CHADEMA yajidhirisha kuwa ni imara sana Sumbawanga mjini

Alichosema Shayo sababu za kujitoa CHADEMA ni Uchaga na udini achana na uchaga kwani SHAYO mweyewe ni mchaga alichozungumzia shayo udini hapo bwana mdogo hajakose kwani kwa mji wa SUMBAWANGA ilidhihirisha wakati wa uchaguzi mwaka 2010 wafuasi wengi walijiunga na chadema kutokana na udini kwani maskofi walikuwa wakipiga kampeni waziwazi kanisani huku wakisema asichaguliwe mbunge wa CCM kwani ni muislam na waliodiriki kumsaidia mbuge wa CCM walitengwa na kanisa sasa kwa mji wa SUMBAWANGA wafusi wa CHADEMA wamepatikana kwa mtindo huo sasa bwana SHAYO alifikiri itaishia hapo lkn bado inaendelea kwa misingi hiyo SHAYO unahaki kukiacha chama WITO KWA VIONGOZI WA CHADEMA TAIFA MJUE WANACHAMA MLIONAO SUMBAWANGA WAKO KWA MASLAHI Y A KIDINI SASA MSIPOANGALIA MTAKAPOINGIA MADARAKANI KUNA TABAKA LITAJIFANYA NDIO LENYE NCHI WENGINE WATAKUWA WASIKILIZAJI HAKIKA NCHI YA AINA HIYO HAITATAWALIKA
 
Wanatumia nguvu nyingi kuchukua kibaraka wao Shayo. Hana sifa za kuwa mpiganaji wala kamanda. Chadema moto chini... Kanyaga twende
 
Back
Top Bottom