CHADEMA watoka tena bungeni, Mrema naye atoka!

hapo washa sign kitabu cha mahudhurio... kwa posho wanachukuwa kama kawa ... they have nothing to loose zaidi ya kupata cheap popularity + posho huku wakishinda nje ya bunge na viburudisho vyao...

CDM bana... sio watu wote wavivu wa kufikiri kama pro cdm wa humu Jf na kuanza kushabikia huu upuzi wanaofanya posho wachukue nje ya bunge watoke alafu wanadai wanamapinduzi ... what a joke !!!!
Ningeshangaa sana kama njiwa anaweza kuwa na akili ya kutambua mchango wa chadema.
 
kazi mliyowatuma wakifika mjengoni wasaini mahudhurio wachukue posho alafu watoke nje, wakirudi mtaani wahamasishe vurugu, ...
Nyie mliwatuma CCM kuchukua posho na kuwajadili chadema huku mkipayuka kwa matusi bungeni.
 
Wapuuzi ni wale walioleta mswada wa kwanza ulioshindwa na kuusoma mara ya pili, shame on you magamba.
 
Mrema katoka siamini! labda alikuwa kalala anamwaga maudenda kushtuka anakuta watu wanatoka akafikiri bunge limeahirishwa. Mrema sio mpinzani anaganga njaa.

Wala siyo! Mrema kajifanya mtaalamu wa kutunga wimbo wa kumchezesha mbuzi muziki, sasa mbuzi kaendelea kucheua na kutafuna! Haha Haahaaa!
 
Huyu Hassan Zungu anasema etii yaliyosemwa na Mhe, Lissu kuhusu Zanzibar wakati wa mjadala wa Sheria ya Mabadiliko ya Katiba hayajawafurahisha wabunge wenzake wa CDM...inawezekana haya??

Hii ni changamoto kwa CHADEMA! Kitengo cha mawasiliano cha CHADEMA kiko numb sana! Kwa namna CCM/CUF wanavyotamba bungeni, hakika CHADEMA walipaswa watoe ufafanuzi kuhusu msimamo wao ili wengi wa waTZ (haswa wa vijijini na wasioelewa) waweze kuepuka upotoshwaji unaoendelea kufanya bungeni na CCM/CUF.

Naomba CHADEMA walizingatie sana hili; ninajua mimi ninapaswa kuwaelewesha wale ambao hawajaelewa, lakini maelezo yatayotolewa na chama yanakua na uzito kuliko maelezo yanayotolewa na mwanachama wa kawaida.
 
chadema wako right!!! huwezi ukampa rais majukumu yote yale "mapya" ya katiba wakati hata madogo tu kama ya jairo yanamsumbua we are not serious wale wote tunaodhani wabunge wa CCM wanaelewa wanachofanya
 
Natumai mrema hamkumuona, huyu jamaa hakutoka, pia ata mikiki mikiki haiwezi uyu, ila nilimuona wakat akitetea mpango mzima wa katiba, jamaa misuli ya shingo ilimsimama uku akiwaponda walotoka nje, lakini tusimlaumu kwani kabla ya kuwa mbunge alikuwa hali mbaya kiuchumi, duh jamaa alikuwa amechoka mbaya
 
Habari za kazi waungwana.Naomba kuuliza.Ni kwa nini CHADEMA WALITOKA NJE YA BUNGE WAKATI BUNGE LIKIENDELE?ni kipi wanachotaka ambacho wabunge wenzao hawataki?Tatizo lipo wapi katika mswada huu wa katiba?Naulizwa sana haya maswali nakosa majibu kabisaaa..MSAADA JAMANI.
 
Habari za kazi waungwana.Naomba kuuliza.Ni kwa nini CHADEMA WALITOKA NJE YA BUNGE WAKATI BUNGE LIKIENDELEA?ni kipi wanachotaka ambacho wabunge wenzao hawataki?Tatizo lipo wapi katika mswada huu wa katiba?Naulizwa sana haya maswali nakosa majibu kabisaaa..MSAADA JAMANI.
 
Habari za kazi waungwana.Naomba kuuliza.Ni kwa nini CHADEMA WALITOKA NJE YA BUNGE WAKATI BUNGE LIKIENDELE?ni kipi wanachotaka ambacho wabunge wenzao hawataki?Tatizo lipo wapi katika mswada huu wa katiba?Naulizwa sana haya maswali nakosa majibu kabisaaa..MSAADA JAMANI.
Unachekesha sana, nenda kamuulize Mbunge wako.
 
Habari za kazi waungwana.Naomba kuuliza.Ni kwa nini CHADEMA WALITOKA NJE YA BUNGE WAKATI BUNGE LIKIENDELE?ni kipi wanachotaka ambacho wabunge wenzao hawataki?Tatizo lipo wapi katika mswada huu wa katiba?Naulizwa sana haya maswali nakosa majibu kabisaaa..MSAADA JAMANI.

Ndugu Tizo1, Yaani kwa kipindi chote hiki ambacho mijadala imekuwa ikiendelea Bungeni, kwenye TV na hata hapa jamvini bado hujaelewa ni kwa nini CHADEMA wanatoka bungeni haswa ktk kipindi cha Mswada wa uundwaji wa tume ya kurekebisha katiba? Hebu jaribu kufanya homework yako na kupitia mabandiko kadhaa hapa JF naamini utaelewa kwa nini wanatoka Bungeni!
 
Soma mswada wa sheria wa CCM kupitia SELINA KOMBANI na mswada wa sheria wa wananchi kupitia TUNDU LISSU utapata majawabu ya maswali yako yote uliyouliza na yale ambayo hujayauliza
 
Habari za kazi waungwana.Naomba kuuliza.Ni kwa nini CHADEMA WALITOKA NJE YA BUNGE WAKATI BUNGE LIKIENDELE?ni kipi wanachotaka ambacho wabunge wenzao hawataki?Tatizo lipo wapi katika mswada huu wa katiba?Naulizwa sana haya maswali nakosa majibu kabisaaa..MSAADA JAMANI.

Mkuu si Spika aliisha sema kuwa walitoka kwenda kunywa chai, unataka majibu gani tena mkuu

Dah jamani inanitatiza sana hii kitu.Mbunge wangu ni KILAZA ismail aden RAGE asiyejua hili wala lile.Msaada JAMANI.
 
hapo washa sign kitabu cha mahudhurio... kwa posho wanachukuwa kama kawa ... they have nothing to loose zaidi ya kupata cheap popularity + posho huku wakishinda nje ya bunge na viburudisho vyao...

CDM bana... sio watu wote wavivu wa kufikiri kama pro cdm wa humu Jf na kuanza kushabikia huu upuzi wanaofanya posho wachukue nje ya bunge watoke alafu wanadai wanamapinduzi ... what a joke !!!!
dah! hawa jamaa wanazingua ile kinoma kama ndio hivyo.Nalog off
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom