Chadema kumfikisha mahakamani Nape Nnauye

Hivi zile siku saba alizopewa dr slaa na riziwani jk baada ya kuhoji utajiri wa kutisha alionao bado hazijatimia?.

Riz 1 si anasubiri pingu 2016 baada ya rais wetu mpendwa dr slaa kuingia ikulu 2015
 
Kama Tatizo ni bilioni tatu, si mseme tu tuwachangie, Siasa ni nguvu ya hoja siyo hoja za nguvu, kama mnataka michango si mseme tu, tunajua chama cha watembeza bakuri la ombaomba. Mwenyekiti Matonya.

siasa sio uzushi,unatakiwa uwe na facts siyo kuropoka ropoka,shame on you
 
masikini nepi umeyakoroga jiandae kuyanywa tumekupa mtihani ututajie aliyeiba fedha ya rada umeshindwa wakati hili lilikuwa dhahir unakurupukia yasiyokuhusu kwa hili baba utoki si unajua ushahidi wa kielectronic hauna chenga? waulize yaliyowakuta wenzako kule igunga haki ya mungu utoki ukitoka mahakama itakuwa imeoza kudadadeki!
 
Hivi zile siku saba alizopewa dr slaa na riziwani jk baada ya kuhoji utajiri wa kutisha alionao bado hazijatimia?.
babu alimjibu unachelewa kwenda mahakamani kwanza wewe ni mtoto mdogo baba yako nilimtaja pale muembe yanga kwenye list of shame naye alihaidi kunipeleka mahakamani akashindwa kijana unapoteza muda wahi mahakamani haraka nikakupasue dogo akapata ushauri kutoka kwa dingi yake aachane na dr ya kwamba atakumaliza akaamua kuingia mitini kimyakimya kwa sisi wazee wa mujini tunasema kisu kiligonga mfupa!
 
Nape wadau kazidi nitamfananisha na subuffer kama alivyokuwa makamba mzee lakini leo wenye ccm yao kina kikwete, makamba kapigwa kibuti kimya kama maji mtungini, huyu nape kibaraka wa bwana mkubwa atafikia ccm lungu ritashikwa na mwingine nape atabaki mdomo wazi, kwa sasa anajenga na kuongeza maadau kupitia mgongo wa mtu just imagine lowasa leo rais nape siatatamani kuhama nchi hii,,,, ccm inawenyewe cyo huyo nape, namufananisha na kipaza sauti tu huyu bwana mdogo wangu..
 
na ile jinai iliyofunguliwa dhidi yake ya mauaji????

bahati mbaya san mimi sio msajili wa mahakama kuu ila kama upo interested iulize mahakama kuu kesi ya mnyika ya mauaji imefikia wapi? kuua waue vijana wa Mwigulu uje useme Mnyika shame on you magambas! subiri 2015 tutanyorosha nyie wote!!
 
This time haponi mtu! Lazima mojawapo ya hayo mawili Nepi Naye ayafanye. Kuomba radhi na kulipa fidia ya 3 Bilioni Tshs. au akatae na apelekwe kwa Pilato.

Namshauri afadhali aombe radhi na alipe hizo 3B kwa vile asipofanya hivo na akapelekwa kwa Pilato moto utakuwa mbaya sana kwake na kwa chama chake! Nepi anajua jinsi CHADEMA ilivyo na wanasheria kiboko! Maana asije akakutana na kijana Tundu Lissu au Professor Safari kule Mahakamani atajuta kuingia kwenye sihasa na kuropokaropoka kama mlevi wa boha.

Nawashauri uongozi wa CHADEMA usilegeze kamba katika hali. Lazima CCM washikishwe adabu ili wawe wanapima maneno ya kuongea kwa kituo siyo mtu anapayuka kama katoka kula madawa ya kulewa!
 
akihojiwa katika kipindi cha makutano kinachurushwa hewan na magic fm nape ameelezea kushangazwa na chadema kushindwa kutekeleza kaahadi kadogo walichoahid cha kumburuza mahakaman baada kutoa kauli yake kwamba cdm kinapokea mabilion kutoka nje.
 
akihojiwa katika kipindi cha makutano kinachurushwa hewan na magic fm nape ameelezea kushangazwa na chadema kushindwa kutekeleza kaahadi kadogo walichoahid cha kumburuza mahakaman baada kutoa kauli yake kwamba cdm kinapokea mabilion kutoka nje.

Kama anataka kwenda mahakani si aende tu mwenyewe kwani ni lazima aburuzwe?
 
Watekeleze jamani ahadi hiyo murua, if there's someone I want to see going down and for no apparent reason...maybe ama just irked by their remarks

1.Nape
2.J Slaa
3.Makamba jnr
4.Lema Godbless
 
Nape Nnauye amesema hadi sasa anadhani CDM bado hawajaenda mahakani kwa sababu bado hajaitwa, akiongea katika makutano show ya fina mango Nape amekishangaa CHADEMA kwa kusuasua kwenda mahakamani kama walivyoahidi, amesema walimpa siku saba na yeye akawajibu baada ya siku moja kwamba siku saba ni nyingi sana, wawahi tu mahakamani kabla ya hizo siku saba sasa haelewi kwa nini CHADEMA wanapata kigugumizi.

Amesema hata wakijifanya wanafumbia macho bado atawaumbua tu, anatamani apeleke ushahidi mahakamani lakini kama CDM wanaogopa kwenda huko mahakamani (kama walivyoahidi) basi yeye atakua hana la kufanya isipokuwa kuanika ushahidi wake kwa wananchi!
 
hv huyu jamaa c naye alisema anawaburuza cdm mahakamani sasa kama wanalate kwanini asitangulie yeye ili apate credit ?
 
Back
Top Bottom