Kazi ya kiongozi wa dini ni kusimama na jamii inayoonewa,sio kushikamana na miungu watu,
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
huyu ni zaidi ya ambaruti
Rubbish!Wanabodi,
Kama mlivyoona reaction ya viongozi wengi wa CHADEMA kutokana na mkutano wa viongozi wa dini pale ikulu na mkuu wa nchi. Zimetumika lugha za ajabu kidogo kubeza viongozi wale kwasababu tu hawakusema waliyotaka wasikie.
Naomba nitoe tahadhari kwa CHADEMA na hasa baraza la wazee. Mnatakiwa mrudishe nidhamu ya matamko yanayoweza kukichafua chama. Acheni mashabiki na wanamtandao waseme wanayotaka lakini viongozi wa chama lazima kuwe na utaratibu wa kutoa maoni ambao utakuwa msimamo rasmi wa chama bila kwenda kinyume na sera, itakadi na katiba yake.
Mchango wa viongozi wa dini kwa upinzani na hasa CHADEMA ni mkubwa mno. Msikubali mihemuko ya baadhi ya viongozi kuwafarakanisha. Tukio kama lile la ikulu si la viongozi kukurupuka na matusi huko twita bila kwanza kukutana na kujadili na kupata azimio la pamoja ambalo lina hekima na misingi ya kuheshimu mawazo ya wengine kama CHADEMA inavyopenda kuhubiri.
CHADEMA hakuna tena nidhamu kama zamani ambapo tulipata misimamo ya chama kwa utaratibu kupitia Tumaini Makene, Katibu mkuu na viongozi wengine lakini kwa utaratibu.
Naona viongozi wa CHADEMA wasio wakristo wamekuwa na hekima kwa kukaa kimya kuheshimu viongozi wao wa imani na kuwaacha wenzao wa kikristo wakiwakosea adabu viongozi wao.
Baraza la wazee CHADEMA jadilini mrudishe nidhamu kabla hawa vijana wenye mihemuko hawajafarakanisha chama na kila taasisi.
Sasa kupitia uzi huu ndio mtajua kati ya JPM na CHADEMA nani asiyependa kukosolewa. #uhuruwamawazo #practicewhatyoupreach
Sent using Jamii Forums mobile app
Kipi cha uongo kikichosemwa?Wanabodi,

Mbadala wa ccm ni tume ya uchaguzi polisi na mahakama hamna chama cha siasa kinachoitwa ccm kilishakufa zamani sana.
Hivi kweli mwanadamu kama angeweza kujipa moyo nani angekufa? Sijawahi kufikiria kiti cha uraisi kinaweza kupatikana mshindi toka upinzani kama tume haijaamua wabunge ni ndondo tu kama kubahatisha ila uraisi ngumu sana si kwamba chama dora ccm kinafanya vizur na kukubalika hapana ni matakwa ya mkurugenz wa tume.Lakini kuna wakati mnajipa moyo 2020 mtashinda kiti cha Urais
Waraka ulikuwa full of tribal sentiments! Zilipokataliwa na Malasusa, eti akatengwa! Si ulimuona hata yule mchungaji aliyeomba demokrasia? Kanisa lenyewe halina hata demokrasia!Ulipotoka Waraka wa KKKT na TEC vijana wa CCM mliwatukana viongozi wa dini matusi ya nguoni leo mnajifanya eti wema kwao kama sio unafiki ni nini.
Subirini waraka wa pasaka utoke akili ndipo zitakapowarudi.
Mshangao wangu ni pale wapinzani wataenda kushiriki uchaguzi huo kwa mazingira yale yale ya 2015. maana tayari watu humu wanaamini Lissu atashinda 2020Hivi kweli mwanadamu kama angeweza kujipa moyo nani angekufa? Sijawahi kufikiria kiti cha uraisi kinaweza kupatikana mshindi toka upinzani kama tume haijaamua wabunge ni ndondo tu kama kubahatisha ila uraisi ngumu sana si kwamba chama dora ccm kinafanya vizur na kukubalika hapana ni matakwa ya mkurugenz wa tume.
Ngumu sana tena sana magufuli atawaangusha vibaya sana maana vyombo vyote anavyo yeye kwanza nilishaacha kupiga kura hapa tukiongelea uhalisia wa jinsi mambo yanavyoendeshwa na tume ya uchaguz hasa ngazi ya uraisi.Mshangao wangu ni pale wapinzani wataenda kushiriki uchaguzi huo kwa mazingira yale yale ya 2015. maana tayari watu humu wanaamini Lissu atashinda 2020
Mshangao mwingine ni pale mwanasheria anayeaminika kuwa nguli anataka kugombea Urais kwa mazingira yale yale. nilidhani angekomaa kupata tume huru, kumbe naye anataka kutengeneza CV kama kina Mzee Lowassa n.kNgumu sana tena sana magufuli atawaangusha vibaya sana maana vyombo vyote anavyo yeye kwanza nilishaacha kupiga kura hapa tukiongelea uhalisia wa jinsi mambo yanavyoendeshwa na tume ya uchaguz hasa ngazi ya uraisi.
Binafsi nilishangaa hapa wana ujasir gani wa kumtoa magufuli kwa tume na muundo ulivyo wa upigaji kura?Mshangao mwingine ni pale mwanasheria anayeaminika kuwa nguli anataka kugombea Urais kwa mazingira yale yale. nilidhani angekomaa kupata tume huru, kumbe naye anataka kutengeneza CV kama kina Mzee Lowassa n.k
Binafsi nilishangaa hapa wana ujasir gani wa kumtoa magufuli kwa tume na muundo ulivyo wa upigaji kura?
Kweli kabisa hapa ingepiganiwa tume huru ya uchaguzi kwanza maana bila hivyo ni kichapo kikali toka kwa magufuli na ccm katiba kwanza ingepiganiwa.Kuunga mkono upinzani huu ni kama kujitoa ufahamu, hawajui wafanye nini kwa wakati gani. hili la tume huru ni ukweli mchungu ambao kuanzia mwenyekiti wao mpaka na washabiki wao hawataki kuusikia.
Hivi unapelekaje timu mahali ambapo Uwanja ni wa simba, mpira wa simba, marefa na makamisaa wote wa Simba, hivi unapataje ushindi kwa mazingara kama hayo.
Lakini kwa mwelekeo huu, jamaa bado wanataka kupeleka timu 2020
Hivi Tumaini Makene ana kazi gani huko siku hizi? Maana kila mtu ni msemaji siku hizi. Kila mtu ana sharubu huko nafikiri mtu kama Mzee Lowasa anawashangaa tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Same kwako ulikua umezamisha kichwa kwenye t**o lake alipoisema serikali leo unamkana. Kweli ninyi wafia vyama mna matatizo mnatakiwa kwenda kupimwa kama muwazima kweli ama la
faida na furaha yangu ni kuona chadema kinafutika kwenye uso wa siasa za Tanzania kwa sababu wababaishaji wengi,that's it.
Mgombea Urais wa Chadema mwaka 2015 ...Lowassa ni nani ndugu mpaka awashangae cdm? Au unadhani ni Mungu? Mshauri arudi ccm ili asiharibu heshima yake. Kama unazungumzia viongozi wa cdm na hao wa dini usitutajie Lowassa maana kaikuta cdm.