nadhani werwe ni kuadi wa magamba. Ulitaka na asubuhi kwenye maswali na majibu wasishiriki? wametoka kwenye epsode moja, itakayohusu taifa watarejea, lakini huo mswaada wa katiba unawahusu CCM, CUF, TLP, UDP tu ambao wote ni makuadi wa CC mjengoni na nje ya mjengo
CDM bana, wamekuja wakasaini form za posho then wanatoka na tayari mshiko umeingia
ratiba waliijua kwa nini wasingebaki nyumbani.
Tumbo kwanza mengine baadae
CDM bana, wamekuja wakasaini form za posho then wanatoka na tayari mshiko umeingia
ratiba waliijua kwa nini wasingebaki nyumbani.
Huu ni upuuzi mtupu
======
Leo CHADEMA wametoka nje ya ukumbi wa Bunge baada ya mjadala Muswada wa Katiba Mpya kuanza kujadiliwa.
Mrema katoka siamini! labda alikuwa kalala anamwaga maudenda kushtuka anakuta watu wanatoka akafikiri bunge limeahirishwa. Mrema sio mpinzani anaganga njaa.
mrema ni kwel anarud kundin!!!! au unafik tu.....bado wngn wengi tu.
Wabunge wa upinzani wameamua kulisusia Bunge la CCM, Mrema awa wa mwisho kutoka.....Ni lini CCM itakubali kushindwa kuongoza nchi hii??
Wabunge wa upinzani wameamua kulisusia Bunge la CCM, Mrema awa wa mwisho kutoka.....Ni lini CCM itakubali kushindwa kuongoza nchi hii??
Kususa ni imani dhaifu sana kwa mwanadamu hususan kama rijal na mpambanaji wa kupigania haki za wanaodhurumiwa.
Mtu makini siku zote anaingia katikati ya mapambano na kupambana kuhakikisha anashinda au kama atashindwa atakuwa ameweka athari au kumbukumbu kwa tukio lile. Kutoka nje ni tarbia ya uanamke/uoga kitu ambacho sio sahihi kwa mpigania haki.
Kwani kwa kutoka kwao Chadema huko Bungeni Tz kunasaidia nini au kuna athari gani kwa Bunge lenu. Sheria itapita hata kama wao hawapo. Je watakuwa wamewatendea haki watanzania waliowachagua? kama waliweza kuwakilisha Hotba yao ya maoni ya kambi ya upinzani ya muswada huu kwanini wasibakie na kutetea hotba na fikra zao kuliko kuamua kutoka nje ya bunge.
Huo ni utoto sana na kuona kuwa wao wapo sahihi sana kuliko wenzao. Ni uvivu wa kufikiri na kukataa mawazo mgongano au kukinzana kwa mawazo. Huko ni kufilisika kwa akili kwa wabunge wa Chadema.
Nawapa pole sana.
haki ya nani We mfupi!Cdm kususia bunge 2 mnakuwa hampo sahihi kabisa kwan mnatoka nje mnawaacha magamba wanajisifu na kuwapaka matope na kuwaharibia kwa wananchi na hasa wengi hawajui nini mkifanyacho na lengo lenu hasa.
Na mbaya zaidi idadi kubwa sana ya wananch hawajui ni nin na umuhim wa kile kinachojadiliwa bungen.
Na mwisho hata wale wanaofaham umuhim wa kile mnachokigomea bado mnawaacha njiapanda kwa kuto waonyesha na kuwaelekeza njia mbadala kwani mnatoka nje nyuma mswaada unajadiliwa na mwisho utapitishwa je kutoka kwenu nje mtakuwa mmewasaidia vip wale wananchi waliokuwa upande wenu kuupinga mswada huo??.
Cdm kususia bunge 2 mnakuwa hampo sahihi kabisa kwan mnatoka nje mnawaacha magamba wanajisifu na kuwapaka matope na kuwaharibia kwa wananchi na hasa wengi hawajui nini mkifanyacho na lengo lenu hasa.