Hizi ndizo sababu Watanzania hawatoshiriki maandamano ya CHADEMA

kimsboy

JF-Expert Member
Oct 17, 2016
8,992
17,892
Ukweli ni kuwa hakuna mtanzania mwenye akili timamu atashiriki maandamano ya Chadema tarehe 24

Kwanza hayo sio maandamano ya kumsaidia mtanzania bali ni maandamano ili viongozi wa Chadema waweze kupata tume waingie bungeni wakalambe asali.

Chadema uongozi wamekua wabinafsi sana, wamekua wakifikiria matumbo yao tu na kujijali wao tu kwa mfano

Sukari ilivyopanda Chadema Kimya

Nauli zimepandishwa kiholela na kihuni Chadema kimya

Mfumuko wa bei wa kutisha...Chadema kimya...

Matozo na makodi ya kidhulma...Chadema kimya.

Umeme na migao....Chadema kimya

Chadema matatizo ya wananchi wanayapuuza, wakati wapinzania wanaojielewa huko duniani wakifanya maandamano ya umma kupinga vitu kupanda bei, mfumuko wa bei, ughali wa maisha, tozo nk chadema wao wanawaza kuwaingiza wananchi barabarani kwa ajili ya uchaguzi ambao ni faida yao wenyewe

Mimi sio ccm wala nini ila Chadema mmechemka!! Kwa matatizo watanzania waliyo nayo, kwa jinsi Utawala wa Samia ulivyofanya wananchi kuteseka ingekua ni sababu tosha ya chadema kugain popularity na kuwin mioyo ya Wananchi, mmeshindwa kutumia udhaifu wa awamu hii isiyo jali mnadandia mambo ya hovyo tu?

Mmewatelekeza wananchi mkawaachia shida na mateso na maskioni mmekaa kama mmejitia pamba hamuoni shida za watz halaf mnataka sapoti ya umma ili tume inyooke muingizwe bungeni mkalambe asali?

Kwanini matatizo na mateso yote hadi mabando mfumuko, tozo , nauli kupanda,mafuta,hatukuona mkiorganize maandamano?kwanini matatizo ya wananchi hatuoni mkipanga maandamano lakini ishu za kuwapa ulaji mfano uchaguzi ndo mnatukurupua tuandamane na nyie?

Nawaapia hakuna mtanzania mwenye akili ataandamana na nyie tarehe 24, hata wale covid-19 imekuja kugundulika wana go ahead na greenlight ya mbowe msituzuge bwana.

Mimi siipendi hii serikali naichukia kufa lakini siwezi kuandamana tarehe 24 nikatetee watu wakalambe asali bungeni!!
 
Kwanza hayo sio maandamano ya kumsaidia mtanzania bali ni maandamano ili viongozi wa Chadema waweze kupata tume waingie bungeni wakalambe asali...
Ila CCM mang'ombe kweli. Yaani vitu vinapanda bei, sukari, nauli, matozo ya ovyo, wizi wa kura, nk
Hàlafu mnasubiri nyumbu waandamane. Pumbavu sana mang'ombe.
 
Ukweli ni kuwa hakuna mtanzania mwenye akili timamu atashiriki maandamano ya Chadema tarehe 24

Kwanza hayo sio maandamano ya kumsaidia mtanzania bali ni maandamano ili viongozi wa Chadema waweze kupata tume waingie bungeni wakalambe asali...
Kama Watanzania wenyewe kwa hiyari yao wameamua kukalia kimya hayo matatizo ya umeme na ugumu wa maisha, Chadema ni nani mpaka iwasemee ?
 
Eti watu wanaandamana kwa ajili ya matumbo ya Chadema na Mbowe, Hivi vyama vya ovyo inatakiwa vipoteane tuanzishe chama kipya Cha upinzani
 
KWAKWELI CHADEMA WANAFELI SANA WANGEKUA NA NIA YA DHATI HUU WAKATI NDIO ULIKUA WA KUSUMBUA ZAIDI WATANZANIA WENGI NOW HAWANA MATUMAINI NA SERIKARI NA CHAMA TAWALA INGEKUA NI WAKATI WA CHADEMA KUUNGANA NA WANANCHI KUCHUKUA ILE NGUVU YA ATA KUYAFANYA WANAYOTAKA KUYAFANYA ILA NDIO IVO WAPO KWAAJILI YA PESA NA FAMILIA ZAO CHA AJABU NAWO NDIO WAMEKUA WANAIMANI NA SELIKALI KULIKO ATA SIYE WANANCHI SHAME
 
Ukweli ni kuwa hakuna mtanzania mwenye akili timamu atashiriki maandamano ya Chadema tarehe 24

Kwanza hayo sio maandamano ya kumsaidia mtanzania bali ni maandamano ili viongozi wa Chadema waweze kupata tume waingie bungeni wakalambe asali.

Chadema uongozi wamekua wabinafsi sana, wamekua wakifikiria matumbo yao tu na kujijali wao tu kwa mfano

Sukari ilivyopanda Chadema Kimya

Nauli zimepandishwa kiholela na kihuni Chadema kimya

Mfumuko wa bei wa kutisha...Chadema kimya...

Matozo na makodi ya kidhulma...Chadema kimya.

Umeme na migao....Chadema kimya

Chadema matatizo ya wananchi wanayapuuza, wakati wapinzania wanaojielewa huko duniani wakifanya maandamano ya umma kupinga vitu kupanda bei, mfumuko wa bei, ughali wa maisha, tozo nk chadema wao wanawaza kuwaingiza wananchi barabarani kwa ajili ya uchaguzi ambao ni faida yao wenyewe

Mimi sio ccm wala nini ila Chadema mmechemka!! Kwa matatizo watanzania waliyo nayo, kwa jinsi Utawala wa Samia ulivyofanya wananchi kuteseka ingekua ni sababu tosha ya chadema kugain popularity na kuwin mioyo ya Wananchi, mmeshindwa kutumia udhaifu wa awamu hii isiyo jali mnadandia mambo ya hovyo tu?

Mmewatelekeza wananchi mkawaachia shida na mateso na maskioni mmekaa kama mmejitia pamba hamuoni shida za watz halaf mnataka sapoti ya umma ili tume inyooke muingizwe bungeni mkalambe asali?

Kwanini matatizo na mateso yote hadi mabando mfumuko, tozo , nauli kupanda,mafuta,hatukuona mkiorganize maandamano?kwanini matatizo ya wananchi hatuoni mkipanga maandamano lakini ishu za kuwapa ulaji mfano uchaguzi ndo mnatukurupua tuandamane na nyie?

Nawaapia hakuna mtanzania mwenye akili ataandamana na nyie tarehe 24, hata wale covid-19 imekuja kugundulika wana go ahead na greenlight ya mbowe msituzuge bwana.

Mimi siipendi hii serikali naichukia kufa lakini siwezi kuandamana tarehe 24 nikatetee watu wakalambe asali bungeni!!
Kuna mtu kweli masika hii aache kazi zake aende kuandamania Machadema? Labda kama ana degree ya utaahira
 
Kuna mtu nilikwambia hivyohivyo akaishia kunishutumu Mimi CCM Ila ukweli kitendo cha Chadema kukaa kimya kuongelea Mambo yanayomgusa mwananchi moja kwa moja halafu yanakuja Mambo ya uchaguzi ndio wanataka kuandamana ni ujinga mkubwa na kuonyesha Kama chama bado hawajakomaa, pia huenda ndani ya chama Kuna mapandikizi ya CCM.
 
Umeongea vitu vya msingi ila wapumbavu hawata kuelewa.
Halafu nimesikia wanadai kila jimbo liwe na wabunge wawili. Mwanamume na Mwanamke. Halafu wanataka watu wakaandamane kwaajili ya hilo?!
 
Back
Top Bottom