CHADEMA waingia mtegoni kirahisi, itawagharimu

MTAZAMO

JF-Expert Member
Feb 8, 2011
19,644
33,451
Wanabodi,

Kama mlivyoona reaction ya viongozi wengi wa CHADEMA kutokana na mkutano wa viongozi wa dini pale ikulu na mkuu wa nchi. Zimetumika lugha za ajabu kidogo kubeza viongozi wale kwasababu tu hawakusema waliyotaka wasikie.

Naomba nitoe tahadhari kwa CHADEMA na hasa baraza la wazee. Mnatakiwa mrudishe nidhamu ya matamko yanayoweza kukichafua chama. Acheni mashabiki na wanamtandao waseme wanayotaka lakini viongozi wa chama lazima kuwe na utaratibu wa kutoa maoni ambao utakuwa msimamo rasmi wa chama bila kwenda kinyume na sera, itakadi na katiba yake.

Mchango wa viongozi wa dini kwa upinzani na hasa CHADEMA ni mkubwa mno. Msikubali mihemuko ya baadhi ya viongozi kuwafarakanisha. Tukio kama lile la ikulu si la viongozi kukurupuka na matusi huko twita bila kwanza kukutana na kujadili na kupata azimio la pamoja ambalo lina hekima na misingi ya kuheshimu mawazo ya wengine kama CHADEMA inavyopenda kuhubiri.

CHADEMA hakuna tena nidhamu kama zamani ambapo tulipata misimamo ya chama kwa utaratibu kupitia Tumaini Makene, Katibu mkuu na viongozi wengine lakini kwa utaratibu.

Naona viongozi wa CHADEMA wasio wakristo wamekuwa na hekima kwa kukaa kimya kuheshimu viongozi wao wa imani na kuwaacha wenzao wa kikristo wakiwakosea adabu viongozi wao.

Baraza la wazee CHADEMA jadilini mrudishe nidhamu kabla hawa vijana wenye mihemuko hawajafarakanisha chama na kila taasisi.

Sasa kupitia uzi huu ndio mtajua kati ya JPM na CHADEMA nani asiyependa kukosolewa. #uhuruwamawazo #practicewhatyoupreach

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanabodi,

Kama mlivyoona reaction ya viongozi wengi wa Chadema kutokana na mkutano wa viongozi wa dini pale ikulu na mkuu wa nchi. Zimetumika lugha za ajabu kidogo kubeza viongozi wale kwasababu tu hawakusema waliyotaka wasikie.

Naomba nitoe tahadhari kwa Chadema na hasa baraza la wazee. Mnatakiwa mrudishe nidhamu ya matamko yanayoweza kukichafua chama. Acheni mashabiki na wanamtandao waseme wanayotaka lakini viongozi wa chama lazima kuwe na utaratibu wa kutoa maoni ambao utakuwa msimamo rasmi wa chama bila kwenda kinyume na sera, itakadi na katiba yake.

Mchango wa viongozi wa dini kwa upinzani na hasa Chadema ni mkubwa mno. Msikubali mihemuko ya baadhi ya viongozi kuwafarakanisha. Tukio kama lile la ikulu si la viongozi kukurupuka na matusi huko twita bila kwanza kukutana na kujadili na kupata azimio la pamoja ambalo lina hekima na misingi ya kuheshimu mawazo ya wengine kama chadema inavyopenda kuhubiri.

Chadema hakuna tena nidhamu kama zamani ambapo tulipata misimamo ya chama kwa utaratibu kupitia Tumaini Makene, Katibu mkuu na viongozi wengine lakini kwa utaratibu.

Naona viongozi wa chadema wasio wakristo wamekuwa na hekima kwa kukaa kimya kuheshimu viongozi wao wa imani na kuwaacha wenzao wa kikristo wakiwakosea adabu viongozi wao.

Baraza la wazee Chadema jadilini mrudishe nidhamu kabla hawa vijana wenye mihemuko hawajafarakanisha chama na kila taasisi.

Sasa kupitia uzi huu ndio mtajua kati ya JPM na Chadema nani asiyependa kukosolewa. #uhuruwamawazo #practicewhatyoupreach

Sent using Jamii Forums mobile app
Ulipotoka Waraka wa KKKT na TEC vijana wa CCM mliwatukana viongozi wa dini matusi ya nguoni leo mnajifanya eti wema kwao kama sio unafiki ni nini.

Subirini waraka wa pasaka utoke akili ndipo zitakapowarudi.
 
Dahhhh, unakosea, hicho chama kilishakufa, kilichobaki ni kiriba cha wapinzani fulani, yaani kakikundi ka wahuni wahuni tu fulani, kiasi kwamba sasa hata kiongozi wao mkuu hayupo basi wanashindana kutukana ili mwenye matusi makubwa na yenye kudhalilisha sana utu ndiye anaweza kushika mikoba ya uenyekiti wa kikundi.

Umeona, mijitu iliyo jaa laana walahi
Kila mti hutereza walahi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ulipotoka Waraka wa KKKT na TEC vijana wa CCM mliwatukana viongozi wa dini matusi ya nguoni leo mnajifanya eti wema kwao kama sio unafiki ni nini.

Tubirini waraka wa pasaka utoke akili ndipo zitakapowarudi.
Hao waliotukana na nyie hamna tofauti mmefanya kile kile. Alafu si kila anayewakosoa ni Lumumba Fc , mtagombana na kila mtu mkifikiri ni CCM.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sikufahamu Mrisho Gambo ni role model wenu. Endeleeni kuiga, ndio maana list of shame mkaifuta kwenye website yenu baada ya kupata definition mpya ya ufisadi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbe wakina kakobe ndo rol model wenu? Tatizo umekurupuka ulijua hao leo waliokosolewa na chadema ccm walikuwa kimya kwa hiyo ccm hawakujiharibia na kuingia kwenye huo mtego?
 
Wanabodi,

Kama mlivyoona reaction ya viongozi wengi wa Chadema kutokana na mkutano wa viongozi wa dini pale ikulu na mkuu wa nchi. Zimetumika lugha za ajabu kidogo kubeza viongozi wale kwasababu tu hawakusema waliyotaka wasikie.

Naomba nitoe tahadhari kwa Chadema na hasa baraza la wazee. Mnatakiwa mrudishe nidhamu ya matamko yanayoweza kukichafua chama. Acheni mashabiki na wanamtandao waseme wanayotaka lakini viongozi wa chama lazima kuwe na utaratibu wa kutoa maoni ambao utakuwa msimamo rasmi wa chama bila kwenda kinyume na sera, itakadi na katiba yake.

Mchango wa viongozi wa dini kwa upinzani na hasa Chadema ni mkubwa mno. Msikubali mihemuko ya baadhi ya viongozi kuwafarakanisha. Tukio kama lile la ikulu si la viongozi kukurupuka na matusi huko twita bila kwanza kukutana na kujadili na kupata azimio la pamoja ambalo lina hekima na misingi ya kuheshimu mawazo ya wengine kama chadema inavyopenda kuhubiri.

Chadema hakuna tena nidhamu kama zamani ambapo tulipata misimamo ya chama kwa utaratibu kupitia Tumaini Makene, Katibu mkuu na viongozi wengine lakini kwa utaratibu.

Naona viongozi wa chadema wasio wakristo wamekuwa na hekima kwa kukaa kimya kuheshimu viongozi wao wa imani na kuwaacha wenzao wa kikristo wakiwakosea adabu viongozi wao.

Baraza la wazee Chadema jadilini mrudishe nidhamu kabla hawa vijana wenye mihemuko hawajafarakanisha chama na kila taasisi.

Sasa kupitia uzi huu ndio mtajua kati ya JPM na Chadema nani asiyependa kukosolewa. #uhuruwamawazo #practicewhatyoupreach

Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe si ulinunuliwa pamoja na Slaa , sasa ya Chadema ya nini tena ? hangaika na ccm yenu , endeleeni kuwadhalilisha wananchi .
 
kiongozi wa dini anaenda ikulu kuzungumzia cheti cha ndoa? yule mama anazungumzia mila na desturi? mwingine anatoa mawaidha ya kiarabu.... wapumbavu wale sio viongozi wa dini ni wala ubwabwa tu.
 
Back
Top Bottom