Chadema kumfikisha mahakamani Nape Nnauye

Wewe na Dr Slaa nani mwenye Chadema? Dr Slaa kaishasema hawezi kukubali kuhojiwa na Polisi wala kufungua kesi mahakamani wao kama Chadema hawana imani na polisi wala mahakama...Tundu Lissu naye akamalizia kwa kusema Majaji hawana uwezo huo ndio msimamo wa Chadema.

Mkuu vipi umeshahesabiwa?
 
Chadema bana kila siku wanalalamika hakuna haki mahakamani na amna imani na mahakimu na majaji sasa huyo Nape mtampeleka mahakama gani...

Mahakama inatenda haki mkuu.Huoni kesi ya Igunga? Sema baadhi ya majaji ni vibaraka wa Magamba na tutawanyofoa mmojammoja kama Tundu Lissu alivyowavua nguo.
Kuhusu Nape CDM kitahakikisha anafungwa!
 
Hilo muulize mwigulu kwa nini hakwenda mahakamani. CDM will never copy & paste mambo za mwigulu. Chupi ya Nape inagonga kinyesi, msaidie maana unaonekana una dalili za u-gamba

acha matusi basi mkuu,muwe wavumilivu na kujirekebisha mnapokosolewa.kwanini mlienda kuua kijana wa watu kule iramba.mungu hapendi mwambieni kitila na mnyika watubu kwa baba askofu hiyo dhambi ni kubwa sana
 
Hilo muulize mwigulu kwa nini hakwenda mahakamani. CDM will never copy & paste mambo za mwigulu. Chupi ya Nape inagonga kinyesi, msaidie maana unaonekana una dalili za u-gamba

kweli nyie mnaongozwa na disko joker.dhambi ya kupora wake za watu inawatafuna hadi mkatubu
 
Kumbe mkuki ni kwa nguruwe tu ee?mbona mnyika na chadema wote kila siku wanazusha,wanaongea uongo,wanawapotosha wananchi au ndio ile nyani haoni kundule?

Anzeni kuwaambia chadema na wao waombe msamaha kwa kuwataja list of shame na kashfa nyinginezo,na nyie fanyeni the same ili wakikataa kuomba msamaha basi muwapeleke mahakamani mudai ushahidi kama cdm wanavyopanga kufanya kwa "napkin".Samahani,napkin hutumika,kujifutia,kupenga makamasi nk.
 
Wewe na Dr Slaa nani mwenye Chadema? Dr Slaa kaishasema hawezi kukubali kuhojiwa na Polisi wala kufungua kesi mahakamani wao kama Chadema hawana imani na polisi wala mahakama...Tundu Lissu naye akamalizia kwa kusema Majaji hawana uwezo huo ndio msimamo wa Chadema.

Alishawataja kwa majina.
 
Hii ni move nzuri sana,wananchi unadhani hawatajiuliza mbona kina Nape huwa hawaulizi ushahidi pale chama chao kinapotajwa? ama kuwapeleka mahakamani kama ni kweli wanapakiziwa ufisadi na kuhujumu maslahi ya Taifa?
This is how the politics should go now,ili wananchi wajuwe mko serious mnaposema hayo mambo.
 
Anzeni kuwaambia chadema na wao waombe msamaha kwa kuwataja list of shame na kashfa nyinginezo,na nyie fanyeni the same ili wakikataa kuomba msamaha basi muwapeleke mahakamani mudai ushahidi kama cdm wanavyopanga kufanya kwa "napkin".Samahani,napkin hutumika,kujifutia,kupenga makamasi nk.

Mkuu

Naomba kufahamishwa mimi siijuwi sio mtaalam wa sheria.

Hivi mambo ya bungeni pale mjengoni huruhusiwa kuhojiwa mahakani?
 
mbona mnyika alibanwa na mwigulu akashindwa kuongea
We ulitaka aongeeje? Kwa kubweka kama unavyobweka hapa au? JJMnyika aliwasilisha ushahidi wake kwa spika then spika akaukalia! We ulitaka aongee nini tena? U deserve nothing rather than solitary confinement! After this confinment then u wil think as a reputable human being!!
 
Mkuu

Naomba kufahamishwa mimi siijuwi sio mtaalam wa sheria.

Hivi mambo ya bungeni pale mjengoni huruhusiwa kuhojiwa mahakani?
Sijakuelewa unaposema "mambo",je unamaanisha issue za ufisadi zilizojadiliwa bungeni?if so,then sidhani kama kuna crime iko juu ya sheria no matter wapi imefanyika ama hata imejulikana kwa kupitia bunge.Sheria ni msumeno unaokata pande zote.
 
Good news, kumnizamisha mropokaji nifunzo kwake na mwingine yeyote anayefikiria kuropoka. CDM wanaonyesha umakini wa hali ya juu kutonyamaza na kuonyesha nia ya kumshitaki.
 
Sijakuelewa unaposema "mambo",je unamaanisha issue za ufisadi zilizojadiliwa bungeni?if so,then sidhani kama kuna crime iko juu ya sheria no matter wapi imefanyika ama hata imejulikana kwa kupitia bunge.Sheria ni msumeno unaokata pande zote.

Nimekuelewa mkuu

Ngoja tuwasubili chama chetu cha mafisadi (ccm) kufungua kesi ya kudai hayo majina, naamini watajivua chupi kabisa badala ya suruali kepeke yake.
 
Naomba chadema kwenye hili msirudi nyuma,kama tulivyowanyoa IGUNGA utumike wembe uleule!

Mtajuuuuuuuuuta kutufaham!
 
Kumbe mkuki ni kwa nguruwe tu ee?mbona mnyika na chadema wote kila siku wanazusha,wanaongea uongo,wanawapotosha wananchi au ndio ile nyani haoni kundule?

mahakama ni chombo cha kutoa haki, iwapo kama ccm nao wana ushahidi wa hayo wanayolalamika wapeleke mahakamani ili haki itendeke
 
Mzee Elimu ya Juu TumbiriTunamtahadharisha Nape Asije sema hatukumpa maono.
kiongozi nimekupa like tayari, ila mdogo wetu Nape atakapomaliza kuyasoma hayo uliyoandika, pale juu mashaka yatalindima akilini mwake, ni bahati mbaya huyu bwana hajiulizi maswali, yuko wapi TAMBWE? yuko wapi makamba? yuko wapi mangula? wapiga kelele wote out, tazama wanaofaidi ni walewale, Picha ndiyo inaanza.... watazamaji kaeni kimya
 
Nimekuelewa mkuu

Ngoja tuwasubili chama chetu cha mafisadi (ccm) kufungua kesi ya kudai hayo majina, naamini watajivua chupi kabisa badala ya suruali kepeke yake.

Hawathubutu,tusubiri kuwafikisha kwenye mkono wa sheria maana wao wako madarakani na mfumo wetu jinsi ulivyo,tunashindwa kuwawajibisha kama inavyotakiwa.Ndo maana unaona kesi za mahakamani zinamalizwa kisiasa,na ndiyo maana rais wa nchi anathubutu kuja na kusema hakukuwepo na rushwa kwenye issue ya radar.Ndo maana hata aliyekuwa mwanasheria mkuu alisema pesa za rushwa I million dollars ni vijisenti kama ukilinganisha na zile ambazo wenzake wanazo.Na huo ndo ukweli kwasababu keshasafishwa na mkuu wa nchi,pengine mkuu huyo akiogopa asije mwaga mboga.Ufisadi unalindwa na ofisi ya juu kabisa nchini.Hayo mengine yote ni mazingaombwe tu,hakuna aliyewajibika na hakuna atakayewajibishwa kama wataendelea kuwepo madarakani.
 
Wanasiasa wa kibongo kuzusha maneno ya kuyakana ni jambo la kawaida kwao,t kwa kifupi ni wanafiki na wala hawana woga hata wa mungu. Bora mzee Kingunge alishajitoa kwenye kumshirikisha mungu na siasa zake.
 
Back
Top Bottom