CHADEMA yakiri kupokea barua ya Zitto

Alvin Slain

JF-Expert Member
Aug 30, 2011
6,375
3,655
Chama cha demokrasia na maendeleo (Chadema) kimekiri kupokea barua ya naibu katibu mkuu, Zitto zuber kabwe, Akitoa taarifa kwa vyombo vya habari msemaji wa Chadema Tumaini makene amekiri hayo.
 
Lengo la Zitto ni kuwaburuza mahakamani wote wanaochafua mitandaoni

aka Wapika majungu !
 
Chama cha demokrasia na maendeleo (Chadema) kimekiri kupokea barua ya naibu katibu mkuu, Zitto zuber kabwe, Akitoa taarifa kwa vyombo vya habari msemaji wa Chadema Tumaini makene amekiri hayo.

Kwa hiyo unataka Watanzania tufanyeje?
 
IQ yako ndogo ndio maana hujui ufanye nini

Nina wasiwasi na IQ yako. Zitto amesema ameandika barua na kumtumia katibu mkuu wa Chadema, hata barua ikipokewa nayo ni habari ya kujadili? haya wewe mwenye IQ kubwa hilo linasaidiaje kutatua matatizo lukuki ya Taifa hili? Itawasaidia tu wapika majungu. Na kama ndivyo ni kweli IQ yangu ni ndogo katika kupika majungu.
 
Pengine habari hapa ni Naibu Katibu Mkuu kuandika barua kwa Chama chake mwenyewe. Hivi Naibu KM si sehemu ya hicho Chama? Na pia baada ya kuandika unawatangazia watu. Sijui jibu gani linatarajiwa au ni kutaka kuonyesha kuwa yeye si sehemu yao!
 
Sijui kwann zito anapenda kila kitu anachofanya kuhusu chama watu wajue
 
Zitto usiwaache wahusika lazima wafikishwe mahakamani.
 
Pengine habari hapa ni Naibu Katibu Mkuu kuandika barua kwa Chama chake mwenyewe. Hivi Naibu KM si sehemu ya hicho Chama? Na pia baada ya kuandika unawatangazia watu. Sijui jibu gani linatarajiwa au ni kutaka kuonyesha kuwa yeye si sehemu yao!
kwani kuna tatizo gani?yani hujui kama zitto ana watu wako juu yake kwenye chama?ulitaka anyamaze?
goo zitto.
 
Chama cha demokrasia na maendeleo (Chadema) kimekiri kupokea barua ya naibu katibu mkuu, Zitto zuber kabwe, Akitoa taarifa kwa vyombo vya habari msemaji wa Chadema Tumaini makene amekiri hayo.

Kosa la mwisho kwa ZZK. Hapo sasa mwisho wake umetimia,

Haitakuwa tena siasa za majukwaani na mitandaoni, sasa watakujadili kwa kina na ninauhakika hii itakuwa mwisho wa safari yako na meli ya Chadema.

Japo si CDM mimi lakini kama mpenda haki nitafurahi na kufanya sherehe iwapo utatimuliwa kwa sababu u kama nyoka vile
 
Back
Top Bottom