CCM yaiteka Songea (picha)

Ndg zangu Wanasongea 2we makn na hawa magamba(CCM), la sivyo 2takuwa mtaji wao kwa kila awamu. 2nawapa ushindi kisha wanabak na sera ya WAJINGA ndiyo waliwao au ndiyo kipato che2.Hv ujasiri na ushujaa wa Wangoni uko wapi au Historia imeisha na kubakia na umaskn wa mawazo?Chukuen ha2a mapema.Bhalongo bhangu ndabha ya chani myaga naaa? Ngondo yati tifwaaaa! .
 
Kwa sisi wapiga picha tumegundua ujanja wa mpiga picha. Kwa nini kachukua kapande kadogo kuonyesha kuwa kulikuwa na watu wengi?
uwanja huo uko karibu na uwanja wa maji maji naufahamu. Hako kasehemu ni kadogo sana kuonyesha kuwa walikuwa na watu wengi.
Tofauti na mikutano ya Chadema ambayo huwa inaonyesha umati wote hizi picha za ccm ni usanii tupu.
 
Nasikia uku mnaweza kaa ata wiki umeme hamna mpaka TANESCO HQ watume wese ndo wanakuwa na umeme
 
Ilikuwa ijumaa nini mbona kama walitoka kwenye ile shughuli then wakapitia hapo uwanja wa Zimanimoto!chunguza vizuri hizi picha utagundua jinsi,idadi na uelewa
 
Naona kijana chama kinamlipa,

kitambi kwa mbali na anakuwa maarufu kupita hata Mwenyekiti.

Kijana jitahidi.

Mkuu nini Kitambi hujaona Hiyo read carpet aliyopewa funika mbaya madaraka matamu! 7.JPG
 
taarifa nilizopata kutoka kwenye chanzo cha kuaminika ni kwamba msafara wa kuelekea eneo la tukio ulikuwa na pikipitisa na watu wasiozidi ishirini.......CCM kwisha.:lock1:
 
Salamu wana JF,
Napenda kujumuika nanyi kwa mara nyingine tena juu ya uwezo na ushujaa alionao kijana mzalendo Mh.Nape kwa kazi ngumu aliyokabidhiwa na CCM,kwanza kabisa amefanikiwa kuwatingisha mafisadi nguli ndani ya chama kwa kipindi kifupi alochoongoza pia anapambana na kelele za CHADEMA zenye nia ya kumkatisha tamaa ambazo bila shaka zinapata support ya MAGAMBA waliopo CCM ambao hawataki kutii amri ya kujivua ili chama kibaki salama bila kuleta chuki kama alivyofanya RA.

Kwa ujasiri alionao bila shaka anatakiwa apewe meno zaidi ya kuwashughulikia mafisadi pamoja na njama za CHADEMA kutumia mgongo wa MAGAMBA,CCM inaiimarika kila siku,watu wanafanyakazi kwa uadilifu,mfumo unabadilishwa ili kukidhi matarajio ya wananchi kupata huduma bora.
NAPE ni moto mkali kwa CHADEMA ndiyo maana hawalali bila kuuliza Mh.NAPE katoa kauli gani kila siku ili wabuni njia mpya ya kumkatisha tamaa...mfano mzuri ..VUA GAMBA VAA GWANDA.....huu ni upuuzi wa copy & paste !

Nilitegemea CHADEMA wawe focus kupata wanachama waadilifu badala ya kusubiri magamba wajiunge kwao.....HONGERA sana Mh.NAPE kwa kuwapa dozi nzito ya kuvua MAGWANDA wavae UZALENDO kama WEWE !

Tunahitaji viongozi wenye UTASHI wa KIZALENDO zaidi badala ya CHAMA kama Mh.ZITTO,Mh.KAFURILA,Mh.MACHALI,Mh.FILIKUNJOMBE,Mh.MKOSAMALI,Mh.MNYIKA nk
CHAMA kitumeke kama njia ya kupazia sauti tuuu na si ushabiki wakijinga kama anavyofanya WENJE,LEMA na baadhi ya wanaCDM....
 
KWA MWANA CCM KUTOA NA KUPOKEA RUSHWA NI SUNNA. (wana ccm woote semeni amina!)
 
attachment.php



Niwaonavyo wote wamefungwa kamba shingoni ili wasitoroke kama mbuzi mtoro. Malori mangapi yalienda kuwachukua? Kwani wanaonekana wameandaliwa kufika kwenye mkutano huo kwa vile kuna sare. Chadema huwa hawana hiyo ila kila mtu kivyake tu. Hapa nani mwenye mavuno ya kweli?

Masikini chama cha mauji kilicho muuua mwenyekiti wa chadema kata ya usa river ndiyo kina kufa hivyo....
 
Jamani ieleweke kwamba kwajinsi ninavyoielewa songea haiwezekani watu wakae kwenye kajukwaa kamoja wakati aliyekuja ni kiongozi wa kitaifa. Ngoja M4C ifike tupime.
 
Ndg zangu Wanasongea,2we macho na makini na hawa MAGAMBA(CCM).Lasi hivyo 2taendelea kuwa mtaji wao kwa kuwachaguliwa kila awamu.Au ndiyo kusema WAJINGA ndiyo waliwao au ndiyo kipato che2? Hivi ule ujasiri na ushujaa wa Wangoni umebaki historia tu?Bhalongo bhangu tikoto kugona tiyumukayi ngati Nduna Bambu Songela Mbano.
 
Nape subiri wa wazee wa M4C wakifika hapo Songea uone Nguvu ya UMMA
 
Back
Top Bottom