rosemarie
JF-Expert Member
- Mar 22, 2011
- 6,887
- 3,412
Ni upi utakuwa mtaji wa CCM 2015 baada ya katiba mpya kupatikana
Una hakika gani katiba kuwa tayari kabla ya 2015
Ni upi utakuwa mtaji wa CCM 2015 baada ya katiba mpya kupatikana
Nafikiri ujumbe umekufika barabara ni kama kisu kugusa mfupa msalimie Nape hapo Lumumba.Shalom!
MBONA UMEFANANA NA WAGONJWA WA UKIMWI AMBAO HUJIFARIJI KWA FARAJA ISIYOKUWA NA MAANA HATA WAKATI AMBAPO WANAJUA WATAKUFA SOON!!
Ni kweli bado tunaendelea kuwavua mmoja baada ya mwingine..Tuliona Arusha sasa Rukwa na bado, yanya...
Nafikiri ni mwandishi wa Nape huwa analipoti sana matukio yake hasa yanayotokea ofisi ndogo pale Lumumba.uyu nipe tano nadhani ana matatizo ya akili, kwani hao wenye ukimwi hawapigi kura? watamuhukumu mwaka 2015
Kaka Tabora ni kwa wanyamwezi ingawa pia wasukuma ni wengi sana hasa kwa wilaya ya Igunga na Nzega!Kweli mkoa wetu sijui umelishwa kitu gani yaani na kuwa nyuma hv kumaendeleo bado magamba wanashikilia majimbo yote ya ubunge na zaidi ya 95% ya madiwani.Sijui tumerogwa?Pwani kwa wazarano.!!?
Tabora kwa Wasukuma..!!
Morogoro kwa Waluguru..!!
Huku nako bado hajafikiwa na saa ya ukombozi.!!?
Umesahau wizi wa kutisha EPA, MEREMETA, KAGODA, Rushwa na mikataba feki ya kutisha, RICHIMOND,symbion power, IPTL, Buzwagi Mine, Tulawaka Mine,mambo mengi tuu yasiyo na idadi sijui nisemeje hawa watu wa CCM ni wezi kazi kwisha!!!!!!!!!Kuna Chama nchini Urusi, kilikuwa kinaitwa COMMUNIST PARTY, Chama hiki kilikuwa na nguvu sana. Kilitumia fedha nyingi sana katika kujilinda chenyewe, kisikosolewe wala kuchukiwa kwa makosa yake ya waziwazi. Wananchi walitishwa kwa kiwango cha kukosa ujasiri hata wa kujadili mustakabari wa nchi yao. Lakini kadiri siku zilivyoyoyoma, ndani ya usiku mmoja kilivunjika. leo hii kimebakia kuwa historia. Haya ya CCM kununua watu kwa gharama kubwa badala ya kuhudumia wananchi hayajaanza leo. na hivyo mwisho wa CCM upo nao umeshafika. Ewe mTZ acha kudanganywa - Leo CCM wameuza kila kitu, ntataja vichache bila kuuma meno. 1. Viwanda muhimu 2. Mashirika ya Umma 3. Migodi ya madini mbalimbali 4. Ardhi yenye rutuba *Bonde la, na mto Kilombero, Mbarari, Manyara, Kibaigwa, Katavi, Selous, Serengeti, Meatu. Ndugu zangu mambo haya yanakera sana
Kama vijana 50 hiviNaomba kujuzwa.
Hivi huyu Shayo alikuwa mwenyekiti wa CDM wa Mkoa au Wilaya???
Na je alihama na wanachama wengine wangapi??
Huyu nipe 5anatakiwa akameluniwe na magamba menzie ili aaache unyanyapaa wa namna hiyooo!!! Fulllll!!!Nipe Tano,
Huna aibu kuwanyanyapaa wagonjwa wa UKIMWI kwa misingi tu ya ushabiki wa kisiasa! Sina la kusema kwa mstuko mkubwa ila Mwenyezi Mungu akusamehe bure na kukufungulia akili uwe na moyo wa binadamu!
Naomba kujuzwa.
Hivi huyu Shayo alikuwa mwenyekiti wa CDM wa Mkoa au Wilaya???
Na je alihama na wanachama wengine wangapi??
....na Dar mkuu.Ngome za CCM zilizosalia ni Lindi, Mtwara, Tanga, Dodoma.Add
wewe ungeripoTi taarifa na kuweka ukweli hapa wana jamvi wapime.saSa umeandika hisia na chuki zako umeacha ukweli.wajinga ndio waliwao.ukweli ni kwamba shayo amehama cdm na kuhamia ccm kwa kile alichoeleza ni kuchoshwa na mambo uchaga na udini ndani ya cdm..ameelezea kuskitishwa kwake na kitendo cha kanisa kuwatenga waumini wake waliopigia kampeni ccm wakati wa uchaguzi mkuu mwaka jana.wewe unakurupuka na kuanza kuwalaum waliompokea badala ya kujiuliza kwa nn ameacha chama cha ndg zake wachaga
Pwani kwa wazarano.!!?
Tabora kwa Wasukuma..!!
Morogoro kwa Waluguru..!!
Huku nako bado hajafikiwa na saa ya ukombozi.!!?
Bibie,'Tuliona Arusha sasa Rukwa na bado, yanya...
Ngome za CCM zilizosalia ni Lindi, Mtwara, Tanga, Dodoma.Add
Tupe walau dodoso kwa nn mkuu?Mimi napenda mbinu hii ya CCM kununua wapinzania wakati huu, usiniulize kwa nini.