Barabara ya Njombe kwenda Songea haina viwango vya barabara za mkoa

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Feb 24, 2012
5,016
9,885
Kila mwak napenda kuzurura mikoa mbalimbali nchini ili kujionea hali ya nchi yangu, safari hii nimeeda Songea kupitia Morogoro, Iringa, Njombe.

Ukitoka Dar barabara zina unafuu sana hadi Njombe, ila kutoka Njombe kwenda Songea barabara imekaa kama barabara ya wilayani ilitotengenezwa na TARURA. Yaani barabara imeachwa parefu na barabara ya Malamba Mawili pale Dar.

Zingatia Songea kunatoka vitu vingi kama mahindi, Makaa ya Mawe nk. lakini ukifika Njombe kwenda Songea idadi ya malori inapungua mengi yanayopita njia ile ni yanayobeba makaa ya mawe tu, it seems wengi hawapendi kupeleka magari yao kule kwa kuhofia njia ilivyo.
Wilaya ya Songea haifikiwi kabla ya kupita Wilaya ya Madaba ambazo njia ni hiyo hiyo ubora wake unafanana. Ni muhimu hatua ichukuliwe kuboresha njia ile kwa kuzingatia kuwa kuna mengi mazuri yanapatikana Songea.

Nashare picha ya Kaa la mawe nililookota Songea nikaja nalo home kama Souvenir
1704017689397.png
 
View attachment 2858388
Mama ameanza kukarabati Kwa kuanzia km 100 kutokea Songea na itapanuliwa na itajengwa Kwa viwango vya Juu vya super pave.

Itajengwa Kwa awamu na ikifika Njombe Mjini Hadi Makambako itajengwa Kwa njia 4.

Vuta subiria mambo mazuri yanakuka na hayahitaji haraka.
 
Kila mwak napenda kuzurura mikoa mbalimbali nchini ili kujionea hali ya nchi yangu, safari hii nimeeda Songea kupitia Morogoro, Iringa, Njombe.

Ukitoka Dar barabara zina unafuu sana hadi Njombe, ila kutoka Njombe kwenda Songea barabara imekaa kama barabara ya wilayani ilitotengenezwa na TARURA. Yaani barabara imeachwa parefu na barabara ya Malamba Mawili pale Dar.

Zingatia Songea kunatoka vitu vingi kama mahindi, Makaa ya Mawe nk. lakini ukifika Njombe kwenda Songea idadi ya malori inapungua mengi yanayopita njia ile ni yanayobeba makaa ya mawe tu, it seems wengi hawapendi kupeleka magari yao kule kwa kuhofia njia ilivyo.
Wilaya ya Songea haifikiwi kabla ya kupita Wilaya ya Madaba ambazo njia ni hiyo hiyo ubora wake unafanana. Ni muhimu hatua ichukuliwe kuboresha njia ile kwa kuzingatia kuwa kuna mengi mazuri yanapatikana Songea.

Nashare picha ya Kaa la mawe nililookota Songea nikaja nalo home kama Souvenir
View attachment 2858388
Hongera kwa utalii wa ndani, mimi pia natumia hiyo njia tokea Mnazi mmoja, Masasi, Tunduru, Songea, Madaba hadi Makambako.
Kitu ninachokiona Nchini kwetu ni Usimamizi hafifu wa Ulinzi wa Barabara zetu.
Malori Malori Malori yamemaliza barabara zetu. Yanabeba uzito mkubwa kuliko kawaida. Kuna yale Malori yanaenda Rwanda kupeleka makaa ya Mawe ni hatare ule ujazo wake lazima barabara ichakae mkuu.
Rudi Daaaslam barabara zote nzuuuuri za WB sasa hivi malori yanaingia hadi vichochoroni hukooooo pamejengwa ICDs unategemea barabara zidumu???
Nchi inajiendea ovyo ovyo Sheria hazifuatwi hata wajenge barabara vipi kwa Rushwa ilivyo sasa hakuna kitu ni kupoteza pesa tu.
 
Kila mwak napenda kuzurura mikoa mbalimbali nchini ili kujionea hali ya nchi yangu, safari hii nimeeda Songea kupitia Morogoro, Iringa, Njombe.

Ukitoka Dar barabara zina unafuu sana hadi Njombe, ila kutoka Njombe kwenda Songea barabara imekaa kama barabara ya wilayani ilitotengenezwa na TARURA. Yaani barabara imeachwa parefu na barabara ya Malamba Mawili pale Dar.

Zingatia Songea kunatoka vitu vingi kama mahindi, Makaa ya Mawe nk. lakini ukifika Njombe kwenda Songea idadi ya malori inapungua mengi yanayopita njia ile ni yanayobeba makaa ya mawe tu, it seems wengi hawapendi kupeleka magari yao kule kwa kuhofia njia ilivyo.
Wilaya ya Songea haifikiwi kabla ya kupita Wilaya ya Madaba ambazo njia ni hiyo hiyo ubora wake unafanana. Ni muhimu hatua ichukuliwe kuboresha njia ile kwa kuzingatia kuwa kuna mengi mazuri yanapatikana Songea.

Nashare picha ya Kaa la mawe nililookota Songea nikaja nalo home kama Souvenir
View attachment 2858388
Ni sawa na barabara ya kutoka Igawa hadi Tunduma.ni raough road iliyoboreshwa
 
Back
Top Bottom