CHADEMA yajidhirisha kuwa ni imara sana Sumbawanga mjini

Dr. Slaa, afadhali umenisaidia kwa hili mwenyewe nimeshtuka sana. Kayaropoka haya katika juhudi za kuwatetea Magamba. Hata hivyo Mungu amsaidie.

uyu nipe tano nadhani ana matatizo ya akili, kwani hao wenye ukimwi hawapigi kura? watamuhukumu mwaka 2015
 
Shalom!
MBONA UMEFANANA NA WAGONJWA WA UKIMWI AMBAO HUJIFARIJI KWA FARAJA ISIYOKUWA NA MAANA HATA WAKATI AMBAPO WANAJUA WATAKUFA SOON!!

una akili timamu au ndo mambo ya masaburi style! uwe unafikilia kabla haujaandika chochote, kwanza umepima? nakuombea uambukizwe ili upate fundisho katika sikukuu hii, coz umezidi kunyanyapaa!
 
Ukiona CCM inakubalika sehemu just tazama utagundua elimu mahali hapo iko nyuma sana. Kwa mfn Igunga: pale mjini imeshinda CDM sbb watu wana exposure angalau kwa kuwahi kufika DAR at least once in their poor miserable lives, lkn ukirudi huko chaka ambako occupants ni wabibi na wababu ambao kwao tafsiri ya mageuzi ni vita CCM imeibuka kidedea.
 
Shetani akitaka kuwakatisha moyo waumini huwa anamuingia kiongozi mkubwa wa kanisa ili waumini ambao walikuwa wanamchukulia kama mkamilifu wapingwe na butwaa, sisiem wanafanya kitu kinachofanana na hicho, lakini ukweli ni kwamba mwisho wa yote shetani atashindwa na vivyo hivyo ccm kama wataendelea(wanavyofanya sasa) kufisidi nchi na kutowaletea watz maendeleo(kwa sera na kuwa na priorities muhimu) wasijidanganye kwa kuwarubuni viongozi(kwa fedha/cheo/manufaa mengine) kwamba wataweza kuwabadilisha walalahoi walio wengi ili wabakie madarakani. Watz wa leo wanaangalia unachosema kina maslahi kwao na unamaanisha. Sio unasema maisha bora kwa kila mtz then unapandisha kodi ya mafuta ya taa, sio unasema maisha bora bila kusema utacontrol vipi inflation inayoenda kuwa kubwa toka tupate uhuru wa bendera. Hamtaweza(ccm) kuendelea kuaminiwa tena.
 
Tuliona Arusha sasa Rukwa na bado, yanya...

si zungumzii ushabiki bali uhalisia,subiri uone maendeleo ya rukwa yakavyo didimia huyo mama ni mshabiki wa chama hata ukifuatilia michango yake bungeni .
tofauti kabisa na mzee njolay alikuwa ni mchapa kazi namfahamu toka arusha na mwanza tangu ameondoka maendeleo na usafi umedorora sana


 
Na walipomtesa sana Yesu lakini yeye aliishia kusema Baba wasamehe hawajui walitendalo. Kuna watu wanahitaji msaada wa kipekee.
Nipe Tano,
Huna aibu kuwanyanyapaa wagonjwa wa UKIMWI kwa misingi tu ya ushabiki wa kisiasa! Sina la kusema kwa mstuko mkubwa ila Mwenyezi Mungu akusamehe bure na kukufungulia akili uwe na moyo wa binadamu!
 
wewe ungeripoTi taarifa na kuweka ukweli hapa wana jamvi wapime.saSa umeandika hisia na chuki zako umeacha ukweli.wajinga ndio waliwao.ukweli ni kwamba shayo amehama cdm na kuhamia ccm kwa kile alichoeleza ni kuchoshwa na mambo uchaga na udini ndani ya cdm..ameelezea kuskitishwa kwake na kitendo cha kanisa kuwatenga waumini wake waliopigia kampeni ccm wakati wa uchaguzi mkuu mwaka jana.wewe unakurupuka na kuanza kuwalaum waliompokea badala ya kujiuliza kwa nn ameacha chama cha ndg zake wachaga

Wewe naye umeshindwa kufanya critical analysis baada ya huyu bwana kupost threaad yake. Alichokuwa anamaanisha ni kuwa kulikuwa na haja wa serikali kushiriki kwenye sherehe ya kumpokea huyo kibaraka wa ccm ndani ya CDM? Sababu za udini na uchaga ni propaganda ambazo tumezoea ccm kutumia kila mtu akiamia ccm kutoka upinzania, mfano ccm waliwahi kutumia propaganda kama hiyo dhidi ya CUF kuwa ni chama cha waislamu na cha magaidi pindi tambwe hizo alipohamia ccm. Hivo watanzania tumezoea maneno haya ikitumiwa sana na ccm. Sasa wewe kama msomi unatakiwa tu kufanya uchambuzi makini na kuona jinsi ya kuisaidia nchi yako itoke kwenye mikono ya wanyang'anyi CCM.
 
Pwani kwa wazarano.!!?
Tabora kwa Wasukuma..!!
Morogoro kwa Waluguru..!!
Huku nako bado hajafikiwa na saa ya ukombozi.!!?

hata mosh kwan cdm wana majimbo mangap zaid ya ccm au arusha hata mwanza au mbeya fanya tafiti alafu ndio ungee utaira wako
 
wewe ungeripoTi taarifa na kuweka ukweli hapa wana jamvi wapime.saSa umeandika hisia na chuki zako umeacha ukweli.wajinga ndio waliwao.ukweli ni kwamba shayo amehama cdm na kuhamia ccm kwa kile alichoeleza ni kuchoshwa na mambo uchaga na udini ndani ya cdm..ameelezea kuskitishwa kwake na kitendo cha kanisa kuwatenga waumini wake waliopigia kampeni ccm wakati wa uchaguzi mkuu mwaka jana.wewe unakurupuka na kuanza kuwalaum waliompokea badala ya kujiuliza kwa nn ameacha chama cha ndg zake wachaga

Tupe source ya kauli yako ya Kichovu wewe,kama ni Udini na Ukabila Shayo kwako limekaaje? Mtasema sana kwa visingizio hvyo lakn tayari waTz wameshafunguka sana tofauti na awali,endeleeni kujifariji
 
Tumia akili yako japo mara moja moja.
Kama chadema kuna uchaga mbona hakuondoka siku nyingi ama kusema?
Je huyo shayo kwa akili yako unadhani ni mfipa? Kama kweli uchaga ndio umemuondoa chadema. The same old song-uchaga, tumeshazoea hakuna jipya hapo. Watu na njaa zao wanatafuta visingizio.
wewe ni mwana mpotevu hata hujui ulipo wala uendako.utaiona ni old song but ipo siku utaijutia kauli yako.
 
Tupe source ya kauli yako ya Kichovu wewe,kama ni Udini na Ukabila Shayo kwako limekaaje? Mtasema sana kwa visingizio hvyo lakn tayari waTz wameshafunguka sana tofauti na awali,endeleeni kujifariji
unataka source ya ukanisa na cdm au ukabila?kukusaidia kwa kuwa nawe ni mwathirika wa hilo,chanzo ni shayo pamoja na wale waumini wa kanisa waliofukuzwa kanisani kwa kuwa waliunga mkono ccm
 
Chadema ni tumaini jipya Tanzania... Ccm hawana kitu sasa hivi wamebakiwa na rangi zao za kijani na njano tuu...
 
unataka source ya ukanisa na cdm au ukabila?kukusaidia kwa kuwa nawe ni mwathirika wa hilo,chanzo ni shayo pamoja na wale waumini wa kanisa waliofukuzwa kanisani kwa kuwa waliunga mkono ccm

Umepotea ww,jaribuni kubuni mbinu nyingine ya kuwarubuni waTz sio hii ya sasa kwani tumeshawagundua nyie watu
 
hata mosh kwan cdm wana majimbo mangap zaid ya ccm au arusha hata mwanza au mbeya fanya tafiti alafu ndio ungee utaira wako

Arusha Arumeru Magharibi walichakachua Arumeru mashariki pia walichachua hadi leo Sumari hajaapishwa Yuko hoi kitandani juzi tu wamempeka India.
 
Shaloom wanajamvi! Kitendo cha watendaji waandamizi wa CCM na Serikali mkoa wa Rukwa na wilaya zake kushiriki katika mapokezi ya aliyekuwa kibaraka wa CCM ndani ya CHADEMA bw Shayo aliyekuwa mwenyekiti wa CHADEMA wilaya ni kielelezo tosha kuwa CHADEMA ni imara na itaendelea kuwa na nguvu Sumbawanga mjini, nguvu nyingi sana zilitumika ikiwepo kutumia Televishen ya Manispaa kwa takribani saa nzima kuonesha tukio lote, kauli ya mwenyekiti wa CCM ndugu Matete na Mkuu wa mkoa aliyekuwa mgeni rasmi zilionesha kuwa dola na utawala wa mkoa kwa unanyimwa usingizi kwa nguvu kubwa ya CHADEMA Sumbawanga mjini, nilimkariri Stella Manyanya "mkuu wa mkoa" akisema hali ya kisiasa mkoa wa Rukwa inamhuzunisha na mkukerehesha yeye kama kada wa CCM na kuwa atatumia uwepo wake Rukwa kupambana nayo.Naye mwenyekiti wa mkoa nimkariri akisononeshwa na ushindi wa kishindo wa CHADEMA kwa chaguzi ndogo za serikali za mitaa zilizofanyika hivi punde katika vijiji na vitongoji vya manispaa. Ukomavu wa CHADEMA umeonakana kwa sana pale bw Shayo alipotakiwa kuongea na kujidhirisha kuwa alikuwa na njaa hali iliyopelekea wajumbe waliokuwepo kuamka na kuanza kumpatia pesa kama sadaka, posho na shukrani kwa kukabidhi kadi ya Chadema.Hafla hiyo iliitishwa na Mwenyekiti wa CCM mkoa na kuhudhuriwa na wakuu wa wilaya, wakurugenzi, wakuu wa idara za umma ,viongozi wengine waandamizi na makada wa CCM. Nawapongeza CHADEMA kwa kuimarika Sumbawanga na kuwa baada ya kibaraka wa CCM bw Shayo kurudi CCM ngome itaimarika zaidi. Source: Sumbawanga Tv

Huyu ni Shayo gani? na unasema alikuwa na njaa???:shock:
 
sahihi kabisa mkuu,nimeshangaa hata Morogoro iliyokuaga moja ya ngome ya C.c.m,sasa hivi si Kilombero,Ifakara,Mahenge,mvomero mpaka Moro town hawataki tena kusikia uongo wa magamba......sina uhakika na wilaya ya kilos/gairo na moro vijijini
 
Nashangazwa sana na watu wanaleta jokes kwenye ukimwi'elewa ukimwi ni tatizo la kila mtu'wakati mwingine kabla hujafanya jokes kaa na kufikri

Watu wengine they are not serious,sijui uwa wanafikiria kwa kutumia nini
 
Back
Top Bottom