CHADEMA yajidhirisha kuwa ni imara sana Sumbawanga mjini

Kuna Chama nchini Urusi, kilikuwa kinaitwa COMMUNIST PARTY, Chama hiki kilikuwa na nguvu sana. Kilitumia fedha nyingi sana katika kujilinda chenyewe, kisikosolewe wala kuchukiwa kwa makosa yake ya waziwazi. Wananchi walitishwa kwa kiwango cha kukosa ujasiri hata wa kujadili mustakabari wa nchi yao. Lakini kadiri siku zilivyoyoyoma, ndani ya usiku mmoja kilivunjika. leo hii kimebakia kuwa historia. Haya ya CCM kununua watu kwa gharama kubwa badala ya kuhudumia wananchi hayajaanza leo. na hivyo mwisho wa CCM upo nao umeshafika. Ewe mTZ acha kudanganywa - Leo CCM wameuza kila kitu, ntataja vichache bila kuuma meno. 1. Viwanda muhimu 2. Mashirika ya Umma 3. Migodi ya madini mbalimbali 4. Ardhi yenye rutuba *Bonde la, na mto Kilombero, Mbarari, Manyara, Kibaigwa, Katavi, Selous, Serengeti, Meatu. Ndugu zangu mambo haya yanakera sana
 
Shalom!
MBONA UMEFANANA NA WAGONJWA WA UKIMWI AMBAO HUJIFARIJI KWA FARAJA ISIYOKUWA NA MAANA HATA WAKATI AMBAPO WANAJUA WATAKUFA SOON!!
Nafikiri ujumbe umekufika barabara ni kama kisu kugusa mfupa msalimie Nape hapo Lumumba.
 
Pwani kwa wazarano.!!?
Tabora kwa Wasukuma..!!
Morogoro kwa Waluguru..!!
Huku nako bado hajafikiwa na saa ya ukombozi.!!?
Kaka Tabora ni kwa wanyamwezi ingawa pia wasukuma ni wengi sana hasa kwa wilaya ya Igunga na Nzega!Kweli mkoa wetu sijui umelishwa kitu gani yaani na kuwa nyuma hv kumaendeleo bado magamba wanashikilia majimbo yote ya ubunge na zaidi ya 95% ya madiwani.Sijui tumerogwa?
 
Kuna Chama nchini Urusi, kilikuwa kinaitwa COMMUNIST PARTY, Chama hiki kilikuwa na nguvu sana. Kilitumia fedha nyingi sana katika kujilinda chenyewe, kisikosolewe wala kuchukiwa kwa makosa yake ya waziwazi. Wananchi walitishwa kwa kiwango cha kukosa ujasiri hata wa kujadili mustakabari wa nchi yao. Lakini kadiri siku zilivyoyoyoma, ndani ya usiku mmoja kilivunjika. leo hii kimebakia kuwa historia. Haya ya CCM kununua watu kwa gharama kubwa badala ya kuhudumia wananchi hayajaanza leo. na hivyo mwisho wa CCM upo nao umeshafika. Ewe mTZ acha kudanganywa - Leo CCM wameuza kila kitu, ntataja vichache bila kuuma meno. 1. Viwanda muhimu 2. Mashirika ya Umma 3. Migodi ya madini mbalimbali 4. Ardhi yenye rutuba *Bonde la, na mto Kilombero, Mbarari, Manyara, Kibaigwa, Katavi, Selous, Serengeti, Meatu. Ndugu zangu mambo haya yanakera sana
Umesahau wizi wa kutisha EPA, MEREMETA, KAGODA, Rushwa na mikataba feki ya kutisha, RICHIMOND,symbion power, IPTL, Buzwagi Mine, Tulawaka Mine,mambo mengi tuu yasiyo na idadi sijui nisemeje hawa watu wa CCM ni wezi kazi kwisha!!!!!!!!!

Wahenga wanasema kuku hatagi ugenini, baada ya kugundua hilo naona bwana Shayo anatafuta namna ya kutaga
 
Nipe Tano,
Huna aibu kuwanyanyapaa wagonjwa wa UKIMWI kwa misingi tu ya ushabiki wa kisiasa! Sina la kusema kwa mstuko mkubwa ila Mwenyezi Mungu akusamehe bure na kukufungulia akili uwe na moyo wa binadamu!
Huyu nipe 5anatakiwa akameluniwe na magamba menzie ili aaache unyanyapaa wa namna hiyooo!!! Fulllll!!!
 
Mimi napenda mbinu hii ya CCM kununua wapinzania wakati huu, usiniulize kwa nini.
 
Naomba kujuzwa.

Hivi huyu Shayo alikuwa mwenyekiti wa CDM wa Mkoa au Wilaya???

Na je alihama na wanachama wengine wangapi??

Alikuwa Mwenyekiti wa wilaya na kwa mujibu wa source sumbawanga tv iliyoonesha tukio la shayo hajaondoka na mwanachama yeyote! Alionekana yeye peke yake na kadi yake.
 
wewe ungeripoTi taarifa na kuweka ukweli hapa wana jamvi wapime.saSa umeandika hisia na chuki zako umeacha ukweli.wajinga ndio waliwao.ukweli ni kwamba shayo amehama cdm na kuhamia ccm kwa kile alichoeleza ni kuchoshwa na mambo uchaga na udini ndani ya cdm..ameelezea kuskitishwa kwake na kitendo cha kanisa kuwatenga waumini wake waliopigia kampeni ccm wakati wa uchaguzi mkuu mwaka jana.wewe unakurupuka na kuanza kuwalaum waliompokea badala ya kujiuliza kwa nn ameacha chama cha ndg zake wachaga

Mchaga kakimbia chadema akilalamikia ukabila wa cdm ,sielewi au kuna kabila linaitwa chadema ambalo ameona yeye hafit humo ?
 
Pwani kwa wazarano.!!?
Tabora kwa Wasukuma..!!
Morogoro kwa Waluguru..!!
Huku nako bado hajafikiwa na saa ya ukombozi.!!?

kuna sababu kubwa ya wewe kutuomba radhi wasukuma! Tabora ni ya wanyamwezi wasukuma ni watafutaji tu pale Tabora,wasukuma wanatoka Shinyanga na Mwanza! (moja ya majimbo ya wasukuma ni Bukombe,Nyamagana,Ilemela,Meatu,Maswa mashariki na magharibi)
 
Ni ajabu kuwa jambo hili watu wengi Sumbawanga hawalijui. Nimewasiliana na wengi wanasema kuwa hawalijui. Haina maana sio kweli. Ila sio significant.
 
Wasukuma tumeshaigundua janja ya ccm.Hawa ccm walitugeuza kuwa mtaji wao wa kuendelea kutawala.Ila pamoja na kutufanya mtaji wao hawakutaka kabisa tupate shule.Sasa hivi ni sisi na CDM kama spaner na mkono.CDM oheyeeee!!!!.
 
5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom