kiongozi nimekupa like tayari, ila mdogo wetu Nape atakapomaliza kuyasoma hayo uliyoandika, pale juu mashaka yatalindima akilini mwake, ni bahati mbaya huyu bwana hajiulizi maswali, yuko wapi TAMBWE? yuko wapi makamba? yuko wapi mangula? wapiga kelele wote out, tazama wanaofaidi ni walewale, Picha ndiyo inaanza.... watazamaji kaeni kimya
Hawathubutu,tusubiri kuwafikisha kwenye mkono wa sheria maana wao wako madarakani na mfumo wetu jinsi ulivyo,tunashindwa kuwawajibisha kama inavyotakiwa.Ndo maana unaona kesi za mahakamani zinamalizwa kisiasa,na ndiyo maana rais wa nchi anathubutu kuja na kusema hakukuwepo na rushwa kwenye issue ya radar.Ndo maana hata aliyekuwa mwanasheria mkuu alisema pesa za rushwa I million dollars ni vijisenti kama ukilinganisha na zile ambazo wenzake wanazo.Na huo ndo ukweli kwasababu keshasafishwa na mkuu wa nchi,pengine mkuu huyo akiogopa asije mwaga mboga.Ufisadi unalindwa na ofisi ya juu kabisa nchini.Hayo mengine yote ni mazingaombwe tu,hakuna aliyewajibika na hakuna atakayewajibishwa kama wataendelea kuwepo madarakani.
Marafiki zetu wakubwa ni chama cha david cameroon wa uingereza.[/QUOTE
Naona umetoroka mzee kwenye mgomo wa sensa. Kukosa shule ni jambo baya sana. Ungepata japo shule ya form two kamwe usingekuwa unatoka povu hapa kuandika uozo.
Chadema bana kila siku wanalalamika hakuna haki mahakamani na amna imani na mahakimu na majaji sasa huyo Nape mtampeleka mahakama gani...
Kumbe mkuki ni kwa nguruwe tu ee?mbona mnyika na chadema wote kila siku wanazusha,wanaongea uongo,wanawapotosha wananchi au ndio ile nyani haoni kundule?
Kumbe mkuki ni kwa nguruwe tu ee?mbona mnyika na chadema wote kila siku wanazusha,wanaongea uongo,wanawapotosha wananchi au ndio ile nyani haoni kundule?
ivi mnyika walimalizanaje na mwigulu,alimlipa fidia au alimwomba radhi.
Kumbe mkuki ni kwa nguruwe tu ee?mbona mnyika na chadema wote kila siku wanazusha,wanaongea uongo,wanawapotosha wananchi au ndio ile nyani haoni kundule?
Kumbe mkuki ni kwa nguruwe tu ee?mbona mnyika na chadema wote kila siku wanazusha,wanaongea uongo,wanawapotosha wananchi au ndio ile nyani haoni kundule?
Kumbe mkuki ni kwa nguruwe tu ee?mbona mnyika na chadema wote kila siku wanazusha,wanaongea uongo,wanawapotosha wananchi au ndio ile nyani haoni kundule?
Ningepata bahati ningeshauri CDM waachane na mambo haya.kama kasema uwongo au kweli hatua ya kwenda mahakamani itamuinua Nape na CCM yake.hii ni siasa tu hapa CCM wanawatafuta tu CDM waingie mkenge,ingekua wakati wa kampeni ingesaidia lakini hizi ni porojo hata CDM wanazo kama vile tukisema CCM wanaingiza silaha n.k
Chama cha Siasa kupokea pesa chafu toka nje ya nchi -- unaita hi ni propaganda tu, hujui ina madhara makubwa kwa umma? nani atakipa chama ambacho kinapokea pesa toka nje ili wapate madaraka? kwa hili CDM move on kijana lazima atoe ushahidi - matamshi kama haya ni hatari kwa taifa na chama kuwa ujumla.Ningepata bahati ningeshauri CDM waachane na mambo haya.kama kasema uwongo au kweli hatua ya kwenda mahakamani itamuinua Nape na CCM yake.hii ni siasa tu hapa CCM wanawatafuta tu CDM waingie mkenge,ingekua wakati wa kampeni ingesaidia lakini hizi ni porojo hata CDM wanazo kama vile tukisema CCM wanaingiza silaha n.k
acha matusi basi mkuu,muwe wavumilivu na kujirekebisha mnapokosolewa.kwanini mlienda kuua kijana wa watu kule iramba.mungu hapendi mwambieni kitila na mnyika watubu kwa baba askofu hiyo dhambi ni kubwa sana