Makonda kuunguruma leo Mkoani Pwani

Nigrastratatract nerve

JF-Expert Member
Sep 4, 2019
1,396
3,901
Katibu wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo, Paul Makonda, anatarajiwa kuhutubia maelfu ya wananchi katika Wilaya ya Bagamoyo Mkoa wa Pwani, katika siku yake ya kwanza ya ziara ya siku 30 kwenye mikoa 20.

Pia, Makonda anatarajiwa kufanya vikao na viongozi mbalimbali wa kamati za utekelezaji wa Wilaya na Mkoa,ikiwa ni sehemu ya kuendelea kuimarisha Chama.

Aidha, atasikiliza kero za wananchi mbalimbali kupitia mikutano atakayo inafanya katika ziara hiyo katika Mikoa ya Pwani, Arusha, Kilimanjaro, Tanga, Singida, Manyara, Tabora, Shinyanga na Simiyu.

#VitendoVinaSauti
#CCMImara
#Kaziinaendelea
 
Back
Top Bottom