CHADEMA yakiri kupokea barua ya Zitto

DK slaa ajibu khs hao aliowatuma kumchafua ZZK

Kelele zooote mnamtafuta Slaa! this time imekula kwenu, tulia raisi wetu haya mambo hata kina Makene na Mnyika, Kigaila watayamaliza tu!

Nawewe Zitto jitathmini mwenyewe kwanini wewe tuuuu?? man something is very very wrong somewhere with you!!!
 
Chama cha demokrasia na maendeleo (Chadema) kimekiri kupokea barua ya naibu katibu mkuu, Zitto zuber kabwe, Akitoa taarifa kwa vyombo vya habari msemaji wa Chadema Tumaini makene amekiri hayo.

Ebwanaaaa sasa tunasubirua hayo mawazo nyeti kutoka kitengo nyeti cha muheshiwa juu ya barua nyeti ya mheshiwa mbunge nyeti ZITO Z KABWE
 
......Wote wanatumia karata zao vibaya.....uongozi wa juu wa Chadema na Zitto.......wao wangelishughulikia hili mapema kabla halifika hapa lilipo.....na wangewachukulia hatua za kinidhamu wote waliohusika....Kwa upande wa Zitto yeye angekaa na viongozi wake wakalojadili hili ndani badala ya kukimbilia kwenye media.....angeliacha lishughulikiwe na chama zaidi.....lisingefikia hali ya sasa......ya..... "adui wa adui yako ni rafiki yako"
 
Back
Top Bottom