Hakikwanza
JF-Expert Member
- Dec 11, 2010
- 4,034
- 1,003
Kabla hujakurupuka you should Ask what i do for a living ...!? Am a Doctor holding bachelor of MD & Surgery .... unajuwa toka 2005 mpaka sasa nimeokoa maisha ya watu wangapi hospitali ....! kama weye ni jobless na huna umuhimu hapa duniani ni kivyako na siwezi nikakubaliana na kauli za huyo mpuuzi kwa mimi ni sawa na karatasi la toilet mimi kama mtanzania nina umuhimu wangu kama sio kwake basi kuna watu wengine ... pumbav sana huyo barak #%&@
Pamoja na Dr. Wako hivi wazungu wanavyotoweka na madini tz na kuacha mashimo mengi na sumu,huoni tunatumika kama toilet paper,kwamba wazungu wanatuthamini wanapotaka kitu toka kwetu? Pili viongozi wetu wameitia nchi hasara kubwa wewe na udr wako umefanya nini?