingi zimekuwa zikizoeleka!

Wito Kwa jeshi la polisi!
Ni vyema hiyo azma ya kuyazuia hayo maandamano mkaifuta mara Moja, kwani hayo si maandamano ya vurugu wala kuvunja amani!
Hayo maandamano ni haki ya kikatiba Kwa wananchi wote, maana hakuna Sheria ambayo Chadema itakuwa imevunja Kwa kuyafanya!

Waacheni waandamane wakimaliza watarudi nyumbani Kwa amani, kile ambacho mamlaka inataka kukifanya hasa kwenye miswada ya Sheria inayopigiwa kelele kuipitisha ni rahisi tu!

Dawa ya mbwa anayebweka ni kumrushia pande la nyama!

Hatimae polccm wamekubali ushauri
 
Hao ndiyo maana wanaitwa policcm. Wako kwa ajili ya kuyalinda na kuyasimamia kwa uaminifu mkubwa maslahi ya chama tawala.

Mwisho wa siku wananchi hata hatushangai kuona Kamanda mstaafu wa polisi, amekuwa Mwenyekiti wa ccm Mkoa fulani!!
Jamaa watafanya usafi nyie shida iko wapi?
 
Back
Top Bottom