Mbowe amepooza siasa za harakati, hatoshei tena uenyekiti CHADEMA ya kipindi hiki

Yoda

JF-Expert Member
Jul 22, 2018
37,621
46,268
Upinzani na CHADEMA bado kwa kiasi kikubwa inahitajika siasa za harakati ili kurejesha mabadiliko na mwamko mkubwa wa upinzani vilivyopotea baada ya uchaguzi wa mwaka 2020.

Kama uchaguzi wa mwaka 2020 ungekuwa sawa na uchaguzi nyingine zilizotangulia basi Mbowe angefaa sana wakati huu ila kwa sababu mwaka 2020 upinzani ulididimizwa kabisa basi kwa sasa wanahitajika viongozi machachari wa harakati kuleta joto kubwa la kisiasa kutoka upinzani.

Mbowe astaafu na kisha awe mwenyekiti wa baraza la wazee ili busara zake na utulivu wake viendelee kuwapa faida CHADEMA.

Mwenyekiti wa CHADEMA kwa sasa wanafaa watu aina ya Lissu na John Heche.
 
Mbowe akistaafu basi chadema itaungana na NNCR mageuzi kwenye kifo cga kisiasa. John heche na Tundu lissu ni wazuri zaidi wakiwa kwenye nafasi za kawaida sio nafasi kubwa kama hizo. Lissu ana hasira sana na Anahusisha zaidi hisia kuliko akili, Heche bado kidogo labda apewe Nafasi ya mnyika
 
Kwamba miaka yote hiyo bado hajaunda taasisi imara inayoweza kujiendesha bila yeye kuwepo??
 
Hiko chama tangu kina nguvu watu tulisema badilisheni utawala wa kiimla, mkawa mnatukana watu na kuwaona mamluki. Haiwezeni chama cha democracy alafu zaidi ya miaka 20 kiongozi akawa mmoja. Hiko chama kinaondoka kama ilivyokuwa kwa NRA, TLP, NCCR, CHAUMA etc maana hivyo vyote vilikuwa chini ya wafalme kama ilivyokuwa kwa CUF ya lipumba. Poleni
 
Msitupangie
 
Kwamba miaka yote hiyo bado hajaunda taasisi imara inayoweza kujiendesha bila yeye kuwepo??
Wewe mwana CCM unataka chadema iwe ya moto ili ufaidi nini. Kama imepooza ni ndo furaha ya ccm? Tatizo lenu ninyi mapimbi harakati mnazokuja nazo zinafanya mstukiwe matamanio yenu. Tunasemaje, mbowe mi5 tena!
 
Upinzani na CHADEMA bado kwa kiasi kikubwa inahitajika siasa za harakati ili kurejesha mabadiliko na mwamko mkubwa wa upinzani vilivyopotea baada ya uchaguzi wa mwaka 2020.

Kama uchaguzi wa mwaka 2020 ungekuwa sawa na uchaguzi nyingine zilizotangulia basi Mbowe angefaa sana wakati huu ila kwa sababu mwaka 2020 upinzani ulididimizwa kabisa basi kwa sasa wanahitajika viongozi machachari wa harakati kuleta joto kubwa la kisiasa kutoka upinzani.

Mbowe astaafu na kisha awe mwenyekiti wa baraza la wazee ili busara zake na utulivu wake viendelee kuwapa faida CHADEMA.

Mwenyekiti wa CHADEMA kwa sasa wanafaa watu aina ya Lissu na John Heche.
Mbowe baada ya blunder ya Lowassa hakupaswa kuwa mwenyekiti tena wa cdm. Na kama aliona shida kujiuzulu wakati ule, basi hakupaswa kugombea tena uenyekiti uchaguzi uliopita. Kuna utetezi kuwa Mbowe hahongeki, huo ni utetezi dhaifu maana alihongwa na Lowassa. Kwa Sasa analazimisha kubaki kwenye stage, lakini kiukweli muda wake umepita.

Siasa za mikiki ndio brand ya cdm, walipoteza aina ya siasa zile baada ya ujio wa Lowassa kwa kuwapumbaza eti wafanye siasa za kistaarabu. Unafanya siasa za kistaafabu wenzako wanapora uchaguzi waziwazi! Huo upuuzi ndio wameendelea kuubeba Hadi sasa eti maridhiano. Hayo maridhiano yenyewe hakuna anayeyajali.
 
Mimi sio mwanamcha wala mfuasi wa chademe Lakini ni mwana mabadiliko. Kwa kweli simuoni yoyote mwenye uwezo wakukamata nafasi ya Mbowe. Uongozi sio maneno makali tu.
 
Back
Top Bottom