CCM yaiteka Songea (picha)

Kama kawaida asubuhi zili2mwa gari aina Ya fuso kwenda nje ya mji kukusanya wanakijiji waje mjini,bt wajanja 2likua majimaji,equator na jambolee 2nafanya yanayo2husu.angalia vema hapo 98%ni wazee,1.9 ni watoto,0.1 vijana wasiojitambua.
 
Hapa neno kuteka limetumika kimakosa.
Kwani hilo si jimbo lao siku zote??
Nyumbii hii bombi hii!

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Kweli Nape ni jembe...
jipe moyo......... huoni hawa watu wako jukwaani? watu wa songea wanavyopenda maikutano unadhani wangeenea jukwaani? ngoja chadema waje uone kama hiki kijukwaa kitatosha....... people are waiting for M4C
 
attachment.php


Mbona ni akina mama zaidi? Wanaume ni wa kutafuta. Vijana wamekosekana kabisa. Nadhani walishindwa kuwapata wanafunzi wa kujazia.
 
Nape apongezwe. Nimeona nyimi hapa. kusibishe tu kwa sababu tuna bifu na nape au ccm. hongera kijana, zidi kusonga mbele
 
Sio bure, lazima Wamepikiwa Chakula CCM wanajua kuhatimisha Watu... Kwanini wanachama wana Nguo za CCM kwenye

Kila Mikutano?
 
Wiki chache tuu zilizopita kulifanyika uchaguzi wa diwani hapo Songea na CCM wakabwagwa.
Huo umati ulikuwa wapi?
 
Nape na Gwanda la Kijani, kama unapenda Magwanda, vaa la khaki.

Avae ya khkaki kwani anaenda kuwinda? Magwanda ya kijani ndio Orijino, toka enzi za TANU youth league. Hayo ya khaki walikuwa wakivaa wakoloni na watalii wa kizungu wanapotembelea mbuga za wanyama wanapoenda safari za kuwinda na ya kijivu ni ya mgambo.
 
Back
Top Bottom