CHADEMA na tishio la Tendwa kukifuta Chama kisa Maandamano/M4C

I bet anatania., kama CDM walitakiwa kufutwa wangekuwa washafutwa longtime, hapo anapima tu upepo.
Ndg. TWENDWA kama unasoma hii post, nakushauri acha kabisa hata kufikiria hiyo kitu., maana utakuwa mwsho wa kila kitu kuanzia Mkwere, baraza lake la mafisadi, CCm, NEC, wewe pia n most of it, kuna watu watakimbia hii nchi.
Unabishaaaa? jaribu uone..:hand::hand::hand:

Tendwa na mafisad wenzie wote maji yako shingoni,ujinga wa wTz ndiyo ajira yao.CDM kinavuruga kula yao.kwa hiyo wanataka kukifuta,LAKINI LAZIMA WAKUMBUKE,Tz ya leo siyo ya 95.PATACHIMBIKA

huyu msajili wa vyama vya siasa anatumika na ccm hainiingii akilini kuwa chadema wanasambaza mbegu za chuki wakati wa kujadili maslahi ya taifa kwenye mikutano yao walitaka nani aseme wanyamaze mpaka uchaguzi ujao
jamani kazi ya chama cha siasa ni nini.

kinachozikumba nchi za afrika leo hii ni watawala kutojali maslahi ya watawaliwa kwa kuwa wana dola wakitaka ccm wapendwa wakubali kuachana na mafisadi wanaowafuga ndani ya chama chao mbona jk alisema hayo dodoma kuwa ni lazima wafike pahalia pa kuwatema wale wanachama wao wanaoiharibia serikali yao iliyoko madarakani na akaweka wazi kuwa kinachowaponza ni kutegemea wafadhili ambao hukiendesha chama badala ya chama kujiendesha

rushwa iliyokithiri ni kipimo ndani ya serikali yao pamoja na uchafu mwingine wanatakiwa waukomeshe hiyo ndiyo dawa lakini kukitengenezea chadema zengwe la namana hii wanazidi kuwafumbua macho waliolala wajiulize chadema kunani wamaenoa.

watanzania wataipenda vipi ccm ya leo inayomuondoa sita kwenye uspika eti kwa kuwa anawabana mafisadi bungeni,leo serikali hii inatuchezea mchezo mchafu kuwa yule mwarabu ndiye mwenye dowans wakati ile mitambao iliingizwa nchini na richimond halafu yule mwarabu haijui richmond kivipi.

wanasema hawamjui mwenye nayo tena kwenye mikutano ya hadhara sasa nani ataipenda ccm kwa stahili ya kusafishana kwa namana hii eti leo naye lowassa anasema kuwa mishahara ya wafanyakazi sijui walimu nini vile hivi watanzania wa mwaka 95 sio wa leo.

ccm na serikali yake ikitaka suluhu na watanzania waliyoichoka ccm dawa ni kuangalia maslahi ya watanzania ni nani leo hii atakubaliaa na sababu za mabomu ya gogolamboto bila kuwajibika wakati watu wamekufa na kupata ulemavu wa maisha husseini anatesa na mashangingi jamani hata kama swahiba wako mwambie ajiuzuru kulinda heshima ya chama chake na serikali yake mbona lowassa aliachia ngazi.

ccm haiko siriasi,tena wakitaka baalaa waifute chadema ndio mwisho wao uchaguzi ujao tutashuudia mengi tuu wao ndiio wachochezi wanajua wameshapoteza mwelekeo wakiri basi, kutenda kosa sio kosa bali kurudia ndiyo kosa halafu wajirekebishe kwa vitendo.

Mzee mbona umebwabwa sana mpaka hakielewe nini ni nini hapa?Ningetarajia maelezo ya Tendwa na nini anataka kukifanya kwa hao CDM.Sasa mara hoooo Lowasa leleleee gongolamboto.Shit!

Kwa hali iliyopo ni dhahiri chadema kinaweza kufutwa na viongozi wake kuwekwa ndani kama wahaini. Ccm wametoa tamko, msajili katoa tamko. Hivyo ni dhahiri chadema haina muda duniani. Nachouliza sie wapenzi wa CDM Tuhamie chama gani baada ya hapo.

KANYASU inaonesha jinsi gani unavyochemka kwa maneno yako yasiyo na kichwa wala miguu,wapi ushahidi wa CDM kutaka kumwaga damu,acha hizo ndugu kama na wewe ni among of those "AJI YA SHINGO"tafuta suluhu nyingine ndugu.......We are not blind,we are not deef as you think......

Very true,
Binafsi asbh ya leo nimekutana na kuongea ANA KWA ANA na mh. Tendwa, na amenieleza hivi (very briefly)
• Ya kwamba chadema walishapewa ONYO toka kwa msajili juu ya nyendo za kufanya siasa.
• Ya kwamba kusiwepo na cheche zenye muamsho wa kuvunja amani.
• Kwamba...hatosita kukifuta chama hicho.
• Ameshawaita na kuwaeleza jinsi ya kufanya siasa, mwendo wao utaangukia mrama
• Anatambua kuwa inapata misaada toka Germany na mwezi uliopita wajerumani walikuwepo nchini.
• Anatambua wanapata msaada toka chama cha Republican cha USA.
• Anajijua kuwa kwa kipindi hiki anawindwa sana.
• Ameshawahi kuvifuta vyama vya siasa na hashindwi kukifuta chama hicho.
• Kuna mambo mengi akiainisha 'criminal offense' juu ya chama hicho, ila ameshawaandikia ONYO kali.
Kwa ufupi ni maongezi yangu binafsi nae mheshimiwa juu ya suala hilihili na ni ya ana kwa ana, source ni MIMI MWENYEWE MPEVU. Jana pia walikuwa TBC1 kuweka sawa mambo hayahaya.

Unajua ujinga siyo lazima uwe huelewi kuwa hapo ulipo hauko sawa,bali unaweza kuwa unaelewa kuwa hapo si sawa na ukajalibu kuwafanya watu waamini kuwa uko sawa,siamini kama mtu mzima msomi huelewi kuwa usalama wa nchi uko juu ya chaema,nani kasajili chama? nani kakwambia chadema wako juu ya sheria za nchi? unazani wakifutwa utafanya nini zaidi ya kelele na kuishia kufungwa? acha kudanganya watu chama cha siasa ambacho kipo tayali kumwaga damu ya watanzania wenzetu ili watu wawili wapate vyeo ni hatali kuliko ukimwi.TENDWA SONGA MBELE WATANZANIA WENYE HAKILI TIMAMU TUPO TUTAKUUNGA MKONO.

Muheshimiwa kama upo timamu na unafuatilia mambo yanayoendelea duniani hapa haswa afrika yetu hii na kule mashariki ya kati nasema sio rahisi hivyo kufuta CDM....kama ni kufanya majaribio wafanye lakini kile kitakachotokea mafisadi watafute malango wa kutokea. Serekali yenyewe hii inaendeshwa kwa kutegemea wahisani...hawana ubavu wa kuifuta CDM...haiwezekani na wala haaingii akilini!!!!

Tukumbuke......mwili unaweza kufa bali roho huishi milele.

Chadema (mwili) kinaweza kufutwa lakini azma ya umma (roho) ya kutaka ukombozi itaishi milele.

Infact, azma hii itahuishwa zaidi pale Chadema kitakapofutwa - kosa ambalo watawala wataja kulijutia milele!!

UDP ni chama kizuri kinaongozwa na Mzee wa kujaza watu mapesa.

Tunakibadilsha jina tu... na sisi mchezo tunaufahamu bana, wasijione wao ndio wao

Ikumbukwe kuwa serikali ina watu wake kila chama na wanafanya kazi kubwa sana WALIZOTUMWA.

Very true,

Binafsi asbh ya leo nimekutana na kuongea ANA KWA ANA na mh. Tendwa, na amenieleza hivi (very briefly)
• Ya kwamba chadema walishapewa ONYO toka kwa msajili juu ya nyendo za kufanya siasa.
• Ya kwamba kusiwepo na cheche zenye muamsho wa kuvunja amani.
• Kwamba...hatosita kukifuta chama hicho.
• Ameshawaita na kuwaeleza jinsi ya kufanya siasa, mwendo wao utaangukia mrama
• Anatambua kuwa inapata misaada toka Germany na mwezi uliopita wajerumani walikuwepo nchini.
• Anatambua wanapata msaada toka chama cha Republican cha USA.
• Anajijua kuwa kwa kipindi hiki anawindwa sana.
• Ameshawahi kuvifuta vyama vya siasa na hashindwi kukifuta chama hicho.
• Kuna mambo mengi akiainisha 'criminal offense' juu ya chama hicho, ila ameshawaandikia ONYO kali.
Kwa ufupi ni maongezi yangu binafsi nae mheshimiwa juu ya suala hilihili na ni ya ana kwa ana, source ni MIMI MWENYEWE MPEVU. Jana pia walikuwa TBC1 kuweka sawa mambo hayahaya.

Kila kitu kinawezekana. Ndiyo maana WEZI nao wanaweza kuiba. Wasichoweza tu ni kutumia UFISADI wao kufika mbinguni. Kama MUNGU aliiumba nchi hii mwenyewe, which i also believe, hawezi kuruhusu dhuluma yeyote iendelee Indefinetely. Anawatambua CCM na CHADEMA kama vyama vya siasa na siyo vinginevyo.

ONYO: Msajili, usitumike... ukitumika, utasababisha vita isiyotabirika hapa nchini. Kumbuka, kuna watu wanamaisha magumu sana kiasi kwamba, THEY HAVE NOTHING TO LOOSE KUINGIA BARABARANI....., Just a free advice.

Hakuna vita itakayokuwa mbaya kama kwa wa Tanzania wakiamua kupigania haki yao kwa nguvu. Ikumbukwe kuwa mtu mpole akikasirika, ni mbaya kuliko mwenye hasira. People should not take politeness of Tanzanians for granted.... the OPPOSITE can also be true. Just leave nature take its course. Afterall, changes are inevitable.

Kwa hali iliyopo ni dhahiri chadema kinaweza kufutwa na viongozi wake kuwekwa ndani kama wahaini. Ccm wametoa tamko, msajili katoa tamko. Hivyo ni dhahiri chadema haina muda duniani. Nachouliza sie wapenzi wa CDM Tuhamie chama gani baada ya hapo.

Wanajidanganya kufuta CDM sio kufuta kicho kwenye akili za WATANZANIA kwa hivi sasa watakuwa wamechemka mbaya

jana aliniudhi sana...ila nilipenda yule kiongozi wa chadema alivyomjibu

huyu tendwa na chiligati ni watu wa ajabu sana

We acha hizo nao wanaakili hawatadhubutu kwani Jay wa K anajua hatukumchagua na waTZ wameamka hawatakifuta na wakijaribu utaona waTZ wa 2010 - 2015 wakoje. Wee juzi January sukari 1kg Tsh.1400/= sasa Tsh.2000/= Sembe 1kg. Tsh.400 sasa Tsh.600 halafu wale wanaosema ukweli wafutwe Mtanzania gani atakubali na kukaa kimyaa??? Labda matajiri wa CCM nao ni wachache mnoooooooo!

Back
Top Bottom