johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 84,602
- 142,912
Wote tunajua Miswada ya Sheria za Uchaguzi imegawiwa kwa Wadau mbalimbali ikiwemo Chadema ili Kupata maoni yao mbele ya Kamati ya Bunge.
Maoni ya Chadema yamewasilishwa mbele ya Kamati ya Bunge na Katibu mkuu mh Mnyika, yamepokelewa na yanafanyiwa KAZI pamoja na maoni ya Wadau wengine.
Majibu ya maoni na hoja mbalimbali za wabunge yatawasilishwa kwenye Vikao Vya Bunge zima mwishoni mwa mwezi huu.
Tunajiuliza, Kwanini Chadema wanaitisha maandamano Wakati wameshiriki hatua zote za uandaaji wa miswada kwa Uaminifu mkubwa?
Je, kuandamana sasa Wakati maoni yao Yako Bungeni hawavunji sheria?
Kila Mdau aliyetoa maoni akitangaza maandamano Wakati Huu hoja zao zinapofanyiwa kazi na Kamati ya Bunge nchi Hii na raia wake watabaki salama?
Chadema fanyeni Siasa za Kisasa msiwe kama Hamas!
Dominica Njema 😄