CHADEMA watoka tena bungeni, Mrema naye atoka!

Napenda sana Lugha ya vitendo ya Chadema na wapinzani wengine waliyo unga mkono leo.Wananchi tumewaona.
 
cdm bana, wamekuja wakasaini form za posho then wanatoka na tayari mshiko umeingia
ratiba waliijua kwa nini wasingebaki nyumbani.
Tumbo kwanza mengine baadae

siyo maana yake!,asubuhi kinaanza kipindi cha maswali na majibu ambacho wabunge wa chadema wamehudhuria kusikiliza majibu ya maswali yao na kuuliza viswali vya nyongeza! Baabda ya hapo ndo mjadala wa mswada wa katiba...hapo ndo ulipo ugonvi wao na ndo muda wa kuchomoka kwenda kwenye misele yao.
 
Ilikuwa Karibu Nikuelewe ila Ulipoweka Mambo ya Genda!! Uawanawake!! Nikakupuuza Kabisa Kwani Mfumo Dume Umekukaa sana!! Unajiona superiour!! Uwanaume!! Akija simba mbona unaweza Kuwa wa Kwanza Kukimbia hadi Kijiharishia!!

Mkwe,

Samahani kwa kutumia hii Genda ya jinsia ya kike. Lakini kumbuka hata Rais wenu Mkapa aliwahi kurusha kijembe kwa kusema " Wapinzani wana wivu wa Kike" .

Naomba kuondoa usemi na lisimame neno woga.

samahani kama nimekukwaza.
 
Mrema katoka siamini! labda alikuwa kalala anamwaga maudenda kushtuka anakuta watu wanatoka akafikiri bunge limeahirishwa. Mrema sio mpinzani anaganga njaa.

dah! Mama kubwa apo umeniacha hoi! Comedy la kutosha ilo big up
 
He... siajaamini bado hili la Lyatonga kutoka nje.. au alikua anaenda msalani?
 
Mrema Bwana! Ame kweli ni mganga njaa, namuhurmia asije akawa kama wana wa Skewa(Mdo19:13-16) ambao waljifanya kupiga mziki usokuwa wao(Kifikra) ambao waliambula kupigwa roba na hatimaye kutoka mkuku huku wakiwa utupu kwi..kwi...kwi....Bravo CDM, People's Power inazidi kuota mizizi 'inji hii"
 
CHADEMA tuliwatuma bungeni kufanya kazi ya wananchi na ndicho wanchaofanya. Sasa hivi c wakati wa kubuluzwabuluzwa lazima washike adabu kama walizoea ni kipindi hicho cha nyuma
 
CDM bana, wamekuja wakasaini form za posho then wanatoka na tayari mshiko umeingia
ratiba waliijua kwa nini wasingebaki nyumbani.
Tumbo kwanza mengine baadae
Unywe sumu ufe tu kwani huna mchango wowote duniani
 
Kususa ni imani dhaifu sana kwa mwanadamu hususan kama rijal na mpambanaji wa kupigania haki za wanaodhurumiwa.

Mtu makini siku zote anaingia katikati ya mapambano na kupambana kuhakikisha anashinda au kama atashindwa atakuwa ameweka athari au kumbukumbu kwa tukio lile. Kutoka nje ni tarbia ya uanamke/uoga kitu ambacho sio sahihi kwa mpigania haki.

Kwani kwa kutoka kwao Chadema huko Bungeni Tz kunasaidia nini au kuna athari gani kwa Bunge lenu. Sheria itapita hata kama wao hawapo. Je watakuwa wamewatendea haki watanzania waliowachagua? kama waliweza kuwakilisha Hotba yao ya maoni ya kambi ya upinzani ya muswada huu kwanini wasibakie na kutetea hotba na fikra zao kuliko kuamua kutoka nje ya bunge.

Huo ni utoto sana na kuona kuwa wao wapo sahihi sana kuliko wenzao. Ni uvivu wa kufikiri na kukataa mawazo mgongano au kukinzana kwa mawazo. Huko ni kufilisika kwa akili kwa wabunge wa Chadema.

Nawapa pole sana.
CUF bwana na magamba mpo sawa!
 
Cdm kususia bunge 2 mnakuwa hampo sahihi kabisa kwan mnatoka nje mnawaacha magamba wanajisifu na kuwapaka matope na kuwaharibia kwa wananchi na hasa wengi hawajui nini mkifanyacho na lengo lenu hasa.
Na mbaya zaidi idadi kubwa sana ya wananch hawajui ni nin na umuhim wa kile kinachojadiliwa bungen.
Na mwisho hata wale wanaofaham umuhim wa kile mnachokigomea bado mnawaacha njiapanda kwa kuto waonyesha na kuwaelekeza njia mbadala kwani mnatoka nje nyuma mswaada unajadiliwa na mwisho utapitishwa je kutoka kwenu nje mtakuwa mmewasaidia vip wale wananchi waliokuwa upande wenu kuupinga mswada huo??.
Wewe kweli mgonjwa, unatuona watanzania wote wagonjwa kama wewe, kwa taarifa yako chati ya wabunge wa CHADEMA imepanda ile mbaya. Waulize wabunge wa CCM wanaohangaika na mitusi bungeni badala ya kuujadili mswaada wana pelekewa SMS ngapi za kuonywa na wapigakura wao!
 
Mrema ni p***mbi!amechoka kiakili!c ilishasemekana alikw na saratani cjui ya ubongo na ngozi hadi akaenda kunywa kikombe?sasa kwa misingi hiyo tutegeme nini zaidi ya anayofanya!
 
Mrema ni p***mbi!amechoka kiakili!c ilishasemekana alikw na saratani cjui ya ubongo na ngozi hadi akaenda kunywa kikombe?sasa kwa misingi hiyo tutegeme nini zaidi ya anayofanya!

Dr. Augustino Mrema kachoka kabisa, yani kwisha habari yake!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom