nice 2
JF-Expert Member
- Aug 10, 2011
- 747
- 520
Ni majuzitu tulimskia Mbowe akiwaonya CCM bungeni kwamba watashinda ndani ya bunge kwawingi wao wa idadi, lakini CHADEMA itashindana nje.
Nakumbuka pia kutoa comment hii baada ya hoja ya mkonge kupigwa chini kisiasana wabunge wa CCM
[/QUOTE]
Naona moja kati ya mawili kweli yanatokea, ila walichonifurahisha CHADEMA nijinsi walivyolichukulia suala hili kwa uharaka... amaa kweli hawana muda wakupoteza.
Nakumbuka pia kutoa comment hii baada ya hoja ya mkonge kupigwa chini kisiasana wabunge wa CCM
[/QUOTE]
CCM wameona hoja ya Zittoikipita CHADEMA watajipatia umaarufu na kupenyeza mikoa kama vile ya Tanga.Lakini hoja hii teyari imewaweka pabaya na 1 kati ya haya mawili yanawezakutokea:
1. Serikali inaweza kufanyia kazi hoja ya Zitto kwa kuunda kweli kamatiiliyosemwa na kufanya tathmini ya mashamba ya mkonge na kutoa mapendekezo yakufufua mashamba na hapa wakitekeleza kwa kujidai kwamba wamefanya wao kama waona sio kwa mapendekezo ya Zitto ili waendelee kujisifu uko majimboniwanapohofia.
2. Wasipofanyia kazi hoja hiyo, basi CHADEMAwataitumia kama nyundo katika mikoa husika wakati wa campaign 2015, na hiiitawakaanga vibaya CCM.
Inasikitisha sana kuona Serikali inawekamaslahi ya chama mbele kuliko maendeleo ya nchi. Tungepunguza tatizo la ajirana kujipatia fedha nyingi za kigeni na kusaidia hali yetu ya uchumi
Naona moja kati ya mawili kweli yanatokea, ila walichonifurahisha CHADEMA nijinsi walivyolichukulia suala hili kwa uharaka... amaa kweli hawana muda wakupoteza.