CHADEMA na tishio la Tendwa kukifuta Chama kisa Maandamano/M4C

RealMan

JF-Expert Member
Nov 9, 2010
2,367
1,388
That's treasonable, Tendwa tells Chadema

THE Registrar of Political Parties, Mr John Tendwa, has described last week's move by Chadema to issue an ultimatum to President Jakaya Kikwete as seditious and warned the party against provocative statements during public rallies.

"Such inflammatory statement could be nothing short of a treasonable offence," said Mr Tendwa in an interview with the 'Daily News' on Sunday.

"In a country that abides by the rule of law we don't go by issuing ultimatum to the government because that would be contrary to the constitution which is the supreme law.

"There are procedures and regulations to be observed in case anything crops up for dialogue in the interest of the entire nation," added the Registrar.

He, however, declined to go into details promising to make a comprehensive statement tomorrow (Tuesday) regarding what has been referred to as seditious statements by Chadema leaders currently staging demonstrations in the Lake zone pressing for government's action on inflation.

Rising commodity prices like sugar, rice, beans and flour due to increased fuel prices and power rationing likely to affect the country's economic performance
are among the agenda in demonstrations by Chadema.

A section of the media recently reported that the opposition party requested President Kikwete to explain how the nation would get out of the suffering and gave him a seven-day ultimatum to respond.

Commenting on the situation, an activist from Legal and Human Rights Centre who preferred anonymity said it was not proper for political parties to issue ultimatum to the head of state.

"Politicians and the nation at large should take the challenges as a test for proper thinking while drafting a new constitution to make sure that such hitches were addressed amicably.

"Since our justice administration has not failed,
ultimatum is not proper," the activist said.

Referring to the country's culture of tolerance, the activist said the time left before the adoption of a new constitution was much shorter than 50 years since independence that the nation waited for positive changes to be made in the constitution.

He said too
much concentration of power in few hands, the situation which does not exist in Tanzania, led to mob action in some countries in North of Africa where people have chosen their own way of ousting their long serving leaders.

"The situation is different in Tanzania and no one would dream of such a situation to happen as room for dialogue is still wide open," he observed.

Source: Daily News 28th Feb

Mawazo Yangu:

1. Tendwa anapatwa kiwewe sijui, kwa nini serikali yenyewe isije na madai hayo.
2. Rais kuruhusu hali ya nchi na wananchi kuwa duni linapaswa kuwa swala lenye hadhi ya uhaini.
3. Hili swala la kumpa mtu madaraka kisha mkitaka kumwajibisha unakuwa uhaini ni sheria iliyotakiwa kufa na mwasisi wake.
4. Hapo kwenye red huyo mwanaharakati wa LHRC inaonekana katiba anaisoma juu chini.
 
Na hapo ni kama huyo Mwanaharakati ameisoma. Anaogopa nini kutajwa jina kama anaamini anachokisema?
 
hajawahi kuwa na point tendwa, ni mtu wa kuomba samahani ni akishakurupuka
 
Wazo kama hili kalileta jk kwenye thread yake ,inaonekana alimsikia Tendwa pia,.....lakini watu kwa kuwa wanajua "jeykey" ni anti-chadema basi wana mtukana pasipo kujadili hoja
 
siku zote huwa nasema Tendwa ni mwanachama mwaminifu wa ccm, japo anajifanya yuko balanced, ni kimeo kabisa huyu mzee. kwa hakika anastahili kutolewa pale, kawekwa kwa maslahi ya chama kuliko ya taifa. siku zote amekuwa msemaji wa ccm kama vile yeye ni Tambwe Hiza au makamba. sipendi kabisa mwenendo wa kazee haka hakatufai kabisa
 
Under the same Constitution of Tanzania which Mr. Tendwa cites, who is responsible for claiming a certain act is an act of treason?
 
Sidhani kama alilifikiria hili kabla hajasema.

Ndiyo tatizo la viongozi wetu. Wana tenda kwanza kisha ndiyo wafikirie kama vile polisi wanavyo pinga wananchi kisha ndiyo waulize maswali.
Mtu hatuambii ibara ipi ya katiba imevunjwa ila ana sema tu katiba ime vunjwa?
 
Tendwa mwanangu unamwaga petrol kwenye Moto unao sambaa nyikaniii!
Umechelewa mwana.
HATUDANGANYIKI!
 
Source: Daily News 28th Feb

Mawazo Yangu:

1. Tendwa anapatwa kiwewe sijui, kwa nini serikali yenyewe isije na madai hayo.
2. Rais kuruhusu hali ya nchi na wananchi kuwa duni linapaswa kuwa swala lenye hadhi ya uhaini.
3. Hili swala la kumpa mtu madaraka kisha mkitaka kumwajibisha unakuwa uhaini ni sheria iliyotakiwa kufa na mwasisi wake.
4. Hapo kwenye red huyo mwanaharakati wa LHRC inaonekana katiba anaisoma juu chini.

kuna source mbadala?
 
Kwamba mwanaharakati wa LHRC alisema jambo na kukataa jina lake kutajwa? Naamini ni uongo mkubwa kuliko ule wa Pinda bungeni kuhusu issue za arusha. Sijamuona mwanaharaka wa LHRC muoga hivyo na aliyepwaya hivyo.
 
Rising commodity prices like sugar, rice, beans and flour due to increased fuel prices and power rationing likely to affect the country's economic performance
are among the agenda in demonstrations by Chadema.

A section of the media recently reported that the opposition party requested President Kikwete to explain how the nation would get out of the suffering and gave him a seven-day ultimatum to respond.

Commenting on the situation, an
activist from Legal and Human Rights Centre who preferred anonymity said it was not proper for political parties to issue ultimatum to the head of state.

"Politicians and the nation at large should take the challenges as a test for proper thinking while drafting a new constitution to make sure that such hitches were addressed amicably.

"Since our justice administration has not failed,
ultimatum is not proper," the activist said.

Referring to the country's culture of tolerance, the activist said the time left before the adoption of a new constitution was much shorter than 50 years since independence that the nation waited for positive changes to be made in the constitution.

He said too
much concentration of power in few hands, the situation which does not exist in Tanzania, led to mob action in some countries in North of Africa where people have chosen their own way of ousting their long serving leaders.

"The situation is different in Tanzania and no one would dream of such a situation to happen as room for dialogue is still wide open," he observed.

Source: Daily News 28th Feb

Nimepapenda hapo kwenye red, activist tena kutoka LHRC ataki atajwe jina???, ufanywe utafiti labda daily news wamekutana na mfagizi wa LHRC.
 
Nimeshangaa sana kauli hii kutoka kwa Tendwa kuchelewa namna hii, biliv me or not isingekuwa hii homa ya maandamano Egypt, Tunisia na sasa Libya ungewasikia woote akina Werema, Makamba, Tambwe singing the same tune!

These guys are just out of time, Out of touch na Hawarekebishiki wala kujirekebisha! wamegota hawajui kinachoendelea wala wanachofanya wao ni kumfurahisha JK tu!
 
hapa kuna watu wanogopa yaliyotokeatunisia ,misri and libya yasije tokea tu kwenye nchi za ukanda wa africa na ikianza moja z things will fall apart
 
Back
Top Bottom