Hivi vyoo vya bunge vipo nje kabisa?Mrema atakuwa katoka for a short call sio kususia mjadala wa muswada wa katiba mpya.
Wametoka kama dk 15 zilizopita
Acha ujinga kama akina kilango wao wamegomea kushiriki kujadili uharo huo wa ccmlakini asubuhi huanzwa kwakipindi cha maswali na majibu ebu jaribu kuwa mwelewa acha ushambaCDM bana, wamekuja wakasaini form za posho then wanatoka na tayari mshiko umeingia
ratiba waliijua kwa nini wasingebaki nyumbani.
Tumbo kwanza mengine baadae
bofya kitufe cha 'edit' na uondoe neno 'watukufu'.
Kususa ni imani dhaifu sana kwa mwanadamu hususan kama rijal na mpambanaji wa kupigania haki za wanaodhurumiwa.
Mtu makini siku zote anaingia katikati ya mapambano na kupambana kuhakikisha anashinda au kama atashindwa atakuwa ameweka athari au kumbukumbu kwa tukio lile. Kutoka nje ni tarbia ya uanamke/uoga kitu ambacho sio sahihi kwa mpigania haki.
Kwani kwa kutoka kwao Chadema huko Bungeni Tz kunasaidia nini au kuna athari gani kwa Bunge lenu. Sheria itapita hata kama wao hawapo. Je watakuwa wamewatendea haki watanzania waliowachagua? kama waliweza kuwakilisha Hotba yao ya maoni ya kambi ya upinzani ya muswada huu kwanini wasibakie na kutetea hotba na fikra zao kuliko kuamua kutoka nje ya bunge.
Huo ni utoto sana na kuona kuwa wao wapo sahihi sana kuliko wenzao. Ni uvivu wa kufikiri na kukataa mawazo mgongano au kukinzana kwa mawazo. Huko ni kufilisika kwa akili kwa wabunge wa Chadema.
Nawapa pole sana.
Du hapo kwenye nyekundu umenikumbusha mbali sana kuna mwalimu wetu mmoja alikuwa anapenda sana kutumia hilo neno sana.
Tehet ehe!unataka CUF ndoa yao ife wanaheshimu ndoa!
Huu ni upuuzi mtupu
======
Leo CHADEMA wametoka nje ya ukumbi wa Bunge baada ya mjadala Muswada wa Katiba Mpya kuanza kujadiliwa.
Ni afadhali ungeishia kusema woga, kuliko kuwafanya mama zetu, dada zetu, wake zetu, mabinti zetu dhaliliKususa ni imani dhaifu sana kwa mwanadamu hususan kama rijal na mpambanaji wa kupigania haki za wanaodhurumiwa.
Mtu makini siku zote anaingia katikati ya mapambano na kupambana kuhakikisha anashinda au kama atashindwa atakuwa ameweka athari au kumbukumbu kwa tukio lile. Kutoka nje ni tarbia ya uanamke/uoga kitu ambacho sio sahihi kwa mpigania haki.
Kwani kwa kutoka kwao Chadema huko Bungeni Tz kunasaidia nini au kuna athari gani kwa Bunge lenu. Sheria itapita hata kama wao hawapo. Je watakuwa wamewatendea haki watanzania waliowachagua? kama waliweza kuwakilisha Hotba yao ya maoni ya kambi ya upinzani ya muswada huu kwanini wasibakie na kutetea hotba na fikra zao kuliko kuamua kutoka nje ya bunge.
Huo ni utoto sana na kuona kuwa wao wapo sahihi sana kuliko wenzao. Ni uvivu wa kufikiri na kukataa mawazo mgongano au kukinzana kwa mawazo. Huko ni kufilisika kwa akili kwa wabunge wa Chadema.
Nawapa pole sana.
Mrema katoka siamini! labda alikuwa kalala anamwaga maudenda kushtuka anakuta watu wanatoka akafikiri bunge limeahirishwa. Mrema sio mpinzani anaganga njaa.
Nashukru kwa shule, sasa naondoa neno langu "watukufu" na badala yake naweka Makini