SAGAI GALGANO
JF-Expert Member
- Nov 13, 2009
- 43,707
- 60,766
Kada kiherehere wa CCM Lucas Mwashambwa umeonyesha roho ya kishetani kutumia kisiasa msiba uliotokana na ajali mbaya kabisa kule Arusha. Chadema walishapanga maandamano yao kufanyika kesho tarehe 27/02/2024 na wamepata vibali vyote husika.
Chadema wamekuwa wa kwanza kutoa salamu za rambi kwa wafiwa. Lucas mwashambwa kwa unafiki na roho mbaya ya uchonganishi umetoa lawama kwa Chadema kana kwamba wao ndiyo wamesababisha ajali iliyopoka uhai wa ndugu zetu hao 25.
Lucas umeonyesha kuwa huna utu kwa kutumia msiba huu kuiumiza Chadema na kukinufaisha chama chako. Ni unyama ulioje kutumia msiba huu mkubwa kisiasa. Lucas mwashambwa wewe ni hayawani uliyekosa chembe ya utu. Hivi unataka kusema shughuli zooote hapo Arusha zitasimama kwa ajili kuaga marehemu waliokufa kwenye ajali hiyo?
Nilishakuonya kuwa hiki kiherehere chako cha kujifanya unaijua saaana CCM na Serikali na kutaka kila jambo uwe ndiye msemaji kitakutia matatani. Hata hiyo mamlaka ya uteuzi imeshakudharau sana.