CHADEMA yakiri kupokea barua ya Zitto

Kosa la mwisho kwa ZZK. Hapo sasa mwisho wake umetimia,

Haitakuwa tena siasa za majukwaani na mitandaoni, sasa watakujadili kwa kina na ninauhakika hii itakuwa mwisho wa safari yako na meli ya Chadema.

Japo si CDM mimi lakini kama mpenda haki nitafurahi na kufanya sherehe iwapo utatimuliwa kwa sababu u kama nyoka vile

Kamati kuu ndio itaamua hayo.
 
You are a beautiful liar.....Ngoma ipigwe kwa jirani yako wewe huku ukatike mauno mpaka jasho la kwapa likutoke...Kweli?
 
Pengine habari hapa ni Naibu Katibu Mkuu kuandika barua kwa Chama chake mwenyewe. Hivi Naibu KM si sehemu ya hicho Chama? Na pia baada ya kuandika unawatangazia watu. Sijui jibu gani linatarajiwa au ni kutaka kuonyesha kuwa yeye si sehemu yao!

Nimefurahishwa sana na hoja yako mkuu. Naibu katibu mkuu hawezi kimsingi kukiandikia chama ambacho yeye ni sehemu ya watendaji wa juu. Naona Elimu ya Utawala imewapita hawa wenzetu. Angetakiwa ajitoe kwanza kwenye nafasi ya Naibu Katibu Mkuu ndio apate stahiki ya kukiandikia chama kama mwanachama huru. Umenena kweli mkuu.
 
Naibu katibu mkuu anaratibu mradi haramu sana kwa Chadema. Anajitahidi kutekeleza mpango hatari zaidi kuwahi kutokea kwa Chadema.
 
Lengo la Zitto ni kuwaburuza mahakamani wote wanaochafua mitandaoni

aka Wapika majungu !

Tunaofahamu tabia ya Zitto tangu alipokuwa shule ya msingi hadi hapa alipofikia hatushangazwi na mwenendo wake kwa sasa. Msafara wake wa kisiasa utafikia ukingoni muda sio mrefu....
 
Last edited by a moderator:
Nimefurahishwa sana na hoja yako mkuu. Naibu katibu mkuu hawezi kimsingi kukiandikia chama ambacho yeye ni sehemu ya watendaji wa juu. Naona Elimu ya Utawala imewapita hawa wenzetu. Angetakiwa ajitoe kwanza kwenye nafasi ya Naibu Katibu Mkuu ndio apate stahiki ya kukiandikia chama kama mwanachama huru. Umenena kweli mkuu.

Na huo ndio ukweli, Zitto hana tofauti na mtoto anayeiandikia familia yake barua ya malalamiko kuhusiana na tuhuma anazotuhumiwa huko nje na ndani ya familia. Hivi yeye siyo mwanafamilia? Zaidi ajitazame kwanini asemwe yeye tu?
 
Kumuamini zzk ktk kila jambo ni kupeleka meli yako mrama kwq sababu jamaa bado anamawazo ya ujana mno
 
Zitto ameathiriwa na mfumo wa kabila lake. Kabila lake mtu akifuta ujinga km yy,huwa wanaamini wao ni bora zaidi kuliko wengine. Na ni wajuaji na wabishi kupindukia. Nashangaa hata dr.kitila mkumbo ambae ni mwanasaikolojia,ameshindwa kujua matatizo ya rafiki yake. Labda urafiki wao unamnufaisha km ilivyosemwa.
 
anategemea ajibiwe na nani? kama dr slaa asingekuwepo angemwandikia nani amjibu? angejiandikia mwenyewe? hiyo inaonesha asivyojitambua,kamtumikia kafiri hadi kajisahau kuwa yeye ni naibu katibu mkuu.anawaza kimagambamagamba na anadhani tayari ameshakuwa gamba.
 
Tunasubiri kwa hamu ndugu zitto awaburuze mahakamani ' wanaomchafua ' amlete wakili wake apambane na wakili wa watuhumiwa THE BEST TUNDU LISSU .
 
kwani kuna tatizo gani?yani hujui kama zitto ana watu wako juu yake kwenye chama?ulitaka anyamaze?
goo zitto.

Rutta ninatumai unatania. Huwezi kuwa sehemu ya timu na kisha uwandikie wenzako kutaka maelezo ukiwa sehemu yao. vinginevyo utakuwa umejiondoa au kujitenga na timu hiyo.
 
Tunasubiri kwa hamu ndugu zitto awaburuze mahakamani ' wanaomchafua ' amlete wakili wake apambane na wakili wa watuhumiwa THE BEST TUNDU LISSU .

Awaburuze kina nani?
Sheria haiko kama anavyodhani. sheria inahitaji materials halisi sio mifupa mitupu
 
Mwambieni Zito sheria ya maumbile inatuelekeza kutembea juu ya dunia, sii kuibeba dunia kichwani.

mwenye masikio na asikie.
ujinga wa msomi ni ushetani!!!
ref:-
shetani/Lucifer
Yuda iskariote
Endrew Chenge
John Shibuda
.....
.....
endeleza orodha
 
Sasa mlitaka afanyeje? Anyamaze kimya...hapana hivyo akaamua kujiandikia barua kwenda kwake mwenyewe!! Pole sana Zitto nakuonea huruma... Bado u kijana mdogo unapambana na issues kubwa hivi. Pole
 
Zitto ameathiriwa na mfumo wa kabila lake. Kabila lake mtu akifuta ujinga km yy,huwa wanaamini wao ni bora zaidi kuliko wengine. Na ni wajuaji na wabishi kupindukia. Nashangaa hata dr.kitila mkumbo ambae ni mwanasaikolojia,ameshindwa kujua matatizo ya rafiki yake. Labda urafiki wao unamnufaisha km ilivyosemwa.

Umeongea kitu practical sana mkuu
 
Back
Top Bottom