Disc_controller
New Member
- Dec 15, 2011
- 1
- 0
anaesema Tanzania ni vilaza yeye ni kilaza ila taifa letu si la vilaza. haijalishi mtu ni ombaomba au nani Israeli haina nafasi ya Kusema sisi si wa muhimu wala wa maana kwani wao wana faida gani kwetu? mtu anaongea mbovu kuhusu taifa letu halafu wengine mnafurahia? uongozi mbaya wa CCM ni mambo ya ndani ya nchi tusiruhusu mtu atutukane halafu mnaunga mkono jitu lisilo na faida kwetu watanzania tuache kuwa Damn Stupids tuwe Damn Smarts. I sraeli ni nani???????????? Bull shit tupa kule. Toeni tofauti zenu wakati mjinga yeyote anapoingilia Taifa letu. Go to hell Barak :embarassed2: