CHADEMA kutoa tamko rasmi kuhusu mauaji ya raia ARUSHA.

BARKMEI

Member
Dec 20, 2010
29
1
Mwenyekiti wa chama cha demokrasia na maendeleo CHADEMA asema chama kinatarajia kutoa tamko rasmi la kulaani mauaji ya raia yaliyofanywa na jeshi la polisi katika maandamano ya chama hicho mkoani ARUSHA.
Pia amewataka wanaARUSHA kujitokeza kwa wingi katika viwanja vya NMC kuaga miili ya marehemu hao na kutoa rambirambi kwa familia za wafiwa.
 
Katika suala la maisha ya watu tusifanye mzaha, tamko litasaidia nini kwa familia za ndugu zetu waliopoteza maisha?. Please don't play old style politics in this age of humankind. You CDM and the police all have a role in the deaths of those who lost their lives thinking they are fighting for the good future of the nation only to find that they have been manipulated by politicians to fight for the political gain of those who sent them!. I hate politicians! Yes I hate you politicians!!!
 
Back
Top Bottom